Hamduni
Senior Member
- Apr 25, 2020
- 155
- 108
RAIS WETU MHESHIMIWA DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AMEFANYA KAZI KUBWA SEKTA YA MAJI, HII NI ZIARA YA UKAGUZI WA MIRADI YA MAJI WILAYA YA LUDEWA.
ZIARA ITAGUSA MIRADI IFUATAYO
KATA YA MAVANGA
MRADI WA MAJI KIJIJI CHA MAVANGA
• Gharama za mkataba (Mkandarasi): Tsh. 1,340,809,578.
• Mradi utahudumia wakazi: 5,249
• Mradi umetekelezwa kwa 92% na unatoa huduma.
Kazi zilizotekelezwa katika mradi
• Ujenzi wa mtego wa maji (Intake)
• Ujenzi wa tenki la maji 200m3 na ukarabati wa tenki la maji 120m3
• Uchimbaji wa mitaro na ulazaji wa mabomba kilomita 19.72
• Ujenzi wa vituo 14 vya kuchotea maji
• Ujenzi wa uzuio kwenye matenki
• Ujenzi wa Ofisi ya Chombo cha usimamizi wa watumia maji ngazi ya jamii unaendelea
KATA YA IWELA
*
MRADI WA MAJI KIJIJI CHA IWELA
• Gharama za Mradi: Tsh. 1,450,875,400.00.
• Mradi unahudumia wakazi: 1,397
• Mradi umetekelezwa kwa 100% na unatoa huduma
Kazi zilizotekelezwa katika mradi
• Ujenzi wa mtego wa maji (Intake)
• Ujenziwa matenki mawili (50m3 juu ya mnara wa 9m na ground tenki 75m3)
• Ujenzi wa mtandao wa mabomba kilomita 28
• Ujenzi wa vituo 17 vya kuchotea maji
• Ujenzi wa tenki la kupozeshea maji (BPT) moja
• Ujenzi wa uzuio kwenye matenki yote mawili
• Ujenzi wa Malambo mawili ya kunyweshea mifugo eneo la Kisekela na Ndete
KATA YA LUDEWA MJINI
MRADI WA MAJI LUDEWA MJINI
• Gharama za mradi: Tsh. 7,415,000,000.
• Kiasi kilichopokelewa na kulipwa Tsh. 1,131,000,000.00
• Mradi utahudumia wakazi: 10,066
• Kukamilika kwa mradi kutaongeza huduma kutoka 67% ya sasa hadi 100%
• Mradi umetekelezwa kwa 33%
Kazi zilizotekelezwa katika mradi
• Ujenzi wa kidakio cha maji kipya (ujenzi umekamilika
• Ujenzi wa Tank la zege la lita 500,000 (ujenzi umekamilika
• Ujenzi wa vioski vitatu
• Ulazaji wa bomba kuu la maji 21km
• Ukarabati wa Matenk ya Kilimahewa (200m3-block na 240m3-mawe)
• Ukarabati na upanuzi wa mtandao wa bomba 26.42km
• Ununuzi na ufungaji wa Dira za Maji 524
(Utekelezaji wa mradi unaendelea)
KATA YA MANDA
MRADI WA MAJI KIJIJI CHA IGALU
• Gharama za mkataba ujenzi wa mradi (Mkandarasi): Tsh. 130,732,000.00 (VAT exclusive).
• Mradi utahudumia wakazi: 667
• Mradi umetekelezwa kwa 55%
-Kazi zitakazo tekelezwa katika mradi
• Ujenzi wa tenki la maji 50m3
• Uchimbaji wa mitaro 8.6km na ulazaji wa bomba 3.5km
• Ujenzi wa 6 vituo vya kuchotea maji
• Uchimbaji wa kisima kirefu, ufungaji wa pampu na mfumo wa Solar
#LudewaYetu #LudewaView attachment 2846155