Rais Samia ameniblock huko X

Rais Samia ameniblock huko X

Yeye hata haendeshi hizo account za kijamiii ! Hiyo ni kazi ya kurugenzi mawasiliano ikulu,,, kuna admin ambao huwa kazi yao ni kudeal na mitandao !
Wakiambiwa wajinga hawaelewi I've raisi aje akamate simu alumbane na ww mnuka mikojo
 
Baada ya kumpiga Spana za kuhusu Utekaji, uporaji,mauaji na kuuza rasilimali zetu kiholela kanipiga block

Sasa tuone atablock wangapi?

Ajiandae kukabiliana na watu milioni 60+

Tutaendelea kumkosoa kwa nguvu hadi atakapowajibishwa

Watoto wa wenzake wanatekwa, nchi inaliwa yeye yupo tu karelax

View attachment 3349494
ana haki ua kukublock kwa uongo wako
 
Sawa tu.. Eeeeeeeeh
😅😅😅😅
Humu ulikuwa shabiki hadi picha yake ikawaka kwako.. Kuanzia March'21.

Ulishasema kwanini uligeuka ghafla..

Kazi iendeleeee...
 
Mambo ya bandari kupewa wahuni,wahuni wengine watapewa kibali kuchimba madini mbuga ya Serengeti na Mikumi gesi ndio hiyo hakuna hata mia tunapata sasa wanataka na roho zetu aisee kazi ipo niliumia sana kusikia wale vijana wa Mbeya walivyotekwa kirahisi na kupotezwa pamoja na yule Mzee alieshushwa kwenye Bus likiwa na abiria sijui huko aliko anawaza nini kwa haya mambo yanayotokea aisee inaumiza sana kwa kweli.
 
Back
Top Bottom