Rais Samia akerwa na Wavulana 'Baro Baro' wa Dar es Salaam kutumia na kutegemea Dawa ya 'Vumbi la Kongo' katika 'Kubaiolojiana' Kwao

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,646
109,034
"Amos unanitizama tena Wewe Mkoa wako ndiyo Hatari zaidi yaani unakuta Wavulana Watanashati ( Baro Baro ) na Suti zao Wanakula Chips Mayai na Kutegemea Vumbi la Kongo katika yale mambo mengine" Rais Samia.

Chanzo: itvtz

Rais Samia safi sana Mama kwa 'Kuwachana" hawa Vijana ( Wavulana ) kwani Sisi Kaka zao akina GENTAMYCINE sasa tunaitafuta 55 Miaka lakini 'tunabaioloji' vizuri tu bila hata ya Kuutumia hilo Vumbi la Kongo na Wahusika ( Wanawake ) wanafika vizuri tu katika Kilimanjaro Summit na Kutupongeza.

Haya Vijana ( Wavulana ) wa Dar es Salaam Kaka yenu GENTAMYCINE nawapeni Tiba ya bure hapa Ili muachane na Vumbi la Kongo sawa?

Kama unajua kuna Mtu wa 'Kumbaioloji' umeshampanga hakikisha unafanya yafuatayo....

1. Kunywa Maji ya Kutosha na huu uwe ni Utaratibu wako kwani Mwili ukikosa Maji Mkuyenge wako Utakugomea tu Kusimama Kiukakamavu
2. Pata Usingizi wa Kutosha na hakikisha huna Stress hasa ukiwa unaikaribia Kuibaioloji hiyo Mbunye ya aliyeileta Kwako
3. Epuka Vyakula vya Mafuta
4. Penda sana kula Samaki au Maziwa ya Mtindi
5. Kula Ndizi Mbivu Tatu na kama unaweza jenga tabia ya Kutafuna Mihogo Mibichi na Karanga Mbichi
6. Kula Parachichi lililoiva
7. Fanya Mazoezi mara kwa mara

Sasa baada ya Kaka yenu GENTAMYCINE Mimi kuwapeni hii Elimu ya bure kabisa ambayo ningekutana na Washamba ( Marafiki zangu Wakubwa JamiiForums ) akina adriz, Bila bila, Daudi Mchambuzi na Bujibuji Simba Nyamaume ningewatoza kila Mmoja wao Dola 100 kwa hili Darasa sitegemei tena kuona Vijana ( Wavulana ) na hasa wa Sinza, Mikocheni, Kijitonyama, Mbezi Beach ( hasa Makonde ), Tegeta Masaiti, Ilala Mafleti, Upanga hii ya Muhimbil mkabala na Shule ya Tambaza, Oysterbay na Masaki, Goba yote, Kimara Darajani, Mbezi Louis, Mwenge ( hasa Survey ) na Ubungo ( hasa River Side ) mita chache na Mitaa aliyokulia DC Jerry Muro.

Hongereni mno Wanamume na Vijana wa Kawe, Lugalo, Makongo, Temeke, Kigamboni na Mbagala kwa kutotumia huu Upuuzi wa Vumbi la Kongo pale mkiwa "Mnawabaioloji' Wahusika.
 
Hii ndo habari itakayo kuwa 'Font page'(kama asemavyo mwenda zake)

Ni upuuzi tu,hayo ni mambo binafsi!!
 
Theme ya uzi ni mtoa mada kuonyesha kwa watu kwamba yeye Mwenyeji wa mjini daslamu wakati hajawahi kufika tangu azaliwe. Mtafute Mshana Jr akutibu ugonjwa wako. Unaumwa ugonjwa unaitwa Inferiority Complex
 
"Amos unanitizama tena Wewe Mkoa wako ndiyo Hatari zaidi yaani unakuta Wavulana Watanashati ( Baro Baro ) na Suti zao Wanakula Chips Mayai na Kutegemea Vumbi la Kongo katika yale mambo mengine" Rais Samia.

Chanzo: itvtz

Rais Samia safi sana Mama kwa 'Kuwachana" hawa Vijana ( Wavulana ) kwani Sisi Kaka zao akina GENTAMYCINE sasa tunaitafuta 55 Miaka lakini 'tunabaioloji' vizuri tu bila hata ya Kuutumia hilo Vumbi la Kongo na Wahusika ( Wanawake ) wanafika vizuri tu katika Kilimanjaro Summit na Kutupongeza.

Haya Vijana ( Wavulana ) wa Dar es Salaam Kaka yenu GENTAMYCINE nawapeni Tiba ya bure hapa Ili muachane na Vumbi la Kongo sawa?

Kama unajua kuna Mtu wa 'Kumbaioloji' umeshampanga hakikisha unafanya yafuatayo....

1. Kunywa Maji ya Kutosha na huu uwe ni Utaratibu wako kwani Mwili ukikosa Maji Mkuyenge wako Utakugomea tu Kusimama Kiukakamavu
2. Pata Usingizi wa Kutosha na hakikisha huna Stress hasa ukiwa unaikaribia Kuibaioloji hiyo Mbunye ya aliyeileta Kwako
3. Epuka Vyakula vya Mafuta
4. Penda sana kula Samaki au Maziwa ya Mtindi
5. Kula Ndizi Mbivu Tatu na kama unaweza jenga tabia ya Kutafuna Mihogo Mibichi na Karanga Mbichi
6. Kula Parachichi lililoiva
7. Fanya Mazoezi mara kwa mara

Sasa baada ya Kaka yenu GENTAMYCINE Mimi kuwapeni hii Elimu ya bure kabisa ambayo ningekutana na Washamba ( Marafiki zangu Wakubwa JamiiForums ) akina adriz, Bila bila, Daudi Mchambuzi na Bujibuji Simba Nyamaume ningewatoza kila Mmoja wao Dola 100 kwa hili Darasa sitegemei tena kuona Vijana ( Wavulana ) na hasa wa Sinza, Mikocheni, Kijitonyama, Mbezi Beach ( hasa Makonde ), Tegeta Masaiti, Ilala Mafleti, Upanga hii ya Muhimbil mkabala na Shule ya Tambaza, Oysterbay na Masaki, Goba yote, Kimara Darajani, Mbezi Louis, Mwenge ( hasa Survey ) na Ubungo ( hasa River Side ) mita chache na Mitaa aliyokulia DC Jerry Muro.

Hongereni mno Wanamume na Vijana wa Kawe, Lugalo, Makongo, Temeke, Kigamboni na Mbagala kwa kutotumia huu Upuuzi wa Vumbi la Kongo pale mkiwa "Mnawabaioloji' Wahusika.
Haya kesho mapema tukutane kikiweni unitozo hiyo $100
 
Back
Top Bottom