Vipi kuhusu mafisadi sio kazi yao?HABARI NDIO HIO KUELEKEA KUTIKI OKTABA
Jumla ya askari wapya 16,009 wameajiriwa, huku Maofisa, Wakaguzi na Askari 10,363 wakipandishwa vyeo. Kwa kufanya hivyo, Kasi ya kuwabaini na kuwakamata wahalifu, na kuwafikisha Mahakamani imeongezeka. Rais Samia pia alilielekeza Jeshi la Polisi kuongeza jitihada katika kukomesha matukio ya watu kutekwa na kupotea.
moja kwa mojaTunaenda na Samia.....
Ndiyo rafiki akoduuuh
yupiNdiyo rafiki ako
Ananuka Ananuka AnanukaHABARI NDIO HIO KUELEKEA KUTIKI OKTABA
Jumla ya askari wapya 16,009 wameajiriwa, huku Maofisa, Wakaguzi na Askari 10,363 wakipandishwa vyeo. Kwa kufanya hivyo, Kasi ya kuwabaini na kuwakamata wahalifu, na kuwafikisha Mahakamani imeongezeka. Rais Samia pia alilielekeza Jeshi la Polisi kuongeza jitihada katika kukomesha matukio ya watu kutekwa na kupotea.
teuzi hata wewe ukija utateiluwa tuMwanangu usipolamba teuzi ni wewe tu sio kwa hizi pambio zaa kila siku, Bangi Bangi Bangi
Kukomesha itekaji na watekaji ndio hao hao wakomeshaji , hizi si bangi tu hizi , mnajitekenya mnacheka wenyeweHABARI NDIO HIO KUELEKEA KUTIKI OKTABA
Jumla ya askari wapya 16,009 wameajiriwa, huku Maofisa, Wakaguzi na Askari 10,363 wakipandishwa vyeo. Kwa kufanya hivyo, Kasi ya kuwabaini na kuwakamata wahalifu, na kuwafikisha Mahakamani imeongezeka. Rais Samia pia alilielekeza Jeshi la Polisi kuongeza jitihada katika kukomesha matukio ya watu kutekwa na kupotea.
Huyo huyoyupi
HUYO HUYO NANI?Huyo huyo
DCEA katelephone watakuona mkuu utalamba teuzi sio siku nyingiteuzi hata wewe ukija utateiluwa tu
Bangi Bangi Bangimoja kwa moja
KAZI ZA RAIS SAMIA HAZINA MFANOKasi ya kuwabaini, kuwakamata na kuwafikisha mahakamani watanganyika na wapinzani imeongezeka
sanaKasi ya kuwabaini, kuwakamata na kuwafikisha mahakamani watanganyika na wapinzani imeongezeka
JEMA SANA
hapanaKwa ajili ya kuumiza watu kwenye uchaguzi mkuu.
kazi inaendelea vizuriHABARI NDIO HIO KUELEKEA KUTIKI OKTABA
Jumla ya askari wapya 16,009 wameajiriwa, huku Maofisa, Wakaguzi na Askari 10,363 wakipandishwa vyeo. Kwa kufanya hivyo, Kasi ya kuwabaini na kuwakamata wahalifu, na kuwafikisha Mahakamani imeongezeka. Rais Samia pia alilielekeza Jeshi la Polisi kuongeza jitihada katika kukomesha matukio ya watu kutekwa na kupotea.
nia sio hiyo nia ni fursa za ajira kwa vijanaNa wasiotii sheria bila shuruti, wajiandae kupigwa hadi wachakae!
Some dreams!HABARI NDIO HIO KUELEKEA KUTIKI OKTABA