Ajiandae kukabiliana na watu milioni 60+😀Baada ya kumpiga Spana za kuhusu Utekaji, uporaji,mauaji na kuuza rasilimali zetu kiholela kanipiga block
Sasa tuone atablock wangapi?
Ajiandae kukabiliana na watu milioni 60+
Tutaendelea kumkosoa kwa nguvu hadi atakapowajibishwa
Watoto wa wenzake wanatekwa, nchi inaliwa yeye yupo tu karelax
View attachment 3349494
You nailed it.Kwa kweli Beira Boy yaani hii nchi ufisadi, rushwa, anasa za serikalini, vingepungua kama si kuisha. Ugomvi wangu usingekuwa na wananchi, ila watendaji wote wanaoenda kinyume na utendaji bora.
Rav 4 ndiyo magari ya viongozi, asiyetaka aache, asiyeweza kusimamia mradi ukamshinda ana kesi ya kujibu. Atakuwa hana tofauti na fisadi au muhujumu uchumi. Maji, umeme kwa wote. Bajeti zikibaki, zinarudi, hakuna kugawana kama sasa.
Nina mengi ila viongozi na watendaji wangenyooka. Viti maalum hakuna, wabunge walipe kodi. Msajili wa vyama hiyo nafasi ni ya kugombea, kila Muhimili uwe na nguvu yake ya kufanya maamuzi yenyewe siyo kuitetea Serikali, nasi tukikosea tunaliwa kichwa.
Upigaji kura utakuwa wa uwazi na waangalizi toka nje. Kwanza katiba na madiliko yote yenye utata. Huduma za jamii, ndiyo kipaumbele. Kila mwananchi kuwa na bima, Elimu zetu kuziangalia upya. Kubuni ajira mpya kwa vijana. Atakayestaafu akapumzike milele, hakuna kurudisha kwa mlango wa nyuma, ili ajira zitolewe kwa watu wapya.
Ubunge ni miaka 5 hutorudia. Nia ni kumpunguzia mwananchi mzigo wa maisha naye afurahie matunda ya kodi yake. Ikija mgombea binafsi mnichague jamani, siwezi andika yote hapa ya muhimu. 😁😁😁😁😁😁
Viongozi wenye akili ndio wanatambua hili, ila vilaza ndio huwa wanamaind!.Anataka watu wa kumsifia tu.ukiwa kiongozi wapende sana wanaokukosoa maana watakufanya usahihishe pale unapokosea kuliko kupewa sifa za uongo kama wanavyofanya chawa wake
TAngu lini mwanamke anapenda wanaomkosoa ?Anataka watu wa kumsifia tu.ukiwa kiongozi wapende sana wanaokukosoa maana watakufanya usahihishe pale unapokosea kuliko kupewa sifa za uongo kama wanavyofanya chawa wake
Mitano kwa Rais wetu Bantu Lady! 🔥 Uhakikishe unanipitisha kuwa Makamu wako ili Tanganyika iwe huru kwa 💯% . Haya mambo ya kuungana na Wazanzibari wavivu, wabinafsi, wapenda mteremko, wapenda urojo, wapenda taarabu na vichambo; yanatuchelewesha sana kama Taifa.Kwa kweli Beira Boy yaani hii nchi ufisadi, rushwa, anasa za serikalini, vingepungua kama si kuisha. Ugomvi wangu usingekuwa na wananchi, ila watendaji wote wanaoenda kinyume na utendaji bora.
Rav 4 ndiyo magari ya viongozi, asiyetaka aache, asiyeweza kusimamia mradi ukamshinda ana kesi ya kujibu. Atakuwa hana tofauti na fisadi au muhujumu uchumi. Maji, umeme kwa wote. Bajeti zikibaki, zinarudi, hakuna kugawana kama sasa.
Nina mengi ila viongozi na watendaji wangenyooka. Viti maalum hakuna, wabunge walipe kodi. Msajili wa vyama hiyo nafasi ni ya kugombea, kila Muhimili uwe na nguvu yake ya kufanya maamuzi yenyewe siyo kuitetea Serikali, nasi tukikosea tunaliwa kichwa.
Upigaji kura utakuwa wa uwazi na waangalizi toka nje. Kwanza katiba na madiliko yote yenye utata. Huduma za jamii, ndiyo kipaumbele. Kila mwananchi kuwa na bima, Elimu zetu kuziangalia upya. Kubuni ajira mpya kwa vijana. Atakayestaafu akapumzike milele, hakuna kurudisha kwa mlango wa nyuma, ili ajira zitolewe kwa watu wapya.
Ubunge ni miaka 5 hutorudia. Nia ni kumpunguzia mwananchi mzigo wa maisha naye afurahie matunda ya kodi yake. Ikija mgombea binafsi mnichague jamani, siwezi andika yote hapa ya muhimu. 😁😁😁😁😁😁
Aisee!!!! Ila kampeniKwa kweli Beira Boy yaani hii nchi ufisadi, rushwa, anasa za serikalini, vingepungua kama si kuisha. Ugomvi wangu usingekuwa na wananchi, ila watendaji wote wanaoenda kinyume na utendaji bora.
Rav 4 ndiyo magari ya viongozi, asiyetaka aache, asiyeweza kusimamia mradi ukamshinda ana kesi ya kujibu. Atakuwa hana tofauti na fisadi au muhujumu uchumi. Maji, umeme kwa wote. Bajeti zikibaki, zinarudi, hakuna kugawana kama sasa.
Nina mengi ila viongozi na watendaji wangenyooka. Viti maalum hakuna, wabunge walipe kodi. Msajili wa vyama hiyo nafasi ni ya kugombea, kila Muhimili uwe na nguvu yake ya kufanya maamuzi yenyewe siyo kuitetea Serikali, nasi tukikosea tunaliwa kichwa.
Upigaji kura utakuwa wa uwazi na waangalizi toka nje. Kwanza katiba na madiliko yote yenye utata. Huduma za jamii, ndiyo kipaumbele. Kila mwananchi kuwa na bima, Elimu zetu kuziangalia upya. Kubuni ajira mpya kwa vijana. Atakayestaafu akapumzike milele, hakuna kurudisha kwa mlango wa nyuma, ili ajira zitolewe kwa watu wapya.
Ubunge ni miaka 5 hutorudia. Nia ni kumpunguzia mwananchi mzigo wa maisha naye afurahie matunda ya kodi yake. Ikija mgombea binafsi mnichague jamani, siwezi andika yote hapa ya muhimu. 😁😁😁😁😁😁
Anaamini ataweza kudhibiti nguvu ya mitandao eti huyu Kijamkazi😂😂Baada ya kumpiga Spana za kuhusu Utekaji, uporaji,mauaji na kuuza rasilimali zetu kiholela kanipiga block
Sasa tuone atablock wangapi?
Ajiandae kukabiliana na watu milioni 60+
Tutaendelea kumkosoa kwa nguvu hadi atakapowajibishwa
Watoto wa wenzake wanatekwa, nchi inaliwa yeye yupo tu karelax
View attachment 3349494
Pole kwa kupigwa block na nakupongeza kwa kupiga spana.Baada ya kumpiga Spana za kuhusu Utekaji, uporaji,mauaji na kuuza rasilimali zetu kiholela kanipiga block
Sasa tuone atablock wangapi?
Ajiandae kukabiliana na watu milioni 60+
Tutaendelea kumkosoa kwa nguvu hadi atakapowajibishwa
Watoto wa wenzake wanatekwa, nchi inaliwa yeye yupo tu karelax
View attachment 3349494
Uliyo yaandika hapa ndo rais tunayemtaka,Kwa kweli Beira Boy yaani hii nchi ufisadi, rushwa, anasa za serikalini, vingepungua kama si kuisha. Ugomvi wangu usingekuwa na wananchi, ila watendaji wote wanaoenda kinyume na utendaji bora.