Rais Samia aendelea kumuenzi Hayati Dk. John Joseph Pombe Magufuli

Tunakuelewa sana Rais wetu
 
Kazie iendelee kwa heri,
 
Safi sana Mama
 
Nchi inaendeshwa kwa dira na wala si kumuenzi mtu period. Tuache hizi siasa zisizo na mashiko. Tukae chini tupange tunataka nini put up a strategic plans (ipo imetupwa huko) na kuzilinda kisheria asije mtu akatutoa kwenye dira. Nchi inaendeshwa kama familia ya mtu. Rais kataka hiki kifanyike haya twende huko hapana kule sawa. Hatutaenda popote. Tutamwaga mihela kusiko na tija mwisho wake tunaenda in circles. Tunabakia mule mule miaka nenda rudi. Hata idara ya mipanga imevunjwa nchi inaendeshwa kwa matakwa ya Rais sio wananchi tena.
 
Hilo daraja sio serikali ilfanikisha iwe ya Magufuli au Samia limejengwa kwa hela za wakorea

Serikali haikuwa na mpango wa kujenga iwe ya Magufuli , Kikwete, nyerere Wala Mwinyi.

Credit ziende kwa wakorea
Wacha kuitesa nafsi yako bila sababu, yani yote hayo uliyoandika ni kujaribu tu kukwepa kukubali kuwa limejengwa na legendary Magu😅
Unajitesa bro!.
 
Awesome,
 
Samia ni jembe lazima tuelewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…