Bango kubwa lenye picha ya Rais Samia akiwa na mh Mbowe na mh Mnyika Siku ya Wanawake duniani lamnyima raha Tundu Lisu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
85,436
144,893
Mara kwa mara Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amelalamikia Mabango ya mh Rais Samia akiwa na Viongozi Wakuu wa Chadema mh Mbowe na mh Mnyika kwamba yanafanya Chadema ionekane kama TAWI la CCM

Picha hiyo ilipigwa Siku ya Wanawake duniani Mjini Moshi ambapo ilitegemewa CPA Ruge ndio ang'are pichani na Rais Samia pamoja na Viongozi wa Bawacha

CCM wamesema Picha hizo zinazopendwa na Wananchi wote zitabakia barabarani 😂

Mlale Unono 😀😀
 
Ccm inajikomba kwa chadema ili ikubaliwe ndivyo inavyotafsirika kama sivyo? Stand by your own feet.
 
Kwa kukosa mvuto mbele ya umma CCM inajitahidi kujikomba kwa wapiga kura kwa kujisogeza karibu na viongozi wa Chadema ili inukie waridi wa chama pendwa cha wananchi!
 
Lissu asiwe ns hofu na Mabango yanaweza i promote CDM pia kuwa chama tawala kinajipendekeza kwa cdm na kwamba kinaweza wakiachie nchi ccm
 
Mara kwa mara Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amelalamikia Mabango ya mh Rais Samia akiwa na Viongozi Wakuu wa Chadema mh Mbowe na mh Mnyika kwamba yanafanya Chadema ionekane kama TAWI la CCM

Picha hiyo ilipigwa Siku ya Wanawake duniani Mjini Moshi ambapo ilitegemewa CPA Ruge ndio ang'are pichani na Rais Samia pamoja na Viongozi wa Bawacha

CCM wamesema Picha hizo zinazopendwa na Wananchi wote zitabakia barabarani 😂

Mlale Unono 😀😀
Kwa sasa Lissu anaichukia sana chadema.
 
Back
Top Bottom