Afu anatusemaea eti 'jpm wetu'!Nenda kamfufue.
Maybe yeye ana ushawishi zaidi duniani kuliko hao wakina Diamond.Aiseee hivi kweli Rais anafanya kazi ambayo ilitakiwa kufanywa na Diamond au waziri wa utaliii? kweli Rais afanye kazi hii? hakika inasikitisha sana.
Hivi Rais kweli ana zunguka kurekodi vitu ambavyo vilitakiwa nkufanywa na wasanii wa bongo movie? Hivi kweli Rais hana kazi kabisa ya kufanya?
Hata hivyo ni mrembo sana ..... Anafaa mwache atengeneze movie Jiwe hakumtumia maana hakujua kipaji chakeBadala ya kushughulikia matatizo ya wananchi yeye yuko busy kutengeneza movie???
God save us
Hapana sina video.Hata hivyo ni mrembo sana ..... Anafaa mwache atengeneze movie Jiwe hakumtumia maana hakujua kipaji chake
Nb
Hiyo avata yako , huyo ni Gwajigirl kama sijakosea , alidukuliwa akifanya yake . Uko na vidio nitumie ......