Rais Samia aache kutuuzia Uoga

Rais Samia aache kutuuzia Uoga

Kwisha kazi hapo
Dunia ilitambua kuwe na mamlaka matatu tofauti, Executive, judiciary, parliamentary ikimaanisha binadanu wa nchi husika wapate haki wakiwa na mifumo ya haki.

Ukiweka mamlaka ya mifumo yote, dini zote, watu wote kwa mtu mmoja ni lazima upate shida. Rais wa Tanzania ana mamlaka makubwa kuliko Mungu. Huyu wa sasa hakuna aliyemchagua. Inabidi atumie utemi kubaki madarakani. Sio raia wa Tanganyika.
 
Jiwe yuko wapi? alitoa vitisho hadi mishipa ya shingo ilimtoka, lakini akafa kibwege sana!
 
Hi hivi dunia ilitambua kuwe na mamlaka matatu tofauti, Excurtive, judiciary, parliamentary ikimaanisha binadanu wa nchi husika wapate haki.

Ukiweka mamlaka ya mifumo yote, dini zote, watu wote kwa mtu mmoja ni lazima upate shida. Rais wa Tanzania ana mamlaka makubwa kuliko Mungu. Huyu wa sasa hakuna aliyemchagua. Inabidi atumie utemi kubaki madarakani. Sio raia wa Tanganyika.
Sasa mbona wakurungwa wote wako kimya as if Katarama imefika nyegezi inaingia mwanza mjini,kwani kufungua kesi tunashindwa nini hapa.
 
Sasa mbona wakurungwa wote wako kimya as if Katarama imefika nyegezi inaingia mwanza mjini,kwani kufungua kesi tunashindwa nini hapa.
Wengi wanalipwa na mfumo, Rais. Wasiolipwa, wabishi, wazalendo wanatekwa, wanauwawa wanapewa kesi za uzushi. Warudi kwenye mstari, waache harakati.
 
Mimi napingana na hoja yako,binafsi naona shida ni mifumo yetu mibovu chini ya sheria zetu na katiba yetu ambayo imepitwa na wakati,

Trump sio kwamba leo ni Rais wa USA ni bora na upo IQ kubwa kuliko Wamarekani wote , bali mifumo ya nchi ipo imara chini ya katiba yao na sheria zao.

Kila mtu anawajibika katika majukum yake ,ukizingua unakutana na kaa la moto bila kujali cheo cha mtu.

Leo hii Trump akawa Rais wa Tz kutokana na mifumo yetu mibovu naye atapuyanga tu ,

Hivyo hivyo hakuna Rais wa nchi hii atakuja bila kutobadili katiba , sheria mbalimbali ili kuboresha mifumo akatobo ,hakuna ata leo akishuka toka mbinguni.

So leo au kesho yoyote akiwa Rais kwa mifumo yetu hii hatoboi , matatizo, shida kwa wananchi , uchumi wa nchi ,mambo yataendelea kuwa hivihivi na pengine kuwa mbaya zaidi. Hakuna cha kuupiga mwingi wala mjomba wake ukweli ndo huo.
katiba mpya itatatua mambo mengi japo siyo yote
 
Nina rekodi mbaya sana kwa baadhi ya taasisi nilizofanya nazo kazi zinazoongozwa na wanawake walizipukutisha kwa asilimia 70 hadi board of directors ilipo ingilia kati na kuwatimua wanawake wanajitahidi ila inatakiwa iwepo break kwenye kuongoza taasisi, last true call of woman is in kitchen not public matter.
 
Raisi Samia hana majibu hata moja ya matatizo na alicho bakia nacho ni kutuuuzia Uoga, kututishia Police wake na kadhalika.

Hana majibu ni kwa nini Shiling ya Tanzania inaongoza kwa kushuka Thamani Duniani, Hana majibu ya utekaji na sasa wameza kutekana ndani ya Chama chao still hana majibu.

Hana majibu ya ukosefu wa ajira na akiulizwa hana majibu na hataki kugusia kabisa hilo jambo. Hana majibu ya CAG.

Alicho nacho ni kuuzia watu uoga wa amani amani, amani.

Amani ili wale kwa amani? kwamba inahitajika amanai kayika Taifa hili ili wwle mema ya nchi kwa usalama.
Hivi ni kweli matatizo uliyoyataja hapo yameanza wakati wa Samia!
Kwamba Magufuli aliajiri sana mpk hatukuwa na tatizo ajira ila limeanza wakati wa Samia!
Kwamba huko nyuma kulikuwa na majibu mazuri kwa ripoti za CAG ila Samia ndo hana majibu!
Kwamba shilingi ilkuwa very strong huko nyuma ila Samia ndo kaiporomosha!
Kwamba utekeji umeanza wakati wa Samia awamu zilizopita hakukuwa na utekaji!
Au wewe ni kizazi cha 2000?
 
Jibu kwa hoja za msingi Nchi inaangamia kwa watu wenye mawazo mgando kama wewe sawa hata kama matatizo hayo yote yapo siku zote njoo na hoja tufanye nini kama Taifa sio unaongea tu kiboyaboya
 
Jibu kwa hoja za msingi Nchi inaangamia kwa watu wenye mawazo mgando kama wewe sawa hata kama matatizo hayo yote yapo siku zote njoo na hoja tufanye nini kama Taifa sio unaongea tu kiboyaboya
Hata wewe unaweza kusaidia kujibu hiyo hoja sio lazima mimi. Ila tu msitake kuamisha watu shida hizo zimeanza leo.
Haya ss jibu wewe nini kifanyike na sio kujibu kiboyaboya
 
Mwalimu alisema "Amani ya Mwenyenacho itatokana na shibe ya asiyenacho".
 
Hatutaki anayofanya,tunaangalia trend ya household capacity,watu wengi wako kama vichaa wamevurugwa hawaoni future wanajipooza na Cuca pamoja na Kitoko
Sio kazi ya Rais kukuletea unga nyumbani kwako kazi yake ni kuwezesha upatikanaji wa mazingira mazuri ya uzalishaji mali.

Nadhani unakumbuka namna hayati JPM alivyomjibu msukuma mmoja kule Mwanza aliyemwambia mzee tuna njaa, akamjibu unataka nije nikupikie chakula nyumbani kwako!.
 
Anakata pochi visiwani Zanzibar kwa mkataba upi,huwezi toa sehemu ya mapato ya Kodi kwa nchi yenye bendera yake na mfumo wake huru kama Zanzibar,wale watu wafanye kazi uchumi uendelee,waache kujipachika kwenye mapato ghafi,mapati ghafi ya kila mwezi ndani yake Kuna materials ambazo lazima zirudi kwenye mzunguko,please tunaomba tulipigie kura ya maoni ni mzigo,tuhudumie deni kubwa kisha tucheleweshewe huduma muhimu,watu wanaenda likizo bila allowance sababu tuu ya kuhudumia unguja,Miradi mikubwa imeisha turudi mezani kujadiri dira ya matumizi na sio kuongeza deni na kuongeza hadi asilimia kumi kila mwezi kuhudumia Zanzibar hii haikubaliki.
Watanganyika bahati mbaya wanasemea chooni. Wazanzibar husemea barabarani wanasikika. Yaani mitanganyika ni mioga. Flat screen wana ujasiri na ubaguzi juu.
 
Back
Top Bottom