chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 12,180
- 25,418
Hizii siasa kwenye mpira ndo zinatuharibia mpira wetuu.
Kwa huo upumbavu nani atakuzingatiaKinachoniuma ni Tanganyika ya watu 60M+ KUKUBALI kutawaliwa na raia wa nchi jirani ambayo idadi ya raia wa nchi hiyo haizidi 2M,huu ni ujinga wa watanganyika
Upumbavu ni KIPAJI....Tumepokea kwa moyo wa shukrani mchango wa malazi na usafiri kwa ajili ya mchezo wetu wa marudiano wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Stellenbosch.
Pamoja na ushabiki wangu kwa Simba sisapoti huu ujinga.
Mo alipaswa kujibu Kama mwenyekiti wa bodi ya Simba kwa kutuma barua yenye nembo ya Simba na sio kujibu Kama yeye personal.
Kampeni za kitoto kabisa hizi. Serikali ina mahitaji chungu mzima, wakandarasi wana madeni hawalipwi. Kwani hizo bilioni za Simba toka CAF si ndio kazi yake hiyo
KWa huu upande naona ndio kabobea
Viongozi wa Simba wanapata wakati mgumu sana kuchomeka siasa na uchawa katika mafanikio ya Simba maana wanajua mashabiki wengi wa Simba hawafagilii hizi pigo.Hizii siasa kwenye mpira ndo zinatuharibia mpira wetuu.
Kwa sababu mlishasomeka hivo na nyie.Hivi kwanini huyu mama anajali vitu pety pety ? Hapo kuna mtanzania yupo mateka Sudan kwa 36M hapo serikali haipo! Dah
Naona Utopolo wana'dislike'.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameipa Simba sapoti ya usafiri wa kwenda Afrika Kusini na kugharamia malazi kwa timu hiyo katika kipindi chote itakapokuwa huko kwa ajili ya mechi ya marudiano ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Stellenbosch, Aprili 27, 2025.
Mechi hiyo ni ya marudiano ya hatua ya nusu fainali baada ya kwanza iliyofanyika kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar kumalizika kwa ushindi wa Simba wa bao 1-0.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Mohammed Dewji amethibitisha Rais Samia kutoa sapoti hiyo huku akitoa shukrani za klabu hiyo.
“Kwa niaba ya Klabu ya Simba Sports Club, napenda kutoa shukrani za dhati kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kwa kuiwezesha klabu yetu kushiriki mashindano ya kimataifa.
“Tumepokea kwa moyo wa shukrani mchango wa malazi na usafiri kwa ajili ya mchezo wetu wa marudiano wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Stellenbosch.
“Klabu ya Simba inatambua na kuthamini kwa dhati juhudi za Rais Samia katika kumarisha sekta ya michezo hapa nchini, hususan mpira wa miguu,” amesema Dewji.View attachment 3312938
Kwanini MO anashujuru yeye kwaniaba ya timu?Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameipa Simba sapoti ya usafiri wa kwenda Afrika Kusini na kugharamia malazi kwa timu hiyo katika kipindi chote itakapokuwa huko kwa ajili ya mechi ya marudiano ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Stellenbosch, Aprili 27, 2025.
Mechi hiyo ni ya marudiano ya hatua ya nusu fainali baada ya kwanza iliyofanyika kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar kumalizika kwa ushindi wa Simba wa bao 1-0.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Mohammed Dewji amethibitisha Rais Samia kutoa sapoti hiyo huku akitoa shukrani za klabu hiyo.
“Kwa niaba ya Klabu ya Simba Sports Club, napenda kutoa shukrani za dhati kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kwa kuiwezesha klabu yetu kushiriki mashindano ya kimataifa.
“Tumepokea kwa moyo wa shukrani mchango wa malazi na usafiri kwa ajili ya mchezo wetu wa marudiano wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Stellenbosch.
“Klabu ya Simba inatambua na kuthamini kwa dhati juhudi za Rais Samia katika kumarisha sekta ya michezo hapa nchini, hususan mpira wa miguu,” amesema Dewji.View attachment 3312938
Furaha ya ushindi wa Simba ni ya watanzania wote. Licha ya shida zote za maisha, lakini kuna kipindi unatakiwa kuitafuta furaha japo ni nusu furaha. Na kusahau kidogo mambo ya siasa.Mahela ni ya mama, madeni ni ya serikali.
Vv
We unataka shule ziwe bora ili mtoe wananchi bora wanao jielewa waipindue CCM? My friend, elimu ya kuunga unga nchi hii ni mpango madhubuti kabisa wa kuzalisha hopeless generation.Ila tukiachana na mpira, tuangalie walau shule zote za Serikali ziezekwe kwa bati na ziwe na madirisha na milango tu.
Mkuu hv umepigaje hapo we si ni Ccm, umeupiga mwingi, umeachia hata bila kugusa....Kwenye Raha ni Samia kwenye shida watanganyika wanabebesha mzigo,tuamke tupate rais wa Tanganyika
Izo pesa zinge elekezwa kwenye ku boresha huduma za afya.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameipa Simba sapoti ya usafiri wa kwenda Afrika Kusini na kugharamia malazi kwa timu hiyo katika kipindi chote itakapokuwa huko kwa ajili ya mechi ya marudiano ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Stellenbosch, Aprili 27, 2025.
Mechi hiyo ni ya marudiano ya hatua ya nusu fainali baada ya kwanza iliyofanyika kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar kumalizika kwa ushindi wa Simba wa bao 1-0.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Mohammed Dewji amethibitisha Rais Samia kutoa sapoti hiyo huku akitoa shukrani za klabu hiyo.
“Kwa niaba ya Klabu ya Simba Sports Club, napenda kutoa shukrani za dhati kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kwa kuiwezesha klabu yetu kushiriki mashindano ya kimataifa.
“Tumepokea kwa moyo wa shukrani mchango wa malazi na usafiri kwa ajili ya mchezo wetu wa marudiano wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Stellenbosch.
“Klabu ya Simba inatambua na kuthamini kwa dhati juhudi za Rais Samia katika kumarisha sekta ya michezo hapa nchini, hususan mpira wa miguu,” amesema Dewji.View attachment 3312938
Kila laheri Mnyama huko bondeni.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameipa Simba sapoti ya usafiri wa kwenda Afrika Kusini na kugharamia malazi kwa timu hiyo katika kipindi chote itakapokuwa huko kwa ajili ya mechi ya marudiano ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Stellenbosch, Aprili 27, 2025.
Mechi hiyo ni ya marudiano ya hatua ya nusu fainali baada ya kwanza iliyofanyika kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar kumalizika kwa ushindi wa Simba wa bao 1-0.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Mohammed Dewji amethibitisha Rais Samia kutoa sapoti hiyo huku akitoa shukrani za klabu hiyo.
“Kwa niaba ya Klabu ya Simba Sports Club, napenda kutoa shukrani za dhati kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kwa kuiwezesha klabu yetu kushiriki mashindano ya kimataifa.
“Tumepokea kwa moyo wa shukrani mchango wa malazi na usafiri kwa ajili ya mchezo wetu wa marudiano wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Stellenbosch.
“Klabu ya Simba inatambua na kuthamini kwa dhati juhudi za Rais Samia katika kumarisha sekta ya michezo hapa nchini, hususan mpira wa miguu,” amesema Dewji.View attachment 3312938
Zanzibar ni sehemu ya Jamhuri ya muungano ya Tanzania.Kinachoniuma ni Tanganyika ya watu 60M+ KUKUBALI kutawaliwa na raia wa nchi jirani ambayo idadi ya raia wa nchi hiyo haizidi 2M,huu ni ujinga wa watanganyika
Hakuna lolote,nenda Zanzibar ukagombee ubalozi wa nyumba kumi,ukipata hiyo nafasi naacha kazi ya ualimuZanzibar ni sehemu ya Jamhuri ya muungano ya Tanzania.