Rais Samia aache kutuuzia Uoga

Rais Samia aache kutuuzia Uoga

Ni vema akamtumbua Gavana wa Benki(BOT) na amteue Gavana ambaye amebobea kwenye uchumi. Kila siku shillingi ya Tanzania inashuka thamani. Thamani ya fedha ya Burundi ambayo ni nchi maskini inaizidi thamani ya shillingi ya Tanzania.
Yeye mwenyewe anapaswa kujiengua.
 
Anakata pochi visiwani Zanzibar kwa mkataba upi,huwezi toa sehemu ya mapato ya Kodi kwa nchi yenye bendera yake na mfumo wake huru kama Zanzibar,wale watu wafanye kazi uchumi uendelee,waache kujipachika kwenye mapato ghafi,mapati ghafi ya kila mwezi ndani yake Kuna materials ambazo lazima zirudi kwenye mzunguko,please tunaomba tulipigie kura ya maoni ni mzigo,tuhudumie deni kubwa kisha tucheleweshewe huduma muhimu,watu wanaenda likizo bila allowance sababu tuu ya kuhudumia unguja,Miradi mikubwa imeisha turudi mezani kujadiri dira ya matumizi na sio kuongeza deni na kuongeza hadi asilimia kumi kila mwezi kuhudumia Zanzibar hii haikubaliki.
Kuna watu wanasema Zanzibar inaendelezwa kwa hii mikopo, ambapo japokuwa ina sura ya kitaifa, lakini ile asilimia wanayopewa Zanzibar inawainua sana. Na huu ni mkakati maalum, kwamba Samia achukue mikopo, na hata kama Zanzibar wanapewa 10% ya mikopo bado inawasaidia sana, bila kusahau jukumu la kulipa mikopo ni la Tanzania bara. Uliza Zanzibar kama Zanzibar nchi inachangia kiasi gani katika kulipa deni la Taifa - zero! Lakini tukichukua mkopo kuna asilimia lazima iende Zanzibar.Unaona walichofanya?
 
Mimi napingana na hoja yako,binafsi naona shida ni mifumo yetu mibovu chini ya sheria zetu na katiba yetu ambayo imepitwa na wakati,

Trump sio kwamba leo ni Rais wa USA ni bora na upo IQ kubwa kuliko Wamarekani wote , bali mifumo ya nchi ipo imara chini ya katiba yao na sheria zao.

Kila mtu anawajibika katika majukum yake ,ukizingua unakutana na kaa la moto bila kujali cheo cha mtu.

Leo hii Trump akawa Rais wa Tz kutokana na mifumo yetu mibovu naye atapuyanga tu ,

Hivyo hivyo hakuna Rais wa nchi hii atakuja bila kutobadili katiba , sheria mbalimbali ili kuboresha mifumo akatobo ,hakuna ata leo akishuka toka mbinguni.

So leo au kesho yoyote akiwa Rais kwa mifumo yetu hii hatoboi , matatizo, shida kwa wananchi , uchumi wa nchi ,mambo yataendelea kuwa hivihivi na pengine kuwa mbaya zaidi. Hakuna cha kuupiga mwingi wala mjomba wake ukweli ndo huo.
Wapo wazalendo wachache sana kama Traore, Faye wa Senegal. Ila ni kweli binadamu wengi ni wahuni hasa ukiwapa madaraka ya kifalme, yasiyo na mipaka, kuwafunga, kuua wapinzani wako bila kushtakiwa.

Hata upinzani ukiwapa hayo madaraka wata- behave the same way. Muhimu kuwe na katiba mpya proper checks and balance. Kama Nordic countries hasa nchi kama Switzerland. Kule wakiona uamuzi wako ni mbovu kwa maslahi ya taifa unapigiwa kura ya maoni na wananchi ukishindwa unaondolewa.
 
Shida nchi hii raia tupo kama wakimbizi
 
Mimi mwenyewe kila nikitaka kumlaumu kwa mambo yanayoendelea nakumbuka huyu uraisi aliuokota tu hakujiandaa kwa vyovyote vile acha tu amalize muda wake aondoke
Muda wake anaumaliza 2030. Huwezi kuona mengi anayoyafanya ukiwa umejifungia kwenye haya majiji makubwa, zunguka Tanzania nzima uone yanayofanyika.
 
Muda wake anaumaliza 2030. Huwezi kuona mengi anayoyafanya ukiwa umejifungia kwenye haya majiji makubwa, zunguka Tanzania nzima uone yanayofanyika.
Hatutaki anayofanya,tunaangalia trend ya household capacity,watu wengi wako kama vichaa wamevurugwa hawaoni future wanajipooza na Cuca pamoja na Kitoko
 
Kwanini Halembwe06, , tuna Tofauti gani na Raia wa Senegal, Burkina Faso?
Hatujui haki zetu za kiraia,Rais sio taasisi ya kujiamlia kila jambo mambo mengine ni ya mstakabri wa taifa zaidi,huwezi ongeza mgao wa Zanzibar kutoka 3,%hadi 10% bila kuwajuza walipa Kodi na bado wananufaika na madeni tunayokopa,tunapata nini in return, bara inashindwa kuhudumia taasisi zake na kuishia kutishia eti mashirika mzigo au kichefuchefu wakati Kuna taasisi za production direct na service direct.
 
Hii nchi tatizo kubwa Viongozi wanaotuongoza wanakua hawajajipanga alafu Dunia ya leo imebadilika sana
 
Baada ya Samia na Mkwe wake kuuharibu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Watanzania hawamuamini tena kusimamia Uchaguzi Mkuu.

NO REFORMS NO ELECTION ✌️
LINDA DEMOKRASIA 🤚
 
Hatujui haki zetu za kiraia,Rais sio taasisi ya kujiamlia kila jambo mambo mengine ni ya mstakabri wa taifa zaidi,huwezi ongeza mgao wa Zanzibar kutoka 3,%hadi 10% bila kuwajuza walipa Kodi na bado wananufaika na madeni tunayokopa,tunapata nini in return, bara inashindwa kuhudumia taasisi zake na kuishia kutishia eti mashirika mzigo au kichefuchefu wakati Kuna taasisi za production direct na service direct.

Elewa hivi Tanzania Rais ni kama Mungu, Mfalme, akilala na kuamuka anaweza kuamua chochote.

Hata kuuza nchi kama ananyofanya kwa ubinafshaji wake akiwatumia waarabu. Kafulila, Mwigulu, Kitila Mkumbo.

Tuwekeni mkataba tunapata nini, asilimia ngapi kwenye huu uwekezaji. Ni miaka mingapi, Return on investment.
 
Hiyo elimu, akili kujua rais ni mwajiliwa wao, kama kiongozi wa halmashauri hawana. Wanamuona kama ni Mungu.
 
Elewa hivi Tanzania Rais ni kama Mungu, Mfalme, akilala na kuamuka anaweza kuamua chochote.

Hata kuuza nchi kama ananyofanya kwa ubinafshaji wake akiwatumia waarabu. Kafulila, Mwigulu, Kitila Mkumbo.

Tuwekeni mkataba tunapata nini, asilimia ngapi kwenye huu uwekezaji. Ni miaka mingapi, Return on investment.
Basi tufungue kesi ya kupinga haya
 
Basi tufungue kesi ya kupinga haya
Itasikilizwa na nani? Rais akimuambia hakimu sema hivi utashindana naye.

Rais ni Mungu Tanzania, mahakama zote haziwezi kumpinga rais. Akisema ufungwe hata kama ni kosa utafungwa.
 
Back
Top Bottom