pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,710
- 6,372
- Thread starter
-
- #61
Yule ni waziri mkuu anastahili heshima, Kwanza Samia hajamteua wote waliteuliwa na hayati hamna haja kumdharau.akina Kasimu naye ndio walewale jamii ya kiroboto., hakuna namna nyengine jina lake ni kasimu tu ndivyo lilivyoandikwa kwenye cheti chake.,
Nyinyi wabongo mnapenda vyeo na ubwanyenye mama anataka maendeleo
Mnajaribu au kulazimisha ionekane hivyoKuna kuitwa kwa uzuri siyo kwa kuitwa kuonyeshea mfano mbaya, Hiyo ni dharau mbaya sana.
Tulikemea pia, sasa na huyu nae anapitia mulemule wakati wote ni wateule wa hayati.Ila yeye kwakuwa alikuwa mwanaume alifaa si ndio?
Kile kiti kina raha ya ajabu, wengi wanaingia wakiwa wasabi lakini wanalazimika kuwa madikteta kwa wanaotishia kuwapoka kile kiti.Jana sijapenda reaction ya Samia. Kwa jazba ile, kesho anaweza kutuma watu wakuue kama wewe ni mpizani wake. Sijapenda, huyu mama ni hatari sana as long as ana majeshi ya kuua!
Kassimu alishaharibu nafasi yake mara baada ya msiba wa Magu.Kauli ya " kwa akina Kassim' siyo nzuri hayati nae aliwahi mwambia ataanza na shangazi yake, mama nae amefanya tuone jinsi mwanamke hafai kupewa wadhifa mkubwa hapa Tanzania.
Hilo juzi kati Kassimu alishalitolea ufafanuzi kuwa watu wasiwaze uraisKassimu alishaharibu nafasi yake mara baada ya msiba wa Magu.
Alikuwa kambi ya kumzunguka mama, Ndugai naye lazima alikuwami.
Statement ya mama inaekeza mengi.
Ina maana moangi wa kumrithi Magu kiti cha urais ulikuwa unasukwa bungeni.
Na ndiyi maana ya " kule kwa kina Kassimu"
Je nae ulipomkemea ulimwambia kuwa amethibitisha kuwa wanaume hawafai kuongoza nchi?Tulikemea pia, sasa na huyu nae anapitia mulemule wakati wote ni wateule wa hayati.
Kama binadamu lazima utapanik Iwapo mtu atachezea heshima katika yale unayoyasimamiaJana sijapenda reaction ya Samia. Kwa jazba ile, kesho anaweza kutuma watu wakuue kama wewe ni mpizani wake. Sijapenda, huyu mama ni hatari sana as long as ana majeshi ya kuua!
we una chuki binafsi tu.Kauli ya " kwa akina Kassim' siyo nzuri hayati nae aliwahi mwambia ataanza na shangazi yake, mama nae amefanya tuone jinsi mwanamke hafai kupewa wadhifa mkubwa hapa Tanzania.
as a president siyo njia sahihi!Kama binadamu lazima utapanik Iwapo mtu atachezea heshima katika yale unayoyasimamia
Hao walioropoka kama walikua na nia safi wangeweza tu kumkabiki mama na kuyaongelea sio lazima kutangazia
Tena wao ni rahisi kumpata any time
Sasa ile njia alitumia ndagai na mama ametumia hiyo hiyo
Majaliwa si mjinga, alisha usoma upepo.Hilo juzi kati Kassimu alishalitolea ufafanuzi kuwa watu wasiwaze urais
Hatukusema kwa sababu hakumwiga mtu ilikua ni tabia yake na hiyo tabia ilionekana mapema, lakini huyu kaiga kumdharau waziri mkuu hakupaswa kuigaJe nae ulipomkemea ulimwambia kuwa amethibitisha kuwa wanaume hawafai kuongoza nchi?
President naye ni mwanadamuas a president siyo njia sahihi!
Anayebagazwa ni huyu huyu?Kauli ya " kwa akina Kassim' siyo nzuri hayati nae aliwahi mwambia ataanza na shangazi yake, mama nae amefanya tuone jinsi mwanamke hafai kupewa wadhifa mkubwa hapa Tanzania.
Una uhakika ameiga?Hatukusema kwa sababu hakumwiga mtu ilikua ni tabia yake na hiyo tabia ilionekana mapema, lakini huyu kaiga kumdharau waziri mkuu hakupaswa kuiga
Hebu weka hiyo statement kichwani alafu uiseme ukiwa na hasira alafu unamchamba mtu uone Kama yupo sahihi ama ni dharau kwa waziri mkuuNadhani hajamdharau ni katika kuongea tu akaona amwiye kwa jina lake. Ni sawa mtu akisema " kwa akina Ndugai"
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]