Rais Samia ameniblock huko X

Rais Samia ameniblock huko X

Hii inchi rais alifaa awe Bantu Lady ila kwa huyo tumechoma mahindi
Naunga mkono hoja!
20240713_210345.jpg
 
Kijana punguza hasira na acha lugha ya matusi, wewe unaonekana unelalewa na lijimama.

Tanganyika, ipo na itakuwepo Milele. Muda ukifika itarudi. Hamna lolote tunachopta toka Zenj. Muungano wa kulazimishwa na Marekani.
kwedraaaa .. uwo muungano kaulazimisha mzenj au wewe mtanganyika rudi shule kasome tena.
 
Kijana punguza hasira na acha lugha ya matusi, wewe unaonekana unelalewa na lijimama.

Tanganyika, ipo na itakuwepo Milele. Muda ukifika itarudi. Hamna lolote tunachopta toka Zenj. Muungano wa kulazimishwa na Marekani.
Kawaambie hao Marekani sijui mbwa gani waje kuuvunja basi msituletee ungese hapa hakuna mzenj mwenye haja na muungano na watu wa jinga kama watanganyika.
 
Baada ya kumpiga Spana za kuhusu Utekaji, uporaji,mauaji na kuuza rasilimali zetu kiholela kanipiga block

Sasa tuone atablock wangapi?

Ajiandae kukabiliana na watu milioni 60+

Tutaendelea kumkosoa kwa nguvu hadi atakapowajibishwa

Watoto wa wenzake wanatekwa, nchi inaliwa yeye yupo tu karelax

View attachment 3349494
Aisee!

Majirani zetu wapendwa wa hapo Kenya hii wakiiona sijui itakuwaje!
 
Kwa kweli Beira Boy yaani hii nchi ufisadi, rushwa, anasa za serikalini, vingepungua kama si kuisha. Ugomvi wangu usingekuwa na wananchi, ila watendaji wote wanaoenda kinyume na utendaji bora.

Rav 4 ndiyo magari ya viongozi, asiyetaka aache, asiyeweza kusimamia mradi ukamshinda ana kesi ya kujibu. Atakuwa hana tofauti na fisadi au muhujumu uchumi. Maji, umeme kwa wote. Bajeti zikibaki, zinarudi, hakuna kugawana kama sasa.

Nina mengi ila viongozi na watendaji wangenyooka. Viti maalum hakuna, wabunge walipe kodi. Msajili wa vyama hiyo nafasi ni ya kugombea, kila Muhimili uwe na nguvu yake ya kufanya maamuzi yenyewe siyo kuitetea Serikali, nasi tukikosea tunaliwa kichwa.

Upigaji kura utakuwa wa uwazi na waangalizi toka nje. Kwanza katiba na madiliko yote yenye utata. Huduma za jamii, ndiyo kipaumbele. Kila mwananchi kuwa na bima, Elimu zetu kuziangalia upya. Kubuni ajira mpya kwa vijana. Atakayestaafu akapumzike milele, hakuna kurudisha kwa mlango wa nyuma, ili ajira zitolewe kwa watu wapya.

Ubunge ni miaka 5 hutorudia. Nia ni kumpunguzia mwananchi mzigo wa maisha naye afurahie matunda ya kodi yake. Ikija mgombea binafsi mnichague jamani, siwezi andika yote hapa ya muhimu. 😁😁😁😁😁😁
Nimekubali...kura yangu na familia yangu uhakika
 
Acha ule tofali,watu mmezidi hamna adabu na bibi zenu,mnaandika maneno yasiyo na stara wengi wenu.
 
Baada ya kumpiga Spana za kuhusu Utekaji, uporaji,mauaji na kuuza rasilimali zetu kiholela kanipiga block

Sasa tuone atablock wangapi?

Ajiandae kukabiliana na watu milioni 60+

Tutaendelea kumkosoa kwa nguvu hadi atakapowajibishwa

Watoto wa wenzake wanatekwa, nchi inaliwa yeye yupo tu karelax

View attachment 3349494
Anaweza asiishie hapo akakutafuta ulipo amalizane na wewe
 
Baada ya kumpiga Spana za kuhusu Utekaji, uporaji,mauaji na kuuza rasilimali zetu kiholela kanipiga block

Sasa tuone atablock wangapi?

Ajiandae kukabiliana na watu milioni 60+

Tutaendelea kumkosoa kwa nguvu hadi atakapowajibishwa

Watoto wa wenzake wanatekwa, nchi inaliwa yeye yupo tu karelax

View attachment 3349494


Huyu mama wamedanganya atapoteza umaarufu wake wote na atapoteza tahamni yake kama madokteta wengine duniani?

Kosa kubwa alilolifanya ni kugeuka na kuacha maono yake aliyoingia nayo ya kutaka kujenga Taifa lenye Demokrasia ,Haki ,utu ,maridhiano ,Umoja ,kuvumiliana na kuondoa tofauti zao na kuleta katiba mpya na uchaguzi wa Huru na Haki .

Samia alipoingia madarakani alionyesha wazi Kuwa mambo mengi ndani ya mifumo na chama chake hakukubaliana nayo ndio maana alisema wabaya zaidi ni ndani ya chama chake . Pia aliona mapungufu ya kuwa na Bubge la Chama kimoja lenye wabunge wanademka tu Bungeni . Kauli yake ya wabunge kudemka bungeni Ilileta hasira kwa Spika mfugai naye akaamua kuonyesha udhaifu wa serikali yake . Kosa alilolifanya ni kugeuka na kuungana na makundi yote ndani ya CCM mpaka yale makundi mabaya ya mafisadi yaliyolenga dili zao tu. Hapo akapoteza dira na kutaka kuwapendezesha CCM hasa baada ya Kuuza Bandari maana ni wazi Kuwa Hakina Mtu ,wenye akili timamu anaona kuwa nchi yenye taasisi inayoaminika kama Jeshi la Wananchi inashindwa kuendesha bandari na kuwapa waarabu wasio na Teknolojia yoyote zaidi ya pesa wanazozitafuta kama wanavyopata akina Bahresa na Mo.

Leo hii Samia angekuwa Rais anayeheshimika sana hapa Tanzania kama angeleta katiba mpya .Na huenda uchaguzi wa mwaka huu wapinzani1angekosa kanisa agenda na angeiinua sana CCM.

Leo hii Samia hana namna ya kisiasa ya kushinda uchaguzi kwenye sanduku la kura zaidi ya kutumia.
 
Kwa kweli Beira Boy yaani hii nchi ufisadi, rushwa, anasa za serikalini, vingepungua kama si kuisha. Ugomvi wangu usingekuwa na wananchi, ila watendaji wote wanaoenda kinyume na utendaji bora.

Rav 4 ndiyo magari ya viongozi, asiyetaka aache, asiyeweza kusimamia mradi ukamshinda ana kesi ya kujibu. Atakuwa hana tofauti na fisadi au muhujumu uchumi. Maji, umeme kwa wote. Bajeti zikibaki, zinarudi, hakuna kugawana kama sasa.

Nina mengi ila viongozi na watendaji wangenyooka. Viti maalum hakuna, wabunge walipe kodi. Msajili wa vyama hiyo nafasi ni ya kugombea, kila Muhimili uwe na nguvu yake ya kufanya maamuzi yenyewe siyo kuitetea Serikali, nasi tukikosea tunaliwa kichwa.

Upigaji kura utakuwa wa uwazi na waangalizi toka nje. Kwanza katiba na madiliko yote yenye utata. Huduma za jamii, ndiyo kipaumbele. Kila mwananchi kuwa na bima, Elimu zetu kuziangalia upya. Kubuni ajira mpya kwa vijana. Atakayestaafu akapumzike milele, hakuna kurudisha kwa mlango wa nyuma, ili ajira zitolewe kwa watu wapya.

Ubunge ni miaka 5 hutorudia. Nia ni kumpunguzia mwananchi mzigo wa maisha naye afurahie matunda ya kodi yake. Ikija mgombea binafsi mnichague jamani, siwezi andika yote hapa ya muhimu. 😁😁😁😁😁😁
Ingewezekana kuhamisha akili, wewe tungehamisha akili yako tumpe aliyepo pale juu.
Ubarikiwe sana kwa mchango huu ndugu.
 
Baada ya kumpiga Spana za kuhusu Utekaji, uporaji,mauaji na kuuza rasilimali zetu kiholela kanipiga block

Sasa tuone atablock wangapi?

Ajiandae kukabiliana na watu milioni 60+

Tutaendelea kumkosoa kwa nguvu hadi atakapowajibishwa

Watoto wa wenzake wanatekwa, nchi inaliwa yeye yupo tu karelax

View attachment 3349494
Wanachama 13 milioni wame-m follow 1.8M sasa si ahame hicho chama.
 
Baada ya kumpiga Spana za kuhusu Utekaji, uporaji,mauaji na kuuza rasilimali zetu kiholela kanipiga block

Sasa tuone atablock wangapi?

Ajiandae kukabiliana na watu milioni 60+

Tutaendelea kumkosoa kwa nguvu hadi atakapowajibishwa

Watoto wa wenzake wanatekwa, nchi inaliwa yeye yupo tu karelax

View attachment 3349494
Yuko pale kwa ajili ya mapambio ya praise and worship. Nonetheless, blocking you was much better than having you abducted, tortured and/or killed!
 
Baada ya kumpiga Spana za kuhusu Utekaji, uporaji,mauaji na kuuza rasilimali zetu kiholela kanipiga block

Sasa tuone atablock wangapi?

Ajiandae kukabiliana na watu milioni 60+

Tutaendelea kumkosoa kwa nguvu hadi atakapowajibishwa

Watoto wa wenzake wanatekwa, nchi inaliwa yeye yupo tu karelax

View attachment 3349494
Utauponza baadae uanze kulalamika.
 
Kwa kweli Beira Boy yaani hii nchi ufisadi, rushwa, anasa za serikalini, vingepungua kama si kuisha. Ugomvi wangu usingekuwa na wananchi, ila watendaji wote wanaoenda kinyume na utendaji bora.

Rav 4 ndiyo magari ya viongozi, asiyetaka aache, asiyeweza kusimamia mradi ukamshinda ana kesi ya kujibu. Atakuwa hana tofauti na fisadi au muhujumu uchumi. Maji, umeme kwa wote. Bajeti zikibaki, zinarudi, hakuna kugawana kama sasa.

Nina mengi ila viongozi na watendaji wangenyooka. Viti maalum hakuna, wabunge walipe kodi. Msajili wa vyama hiyo nafasi ni ya kugombea, kila Muhimili uwe na nguvu yake ya kufanya maamuzi yenyewe siyo kuitetea Serikali, nasi tukikosea tunaliwa kichwa.

Upigaji kura utakuwa wa uwazi na waangalizi toka nje. Kwanza katiba na madiliko yote yenye utata. Huduma za jamii, ndiyo kipaumbele. Kila mwananchi kuwa na bima, Elimu zetu kuziangalia upya. Kubuni ajira mpya kwa vijana. Atakayestaafu akapumzike milele, hakuna kurudisha kwa mlango wa nyuma, ili ajira zitolewe kwa watu wapya.

Ubunge ni miaka 5 hutorudia. Nia ni kumpunguzia mwananchi mzigo wa maisha naye afurahie matunda ya kodi yake. Ikija mgombea binafsi mnichague jamani, siwezi andika yote hapa ya muhimu. 😁😁😁😁😁😁
Nimeipenda hii; lakini utanisamehe, mkuu 'Bantu Lady' kwa swali hili ambalo kwa haraka haraka unaweza kuliona kuwa la kipuuzi, na hata pengine kuwa la kudhalilisha. Swali ni la dhati kabisa, naomba usiyafikirie hayo mengine.

Swali ni hili: Bantu Lady, ulisha wahi kutongozwa? Sielekezi hili swali kwako kwa sababu tu ya jinsia yako. Ningeliwasilisha kivingine kama jinsia ingekuwa ni tofauti.

Karibu yote uliyoeleza kwenye mchango wako ni mambo mazuri sana; hasa kwa kuwekea mkazo kwa huduma za wananchi, na kusimamia utumishi wa umma, n.k..

Hilo la "Ubunge miaka mitano" sina shaka ungeshawishiwa kuliweka pembeni; badala yake wabunge wawe na vipimo vya kazi zao na michango yao katika muda huo wa miaka mitano. Wasiofikia viwango moja kwa moja wanaliwa vichwa hata kabla ya kurudi kwa wananchi kuomba kura.

Sasa hilo la "kutongozwa" sitalisemea chochote kwa sasa, mpaka nipate jibu kwanza.
 
Back
Top Bottom