Rais Samia aanza kurekodi kipindi maarufu cha ‘Royal Tour’ kuitangaza Tanzania kimataifa kupitia vivutio ya utalii

Aiseee hivi kweli Rais anafanya kazi ambayo ilitakiwa kufanywa na Diamond au waziri wa utaliii? kweli Rais afanye kazi hii? hakika inasikitisha sana.
Hivi Rais kweli ana zunguka kurekodi vitu ambavyo vilitakiwa nkufanywa na wasanii wa bongo movie? Hivi kweli Rais hana kazi kabisa ya kufanya?
Labda ameona hili la kwenda location ndiyo jambo ambalo analimudu vema ziadi kuliko mambo mingine
 
Hakuna ubunifu wa maana hapo!! Wawekezaji wako makini wanajua hizi nistress zakukosa wawekezaji!
Nchi iwe na mifumo inayoeleweka ili asitokee rais anayeweza kutibua tibua nchi kwa maamuzi na mitizamo yake binafsi.
hilo linawezekana tukiwa na katiba bora. Wakumbuke wapo mabalozi ambao hutoa mrejesho kwenye nchi zao hasa kwa wawekezaji wanaotaka kuwekeza hapa sasa kama mabalozi wanaona MBOWE aliye raia na mfanyabiashara anapukutishwa,anaitwa gaidi, anapewa kesi ya uhujumu uchumi kijiiinga kweli atataka watuwake waje kuweka mabilioni yao hapa??
Hakuna taasisi imara mf mahakama, takukuru, tra nk nani awekeze alafu zikitokea disputes hana pakukimbilia zaidi ya kukimbia nchi.
nchigani jeshi linatumwa kuvamia na kufunga biashara zawatu wezetu hawawekezi kipumbafu wanafanya research zao vyema na projection zamiaka hata 20 ijayo UJINGA UJINGA TUU.
 
Ungekuwa na akili ungejua kuwa wawekezaji wanahitaji tu kujua fursa zilizopo sehemu husika na wala hawaangalii hayo mambo unayosema!

Endelezeni siasa wakati mwenzenu anazidi kupiga kazi na kuipeleka nchi juu
 
Nikweli anaipeleka juu... Juu ya mawe. sirikali inafurahia mijinga kamawewe maana mnatetea wanaofaidi hamjali halizenu na familia zenu zilivyo duni!!
Eti hawaangalii usalama wao na biashara zao!!! kunawatu ni Natural born stupid
 
Acha kuonesha kwa Jinsi gani Uko mjinga kichwani. Kipindi hiki na hizi tour hazigharamiwi na fedha za serikali( Walipa kodi) . Kinagharamiwa na michango kutoka sekta binafsi
Kwani pesa za sekta binafsi haziwezi kupigwa na viongozi wa Serikali?

Pesa za ESKROW zilizopigwa enzi za Kikwete zilikuwa za Serikali ??
 
View attachment 1915327

President Samia Suluhu Hassan has kicked off the recording of a documentary titled 'Royal Tour'.

The recording of the documentary that is meant to promote Tanzania internationally started on August 28, 2021 in Zanzibar where the President is on an official visit.

According to a statement released on Sunday, August 29, 2021 by Director of Presidential Communications, Jaffar Haniu the head of state will show visitors different attractions.

The documentary will be recorded under the Chairman of the President's committee to coordinate the plan to promote Tanzania internationally who is the permanent secretary in the ministry of Information, Culture, arts and Sports, DrHassan Abbas.

“The president will show visitors different tourism, investments, arts and cultural attractions available in the country,” reads part of the statement.

A royal tour is when members of the Royal Family go on an official visit – also known as a state visit – overseas, touring as many locations as they can make time for and visiting officials and the locals.

Royal tours are intended to strengthen relationships with the visited countries as well as inspire policy changes.
SSH hana kazi bali kuanza kuzurura ati kuitangaza Tanzania, aibu hiyo sio kazi yake. Waache kutuhadaa tunahitaji Rais anayefanya kazi za Urais.

BTW Tanzania is not a kingdom, I wonder who suggested to use royal.
 
Tutolee ushamba wako hapa! Kama hujui uliza. Royal Tour ni jina la program( kipindi) na kipo siku nyingi.

Kwa taarifa yako kipindi hichi ndo Kagame alianza kukitumia katika kuijenga brand ya Visit Rwanda ambayo so far ndo the most successful brand Kwa Africa.

Naona Mama Samia anazidi kuwakatia upepo vilaza na washamba!
SSH hana kazi bali kuanza kuzurura ati kuitangaza Tanzania, aibu hiyo sio kazi yake. Waache kutuhadaa tunahitaji Rais anayefanya kazi za Urais.

BTW Tanzania is not a kingdom, I wonder who suggested to use royal.
 
Nikweli anaipeleka juu... Juu ya mawe. sirikali inafurahia mijinga kamawewe maana mnatetea wanaofaidi hamjali halizenu na familia zenu zilivyo duni!!
Eti hawaangalii usalama wao na biashara zao!!! kunawatu ni Natural born stupid
Kama unaongelea hali yangu nazidi kumshukuru Mama Samia kwa kufungua uchumi kwa sababu kwa sasa wateja wangu kutoka kenya wananunua mbao na zinakwenda kenya bila Tatizo na nchi inaingiza mapato

Pia kijijini kwetu wakulima wa mbaazi wameanza kufurahia bei Nzuri ya mbaazi iliyosababishwa na mbadiliko ya kiuchumi yaliyosababishwa na Sera Bora za Mama Samia.

Sasa wewe unaemchukia Mama Samia kwa chuki zako, nakushauri tafuta tu juice ya ndimu unywe
 
Back
Top Bottom