Rais Samia, achia pesa hali ni mbaya mtaani

Chonde chonde wanawake wenzangu .tukimbizane na huyu mama mzunguko utarudi tu later..kama hukujenga kipindi cha Jk bas kipindi hiki jenga walau nyumba ya rooms 2!
Nna imani na mama la Mama SSH!
Kuna watu kipindi cha jk hawakueweza kujenga, wakajenga kipindi Cha magu. Hivyo hivyo Kuna watu kipindi Cha magu hawakuweza kujenga watajenga kipindi Cha Samia.
Ukweli ni kuwa Maendeleo binafsi yanaletwa na wewe mwenyewe hakuna wa kukuwekea pesa mfukoni. Tukamate fursa usiku na mchana. Mimi nilijenga kipindi Cha magu na nitajenga kipindi Cha Samia na hata raisi mwingine atayekuja
 
Ni Bora wewe uwaambie ukweli, hata kipindi Cha jk Kuna watu walishindwa kujenga.
Kujenga au kutojenga hii inategemea na wewe mwenyewe, na ndio ukweli wengi hawaupendi.
Mimi kipindi cha jk sikua najitambua....pia nilikua nna ulezi..lol..hatuishi sababu🤣
 
Kuna watu kipindi cha jk hawakueweza kujenga, wakajenga kipindi Cha magu. Hivyo hivyo Kuna watu kipindi Cha magu hawakuweza kujenga watajenga kipindi Cha Samia.
Ukweli ni kuwa Maendeleo binafsi yanaletwa na wewe mwenyewe hakuna wa kukuwekea pesa mfukoni. Tukamate fursa usiku na mchana. Mimi nilijenga kipindi Cha magu na nitajenga kipindi Cha Samia na hata raisi mwingine atayekuja
👊👊👊👊👊👊👊❤❣
 
Mlisema maza sio kama mwendazake, Kiko wapi sasa? Kuna watu wana pesa mbaya hata hawana malalamiko uliyokuwa nayo wewe
 
Ndo madhara haya rais kawadanganya wananchi miradi anaifanya kwa pesa za ndani kumbe anakopa mikopo kimya kimya yenye riba kubwa yeye na genge lake wakaendelea kujinufaisha huyu mzee alishaiharibu sana hii nchi

Wenzake walishajua athari za kuchukua mikopo mikubwa
Matokeo yake ndo haya Kiwango kikubwa cha makusanyo kinaenda kulipa kodi hali inakuwa mbaya tu
 
Back
Top Bottom