Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Rais Samia amebariki Shirika la ndege la Tanzania (ATCL) kupitia ndege yake ya Boeing 737-9 kuwapeleka Mahujaji Makka nchini Saudi Arabia.
Taasisi ya CAG haiheshimiwi tenaCAG atakuja kukuta shimo la mabilioni ya kupeleka mahujaji.
Huenda hata CAG huwa anaambiwa... we kantagaze tu...😄Taasisi ya CAG haiheshimiwi tena
Sasa angekuwa hana akili angekuwa rais wako, wewe mwenye akili uko wapi!? Acha kuwadharau wanaadamu wenzako kwamba hawana akili. Stupido!Wakitoka huko waungane na huyo aliyewapeleka waende shule wapate akili wote.
Tz hata mbuzi anaweza kuwa raisSasa angekuwa hana akili angekuwa rais wako, wewe mwenye akili uko wapi!? Acha kuwadharau wanaadamu wenzako kwamba hawana akili. Stupido!
Umenikumbusha Yale mabomu ya mbagala yaliyoexpire na kuripuka yenyewe,Hahahah!! Haya ndio anayo weza.lazi jw linazalilika uko Kongo yy anaponda Raha mujini.
KAZI ni kipimo cha utu
Ndege inatakiwa ikiondoka nao Leo irudi na abiria wengine kesho yake.Kama wanalipia gharama ya kwenda na kurudi kuna ubaya gani. Wote tunabariki safari yao mradi walipie hiyo safari.