Rais saidia Mwanza MWAUWASA maji kutoka TZS 700 hadi 1220TZ kwa unit moja

Aisee kwa akili kama hizi tutaendelea kunyooshwa mpaka basi, unalinganisha mfanya biashara na mtoa huduma?
 
linear extrapolation kwani inasemaje mkuu

 
dawa yao ni kuwasemea hadi kieleweke, nani kwa akili gani anaweza kupandisha huduma za jamii 100%, only mentally retarded staff na hawa EWURA wanatula sijui kwanini wapo na kwa faida gani. JPM ataliona tu hili na kurekebisha.

Kaka asante sana. MWAUWASA ni wajinga sana. Maji wanakata hovyo halafu bili wanatupandishia hovyo. Aiseee wanaboa hovyo
 
Kama gharama zao zimeongezeka yaanik chlorine n.k basi hata maisha huku mtaani yameongezeka watu wapate 100% increments ili twende sambamba. But am sure ni aina Fulani ya wizi tu. 75-100% never on earth

Poleni sana...

Labda gharama za uendeshaji zimeongezeka...


Cc: mahondaw
 
well said

 
Mambo mawili yakikaa sawa maji hayatapanda

Gharama za Umeme (kuna pumping inafanyika sana)

Uchafuzi wa maji / mazingira (maji ni machafu sana tena sana) kwahio cost of treatment ni kubwa

Majority ya watu maji bado ni anasa wala hawayapati.., ili kuongeza miradi na wenyewe wapate maji someone has to pay for it...

Hata ukisema washushe bei someone has to pay for it.., yaani kodi fulani au makato fulani yafanyike sehemu fulani.., anyway water scarcity ni janga la kidunia na tukiendelea kuharibu mazingira huko tunapoelekea huenda hii commodity (clean water) ikawa a luxury
 
hawawezi kuusema ati walikuwa wanajiendesha kwa hasara no way. Mwanza maji yapo chanzo cha uhakika na safi japo sio salama. hiyo chlorine ya kutibu maji pia sio ati wanaweka kila siku hakuna kitu, ndio maana watu wa afya wanasisitiza maji ya kunywa yachemshwe, they know sio salama. SASA GHARAMA INATOKA WAPI KWA MWANZA? mishahra yao tu ndio watupanshie kwa 75-100% damn it

 

Kwanini Mwanza kuna ziwa na lipo pale lilipo na sio milimani ?

Jibu ziwa lipo bondeni chini ambapo maji yamefuata mkondo na kufika huko lilipo.., Kwahio ili kuyapeleka kule watu wayatumie inabidi kuyapump mpaka milimani against gravity ili yaweze kuwafikia watu kwa kutumia gravity..

Je wanayapump vipi ? (umeme...) ; na nakwambia kabisa uchafu wa maji ya ziwa sio kidogo, ukizingatia uchafu unaotoka huko milimani kwa wasiokuwa na vyoo n.k. ni hatari tupu.., kwahio sio siri kwamba water treatment madawa.., sio kama zamani
 
Huyo anaongea tu, maji ni aghali vijijini kuliko mjini.Wakiitwa kwenye vikao vya wadau na ewura kuhusu kuzungumzia maombi ya ongezeko la bei wanakimbiakimbia. Alipie bili hili huduma iwe endelevu akiona ni aghali kachote maji mwenyewe ziwani.
 
Acheni ulimbukeni wenu , mwambie aende huko huko Mwanza aone wananchi wananunua bei gani maji.Bei ya maji haipangwi kiholelalela.
 
Tuanzie hapa Unit moja ina ndoo ngapi na ndoo moja kwa watembezaji maji ni shilling ngapi. Hesabu zangu zinanituma kuwa unit moja ni sawa na ndoo za 20 ltre 55; hivyo kwa bei y TZS 1220 ni sawa na ndoo moja unauziwa Kwa Shs. 22.
Hesabu za darasa la kwanza. Huwezi kulinganisha bei ya MWAUWASA na wauza maji mitaani. Logically kupanda au kushuka kwa bei tunaangalia percentage wise. Kama ndoo ilikuwa TZS 14 na sasa imepanda na kuwa TZS 22 hatuangalii kuwa bei yenyewe ni TZS 22 tu! Hiyo ni justification ya kuibia watu. Weka percent ngapi imepanda!?
Au na sie tuweke hesabu za kikulima?
Unit 28 za umeme ni TZS 10,000 lakini unit 28 za maji kwa sasa mjini Mwanza ni TZS elfu 34 kwa hiyo bei ya maji ni kubwa kuliko umeme?
 
Very right, anatuletea porojo zilitolewa na mtu alijiita Injinia wa MWAUWASA akiongea na RFA aliropoka the same mara ndoo mtaani ni miatano lakini MWAUWASA imepandisha na kuwa 24,eti akasema watu wanakosea kuangalia kwa percent! Nikashangaa eti nae anajiita INJINIA....kweli mh ana kazi.
 
Nilimsikiliza jana(10/9/2019) Mh Mabula Stanslaus, akiuliza bungeni swali kuhusiana na upandishwaji wa hii bei. Waziri mhusika kasema wamelipokea na wanalishughulikia. Tutarajie maamuzi chanya kwetu watumuiaji
 
Kama unafanya kazi MWAUWASA nanunafikiri hapo unatetea ni kwamba unaonyesha ulivyo low, hatuongelei wingi au uchache wa maji! Kwani wakati bei ikiwa 700 yalikuwa lita ngapi kwa uniti na sasa yamepanda kuwa 1400 ymeongezeka na kuwa lita ngapi?
Swali ni je! Kwa nini ongezeko la zaidi ya 75%?
 
EWURA hawawezi kutangaza bei mpya bila hao ma DC na RC kuendorse, they know.
Sasa yawezekana wao hawana shida na ongezeko.
 
Unit 1 ni lita 1000,watz tulipe kodi kwa manufaa ya nchi tuache kulia lia
 
Hapo Gold Crest wadau walipendekeza shs ngapi kwa unit?
By the way, tunatakiwa tuangalie running cost,is it true kwamba zimepanda kwa zaidi ya 75% kujustify hilo ongezeko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…