Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 18,200
- 27,248
Kuna watu kipindi cha jk hawakueweza kujenga, wakajenga kipindi Cha magu. Hivyo hivyo Kuna watu kipindi Cha magu hawakuweza kujenga watajenga kipindi Cha Samia.Chonde chonde wanawake wenzangu .tukimbizane na huyu mama mzunguko utarudi tu later..kama hukujenga kipindi cha Jk bas kipindi hiki jenga walau nyumba ya rooms 2!
Nna imani na mama la Mama SSH!
Ukweli ni kuwa Maendeleo binafsi yanaletwa na wewe mwenyewe hakuna wa kukuwekea pesa mfukoni. Tukamate fursa usiku na mchana. Mimi nilijenga kipindi Cha magu na nitajenga kipindi Cha Samia na hata raisi mwingine atayekuja