Rais Samia ameenda Urusi kuitisha Marekani?

Kweli nyumbu hawana kazi za kufanya. Kwani ni Samia peke yake aliyetwmbelea urusi?!!! Mbona mataifa kibao tu ya Afrika Yana mahusiano mazuri na urusi na hakuna shida? Isitoshe, Tanzania Ina ukubwa gani kidunia Hadi marekani aiwazie kiasi hicho?!!!
Umeielewa hoja au unajibu kutumia hisia iliyo kichwani mwako.
 
Kweli nyumbu hawana kazi za kufanya. Kwani ni Samia peke yake aliyetwmbelea urusi?!!! Mbona mataifa kibao tu ya Afrika Yana mahusiano mazuri na urusi na hakuna shida? Isitoshe, Tanzania Ina ukubwa gani kidunia Hadi marekani aiwazie kiasi hicho?!!!
Hivo vichwa vilivyobondwa utotoni ili kuvaa bagharashia na mishungi haviwezi kuwa akili timamu..
Wapemba mna ubongo wa bata 🦆
 

uae siyo safe haven tena kwake, wameshampotezea, kagombana mpaka na france nchi ambayo hatujawahi hata kuwa na shida nayo yoyote ile angalia tu ubalozi wa france dar ulipo na jumba lao hata kituo cha dala dala kilipewa jina la ubalozi kwa sababu ya ubalozi wa france sasa ameharibu uhusiano na mwisho wa siku ataishia kufungwa tu, naamini kama alivyoingia ndivyo atakavyoondoka pia, imeisha hiyo …
 
urusi ni ya kuaminika? Mbona imeshindwa kumsaidia mshirika wake iran? RUSSIA & USA their are partners!
 
Hapa ndipo CDM wanapobugi kila mara kwa kujazwa upepo na wanaharakati. Unakuwa egged-on una act on hype matokeo yake wahuni wana take advantage.

Mambo kama haya ndio yaliyomponza Lissu na watoto waliopoteza maisha kipindi cha uchaguzi (being reckless). Yote msingi wake ni kujazana upepo na mambo ambayo hayapo.

Utaratibu wa bill hadi kuwa sheria ni mlolongo mrefu unaoanza:
Introduction to the house
Referral to appropriate committee
Committee approval
Senate floor vote
House vote
Presidential signature

Mpaka sasa hiyo bill imefikia hatua mbili tu kuwa introduced na kuwa referred kwenye committee husika. Committee ndiyo inayoamua kama hiyo bill ni worth kujadiliwa ambayo ni hatua ya tatu bado. Na kila hatua huko mbele ni ngumu.

Bill nyingi zinazoanzishwa na house members ufia kwenye hatua ya pili, na kama ina influence foreign policy za nchi ndio kabisa hizo ni bills ambazo uwa zinapelekwa na government departments.

Ndio ujue nchi kama Tanzania kwa US ku deal na sisi ni soft power tu za misaada. We can’t even handle michezo myepesi ya pressure politics ni nani akifanya kitu huko ustuke au kikifikia hatua gani. Sasa we jidanganye kuna kitu cha maana hapo uone kama US atakuja kukuokoa likikukuta la kukuta, be smart.

Hiyo bill ingekuwa initiated na federal department hapo sasa tujue kumekucha. Lakini hizi bill za senators asilimia kubwa uwa zinafia kwenye hatua za committee.
 
useless and completely nonsense narrative politically speaking 🐒
 
Hivi wapo vijana wa Kitanzania wenye ndoto za kwenda Russia kufanya maisha?
 
Ulikuwa unataka waruke hatua ndio wanakwenda hivyo.
 
Urusi ni chawa wa marekani tena kuweni makini makini sana na putini ni swaiba wq tramp
 
CDM mko busy sn na Samia.
Ht afanyeje, aende wapi, abaki nyumbani still mtamsema vibaya tu....
 
Utakuwa unaumwa kinyeredi wewe, si Bure.
 
Marekani anatishiwa na nani mkuu?
Marekani ni Marekani tuu! Huwezi waimbia taarabu wamarekani kuwarusha roho! 😊
 
Hivo vichwa vilivyobondwa utotoni ili kuvaa bagharashia na mishungi haviwezi kuwa akili timamu..
Wapemba mna ubongo wa bata 🦆
Enhe, tuambie wewe punga mwenye akili; mnaenda tena lini kumtoa pale ikulu kama mnavyotumwa na kitima & co.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…