Rais saidia Mwanza MWAUWASA maji kutoka TZS 700 hadi 1220TZ kwa unit moja

Unadhani wakazi wote wangeenda cold grest pangetosha?vipi ambao siku hiyo walikuwa na majukumu mengine ya kujenga taifa????Ndugu hii itapunguza sana wateja wa maji ama ndio tubane matumizi ya maji pia?

Tulia sasa. Uliwakilishwa. Siku nyingine fika mwenyewe.
 
sekta za Maji na afya ni huduma Ila lazima uendelevu na kujiendesha uangaliwe.

Kama Maji Mwanza ni ghali hamia vijijini penye unafuu.

Mnapenda kulalama sana. Hiyo Bill ya mwezi haifikii bili yako ya siku ya bia.

Kuoga sio lazima ni hiari. Lipa ankara ya Maji la sivyo tunakukatia.
 
Acha hadithi za abunuasi. Unakurupuka leo kupost kitu ambacho tunajua Mwauwasa kabla ya kupandisha bei waliruhusiwa na Ewura. Walipoita wadau kuja GoldCrest kutoa maoni yao ulikuwa wapi? Ulisubiri ili baadae ujifiche nyuma ya keyboard uanze kulalamika?
Gharama lazima zipande with time. Cum 1 kuinunua kwa bei hiyo ni fair tu. Mamlaka zinaotoza 1,800 mbona wateja hawajaandamana. Weka constraints zote kama zamani(constant) alafu bei ikipanda utaruhusiwa kuropoka.
....wewe utakuwa na tatizo la ubongo inawezekana maji na umeme unalipiwa na walezi wako....huwezi kushabikia uhalamia huu wa mwauwasa mwananchi uyu ambae kapigika mpaka kazeeka ndo apandishiwe maji kwa 75%?
 
Acha kelele wew kalipe Bill ya Maji.
Nlikuwepo Masasi zaidi ya mwaka MANAWASA(Mamlaka ya Maji Masas Nachingwea) Bill ya maji Unit 1 ni tshs 1200 na jamaa wanalipa tu bila kelele. Iweje nyie wa Mwanza mjione special sana kiasi bill ya tshs 1200 mnapiga kelele namna iyo?
Lipa bill Baharia acha kelele
 
Huyo Rais wako unaemuita hapa awasaidie ndie aliewahi wauliza siku moja akiwa Shinyanga kwamba kwanini bei ya maji iko chini baada ya mwananchi mmoja kutoa malalamiko yake, akaita wahusika Wa maji wakaulizwa bei ya maji wakamkasirisha huyo Rais wako hapo hapo akang'aka kwa sauti ya ukali yule aliehoji nadhani alijuta maana alimshtua mkulu juu ya bei iliyo chini, agizo likatolewa hapo hapo na mamlaka zingine ambazo bei ya maji iko chini wakafanye review bei ipande, haraka sana Kahama na Shinyanga kuanzia January 2019 bei ikapanda, sasa nadhani na mwanza wamefuata agizo hivyo mwananzengo mwenzangu vumilia tu maana hata maeneo mengine bei iko hivyo na zaidi...
 
wewe una chuki binafsi na wanamwanza
 
Naandika kwa ufupi sana maana najua unavyombo vya kukupatia habari na taarifa za uhakika, mimii napiga filimbi tu.

(Matumizi ya kati ya 15-25 Units Julai 2019 maji yalipanda kwa 100% yaani kutoka 700 hadi 1400TZS kwa unit moja,Agosti 2019 maji yakashuka kidogo kutoka 1400 hadi 1220TZS kwa unit moja
Juni 2019 mali yakuwa 700TZs kwa unit moja

Kwa hiyo maji yamepanda kutoka 700 hadi 1220TZS sawa na 75% ongezeko la bei. hali ni kuhujumu kazi na jitihada za rais kuwakomboa wanyonge walau wamudu maji safi na salama. Mufumko wa bei huu ni kejeli kwa jitihada za serikali na fedheha kwa rais wetu.

Maji mwanza yako zero kilometer yaani ziwa Victoria. Kwa nini maji yapande bei kwa 75% au why mtu ama taasisi husika walipitishe ongezeko la 100% kiisha kushusha kidogo to 75%?

Mheshimiwa Rais nani katika mishahara wake ama biashara zake anapata ongezeko la 100% au 75%

Maisha lazima yawape wananchi uhueni sio kwa ongezeko hilo la 75% wakati nyongeza mara nyingi inapaswa kuwa 10%-0%.
Wizara naona wametutelekeza big times
Customer care ya Mwauwasa inakatia simu wateja kisa hawawezi kuelezea nini kimepandisha bei kwa asilimia 100 au hiyo 75 ya Agosti. Hii ni fedheha nyingine, Mnabadilishana simu wakati wa maongezi bila taarifa kwa mteja kama mnavyopandisha maji bila taarifa kwa mteja.

Unanza na Mwanamke unashangaa kawa Mwanaume, inadibi uanze upya na kasha simu inakatwa twaaaaa
Wizara naona wametutelekeza big times, RaiS tupia jicho lako, Tunajua haya mambo kwako ni within minutes tunapata majibu mwafaka.

Mzee wetu umekulia maisha kama yetu wengi hapa TZ maji ni uhai, kupandisha maji kwa namna hiyo ni kushawishi matumizi ya maji machafu na Ambayo sio salama hivyo kuhujumu jitihda zako za Kuongeza Madawa na Vifaa tiba,

Vituo vya Afya na Hospitali maana dawa zimeongezeka sasa kuna watu wanafanya jitihada ya kuonesha dawa hizo bado hazotoshi na ni jitihada mfu. Maana wagonjwa yakiongezeka ni wewe umejumlisha madawa wao wametoa hence zero workdone. Nawasilisha kwa unyenyekevu.
1,200 kwa unit unapiga kelele hivi,je sisi tunaolipa sh 1,800 kwa unit tufanyeje?
 
YAANI IWEKWE WAZI NA IREKEBISHWE, ishu ni nini maji kupanda kwa 75%? hata sustainability sio overnight wala sio kuumiza mteja why not mngependekeza kushusha mishahara yenu maana mwauwasa sio mali ya mtu ni ya watz, sasa isiwe nyinyi ndio iwe inawanufaisha wananchi wanataabika.
Hii imeumiza watu wengi sana huko mwanza kuna mama mmoja mjane anafikiri hata kuondoka mwanza arudi kwao Same maisha yamekuwa magumu mara mbili aliletewa bili ya laki mbili kutoka elfu kumi na mbili wakati nyumba ina mpangaji mmoja anayelipa 40000 kwa mwezi. halafu jamaa wana kauli za vitisho hatari, imebidi ndg tujichangishe tumlipie sa hatujui kama hali ikiendelea hivi kama watu tutaweza. Nahisi wanataka kuwafanya watu wachache wafanye biashara ya maji kwa faida yao kama ilivyokwa maeneo flani hapa dar. sioni sababu maji kuwa na hiyo bei wakati ziwa liko malangoni itakuwaje kwa mikoa inayopelekewa maji kutoka mwanza itakuwaje kama Shy na Tabora ama kweli MWAWASA imekuwa MWAWAZA
 
Huyo Rais wako unaemuita hapa awasaidie ndie aliewahi wauliza siku moja akiwa Shinyanga kwamba kwanini bei ya maji iko chini baada ya mwananchi mmoja kutoa malalamiko yake, akaita wahusika Wa maji wakaulizwa bei ya maji wakamkasirisha huyo Rais wako hapo hapo akang'aka kwa sauti ya ukali yule aliehoji nadhani alijuta maana alimshtua mkulu juu ya bei iliyo chini, agizo likatolewa hapo hapo na mamlaka zingine ambazo bei ya maji iko chini wakafanye review bei ipande, haraka sana Kahama na Shinyanga kuanzia January 2019 bei ikapanda, sasa nadhani na mwanza wamefuata agizo hivyo mwananzengo mwenzangu vumilia tu maana hata maeneo mengine bei iko hivyo na zaidi...
Aisee
 
Acha kelele wew kalipe Bill ya Maji.
Nlikuwepo Masasi zaidi ya mwaka MANAWASA(Mamlaka ya Maji Masas Nachingwea) Bill ya maji Unit 1 ni tshs 1200 na jamaa wanalipa tu bila kelele. Iweje nyie wa Mwanza mjione special sana kiasi bill ya tshs 1200 mnapiga kelele namna iyo?
Lipa bill Baharia acha kelele
Unaweza kuwa uko sahihi lakini kesi ya masasi na mwanza zaweza kuwa tofauti kulingana na vyanzo vya maji na usmbazaji wake .ila kwa Mwanza tatizo laweza lisiwe bili pekee nahisi hata usomaji wa mita kumbuka enzi za TANESCO usomaji ulivyokuwa nadhani solutioni ya muda kuwe na mita za luku zamaji ili mtu unanunua uniti zikiisha unajua
 
Naandika kwa ufupi sana maana najua unavyombo vya kukupatia habari na taarifa za uhakika, mimii napiga filimbi tu.

(Matumizi ya kati ya 15-25 Units Julai 2019 maji yalipanda kwa 100% yaani kutoka 700 hadi 1400TZS kwa unit moja,Agosti 2019 maji yakashuka kidogo kutoka 1400 hadi 1220TZS kwa unit moja
Juni 2019 mali yakuwa 700TZs kwa unit moja

Kwa hiyo maji yamepanda kutoka 700 hadi 1220TZS sawa na 75% ongezeko la bei. hali ni kuhujumu kazi na jitihada za rais kuwakomboa wanyonge walau wamudu maji safi na salama. Mufumko wa bei huu ni kejeli kwa jitihada za serikali na fedheha kwa rais wetu.

Maji mwanza yako zero kilometer yaani ziwa Victoria. Kwa nini maji yapande bei kwa 75% au why mtu ama taasisi husika walipitishe ongezeko la 100% kiisha kushusha kidogo to 75%?

Mheshimiwa Rais nani katika mishahara wake ama biashara zake anapata ongezeko la 100% au 75%

Maisha lazima yawape wananchi uhueni sio kwa ongezeko hilo la 75% wakati nyongeza mara nyingi inapaswa kuwa 10%-0%.
Wizara naona wametutelekeza big times
Customer care ya Mwauwasa inakatia simu wateja kisa hawawezi kuelezea nini kimepandisha bei kwa asilimia 100 au hiyo 75 ya Agosti. Hii ni fedheha nyingine, Mnabadilishana simu wakati wa maongezi bila taarifa kwa mteja kama mnavyopandisha maji bila taarifa kwa mteja.

Unanza na Mwanamke unashangaa kawa Mwanaume, inadibi uanze upya na kasha simu inakatwa twaaaaa
Wizara naona wametutelekeza big times, RaiS tupia jicho lako, Tunajua haya mambo kwako ni within minutes tunapata majibu mwafaka.

Mzee wetu umekulia maisha kama yetu wengi hapa TZ maji ni uhai, kupandisha maji kwa namna hiyo ni kushawishi matumizi ya maji machafu na Ambayo sio salama hivyo kuhujumu jitihda zako za Kuongeza Madawa na Vifaa tiba,

Vituo vya Afya na Hospitali maana dawa zimeongezeka sasa kuna watu wanafanya jitihada ya kuonesha dawa hizo bado hazotoshi na ni jitihada mfu. Maana wagonjwa yakiongezeka ni wewe umejumlisha madawa wao wametoa hence zero workdone. Nawasilisha kwa unyenyekevu.
Mbona ela ndogo sana hiyo? Ningekua injinia wa hapo ilibidi bei iwe 2000 kwa unit moja.

Gharama za maisha zimeongezeka, watumishi wa mamlaka wanataka walipwe na waajiriwe wengine, mabomba yanapanda bei kila siku!!

Hiyo ni bei ndogo sana, itabidi nimpigie simu manager wa hapo nimshauri mwakan apandishe tena bei.
 
Mimi niko Mwanza hawa jamaa wa MWAUWASA hawana huruma kabisa hivi hawa ni serikali au kampuni binafsi ? Bei mpya inakomoa wananchi hali yenyewe imebana wao waongeza ukali. Jamani wanyonge wa nchi wakimilie kwa nani kama sio kwa Rais. Tusaidie Mh. Rais.
 
suala ni ongezeko sio hizo hesabu zako uchwara, kwani mwauwsa ilianzishwa kwa pesa za baba wa mtu? ni kodi za wateja hawa hawa, walipa kodi hawa hawa. so ni ujinga kupiga hesabu zako hizo. hoja yangu ni 75 increase sio ndo ni bei gani. hata ikiwa ni TZS 1/- suala ni why that much increase of 75%?
Mamlaka inatakiwa ijiendeshe; unataka wakulima wa korosho walipe kodi ije mwanza kukulipa gharama ya maji wakati mna uwezo wa kulipia hiyo huduma kwa ukamilifu? Kodi siy kwa ajili ya kila hitaji la Mtanzania
 
Yaani ni wajibu wa watumiaji kupaza sauti, mengine tuwaachie viongozi wetu kurekebisha hii dhulma
 
Hii kauli ya ziwa liko mlangoni, kitengo cha huduma kwa wateja ati customer care wanakujibu kama lipo mlangoni si uchote ziwani hapo mlangoni kwako why use maji yetu, DAAAAAAA

Hii imeumiza watu wengi sana huko mwanza kuna mama mmoja mjane anafikiri hata kuondoka mwanza arudi kwao Same maisha yamekuwa magumu mara mbili aliletewa bili ya laki mbili kutoka elfu kumi na mbili wakati nyumba ina mpangaji mmoja anayelipa 40000 kwa mwezi. halafu jamaa wana kauli za vitisho hatari, imebidi ndg tujichangishe tumlipie sa hatujui kama hali ikiendelea hivi kama watu tutaweza. Nahisi wanataka kuwafanya watu wachache wafanye biashara ya maji kwa faida yao kama ilivyokwa maeneo flani hapa dar. sioni sababu maji kuwa na hiyo bei wakati ziwa liko malangoni itakuwaje kwa mikoa inayopelekewa maji kutoka mwanza itakuwaje kama Shy na Tabora ama kweli MWAWASA imekuwa MWAWAZA
 
Hizo mamlaka za maji zinatakiwa zijitegemme kwa makusanyo yake yenyewe na vilevile nadhani wanatakiwa kutoa kiasi fulani kwenye mfuko mkuu wa taifa.Ila nadhani pia inachangiwa labda na gharama za uzalishaji madawa na mambo mengine. Tusilaumu tuu labda ni kuwauliza wahusika.
 
Unaongea kwa mafumbo sana ina maana mkuu tunalipia korosho muda huu? maana najua huko ndio bado wanaweka mambo sawa, ACHA MZAHA KABISA, najua MWAUWASA NA Korosho ni vitu mbili fulani na tofauti

Mamlaka inatakiwa ijiendeshe; unataka wakulima wa korosho walipe kodi ije mwanza kukulipa gharama ya maji wakati mna uwezo wa kulipia hiyo huduma kwa ukamilifu? Kodi siy kwa ajili ya kila hitaji la Mtanzania
 
Acha kelele wew kalipe Bill ya Maji.
Nlikuwepo Masasi zaidi ya mwaka MANAWASA(Mamlaka ya Maji Masas Nachingwea) Bill ya maji Unit 1 ni tshs 1200 na jamaa wanalipa tu bila kelele. Iweje nyie wa Mwanza mjione special sana kiasi bill ya tshs 1200 mnapiga kelele namna iyo?
Lipa bill Baharia acha kelele

Huyu hawezi kuwa baharia. Anapenda cha bure.
Kikombe cha chai hakifiki hata lita kinauzwa jero ila Maji ndoo sijui 40 anataka alipe 800??. Kuna uchakavu wa miundo mbinu ya Maji, tozo mbalimbali za sura n.k, kuyatreat hayo Maji, kulipa salary wataalum n.k.

Water table Mwanza iko juu, achimbe kisima chake.

Tuliyowapunguzia shuleni tukachukue kwenye maji. Tulia hivyo hivyo.
 
Huu utakuwa mtego mbaya sana, yaani kodi nilipe na maji nilipie 100% umeme 100% Afya Bima yangu 100%, Barabara kila lita moja 40TZS, shule nilipie 100% private hapo.. Kodi nilipe halafu na mtoto wangu mlipa kodi anyimwe mkopo kisha mzazi wake niliipunguzia gharama serikali akiwa primary secondary and a level kwa kusomesha private?

Hii ya TZ ni kali sana, sasa kodi zetu ni kugawana mishahara tu ama?

Hizo mamlaka za maji zinatakiwa zijitegemme kwa makusanyo yake yenyewe na vilevile nadhani wanatakiwa kutoa kiasi fulani kwenye mfuko mkuu wa taifa.Ila nadhani pia inachangiwa labda na gharama za uzalishaji madawa na mambo mengine. Tusilaumu tuu labda ni kuwauliza wahusika.
 
Ati?

Back
Top Bottom