Rais Samia abariki ATCL kuwapelea Mahujaji Makka

Rais Samia abariki ATCL kuwapelea Mahujaji Makka

Sasa angekuwa hana akili angekuwa rais wako, wewe mwenye akili uko wapi!? Acha kuwadharau wanaadamu wenzako kwamba hawana akili. Stupido!
Kwani uongo kuwa hana akili? Angekuwa na akili Makonda angemchezea? N’gombe 400 alizochinja hizo hela kazi toa wapi sio kwa huyo bibi!!?
 
Kwani huko Mecca kuna nini, ndio mji mtakatifu wa waislam?

Hapa ndipo mwarabu na mzungu walipocheza, kuna namna walifanya ili economically wanufaike in the long run, and that's what they're doing now. Revenue inayopatikana kwa watalii wanaozuru Mecca ni kubwa sana, inaendesha nchi kwa asilimia kubwa tu.

Hongereni waeabu na wazungu, mmejua kuzichukua akili zetu.
 
Kwani huko Mecca kuna nini, ndio mji mtakatifu wa waislam?

Hapa ndipo mwarabu na mzungu walipocheza, kuna namna walifanya ili economically wanufaike in the long run, and that's what they're doing now. Revenue inayopatikana kwa watalii wanaozuru Mecca ni kubwa sana, inaendesha nchi kwa asilimia kubwa tu.

Hongereni waeabu na wazungu, mmejua kuzichukua akili zetu.
Mapema Kizmkazi nayo itaingiza Revenue kule upande wa pili
 
Safari njema,

Hata hivyo serikali isiwe inalaumu viongozi wa Dini wanapokemea siasa za rafu kuambiwa wasiingilie mambo ya siasa ili hali kumbe hata serikali inaingilia mambo ya dini
 
Kama wanalipia gharama ya kwenda na kurudi kuna ubaya gani. Wote tunabariki safari yao mradi walipie hiyo safari.

Kama wanajilipia mbona mashirika ya ndege yapo yakuweza kuwafikisha huko Meca?!
 
ATCL ni biashara inayomilikiwa na Watanzania, kama mahujai watalipa hakuna shida yeyote.

Tukileta mzaha Kesho watakuja Roman Catholic wanataka kwenda Vatican, keshokutwa watakuja Anglican wanataka kwenda UK, watakuja wasabato wanataka kwenda USA, watakuja wahindu wanataka kwenda India, Shia nao wanataka kwenda Kelbara-Iraq, Wengine watatka kwenda Jerusalem, wale wenye dini za asili wataomba waende gamboshi, wapagani watakuja kuomba wakale bata LA na NYC.
 
Ndiyo maana shirika kila mwaka ni hasara kubwa za hovyo, kwanini wasiende kwa hela zao?
 
Ndio maana nimetoa pendekezo bora tugeuze banda la kubetia maana haina tena heshima ile ofisi.........huku nje ubabe mwingi sana
Na hakuna ofisi inapokea rushwa kwa ofisi ya CAG ila watu hawajui na hawataki kujua, ni ofisi ya hovyo haswa kupita kiasi
 
Wanafadhiliwa na serikali?
Sitoshangaa ndio maana Zimbabwe imetuita Islamic Republic of Tanzania hivi Usecular umetushinda kweli?! Au hawa wajinga wanacheza na moto?!
Ujinga sio tusi.
 
Kwamba mali ya UMMA inaendeshwa kwa maamuzi ya mtu na sio kwa kuangalia athari au faida inayoweza kupatikana ?

Sijasema kinachofanyika ni kibaya au kizuri (sina data) ila huu mtindo wa mtu kujiamulia tu kwamba anatoa kibali cha kufanya hiki au kile kitaendelea kutufikisha pabaya zaidi... Hii mali sio ya kwetu pekee bali urithi wa vizazi vijavyo, na tunachofanya sasa ni heri kina Mangungo aw Msovero (Kumbuka hapa sio ndege kama ndege pekee bali ni kodi zetu) Kwahio unless kama hili jambo lina tija economically basi wala hawahitaji kibali chochote they should do it sababu ndio kazi tuliyowapatia ili kulinda mali zetu
Hajajiamulia yeye. Hebu msikize vizuri
 
Back
Top Bottom