Rais saidia Mwanza MWAUWASA maji kutoka TZS 700 hadi 1220TZ kwa unit moja

suala ni ongezeko sio hizo hesabu zako uchwara, kwani mwauwsa ilianzishwa kwa pesa za baba wa mtu? ni kodi za wateja hawa hawa, walipa kodi hawa hawa. so ni ujinga kupiga hesabu zako hizo. hoja yangu ni 75 increase sio ndo ni bei gani. hata ikiwa ni TZS 1/- suala ni why that much increase of 75%?
Husipende kulalamika sana...we ulitaka wakuuzie shilingi ngapi?unajua gharama za uzalishaji? Unataka ndoo wakuuzie shilingi 5
 
Mimi niko Mwanza hawa jamaa wa MWAUWASA hawana huruma kabisa hivi hawa ni serikali au kampuni binafsi ? Bei mpya inakomoa wananchi hali yenyewe imebana wao waongeza ukali. Jamani wanyonge wa nchi wakimilie kwa nani kama sio kwa Rais. Tusaidie Mh. Rais.
Kama hutaki kulipa maji ambayo yanakufikia mpaka chumbani kwa bei iyo...nenda mwaloni
 
mwanza maji ya shida sana,hasa kwa wale waishio kwenye miinuko,maji yanatoka kama vitone vya drip,sijui tatizo ni nini?,nasikia mashine zilizopo ni zile ziliachwa na Tippu Tip karne kumi zilizopita ndo maana hazinaga presha. Tunaomba mh Rais amtumbue huyu meneja wa idara ya maji maana hawajibiki
 
Yaani ni wajibu wa watumiaji kupaza sauti, mengine tuwaachie viongozi wetu kurekebisha hii dhulma
Rais wako ndio aliwaagiza wafanye review ya bei haraka sana, aliagiza akiwa ziarani Shinyanga kuna mwananzengo mwenzio alilalamika kama wewe pale pale akapewa makavu kuwa analalamika wakati bei iko chini, akaagiza bei ikaongezwe kama mikoa mingine...
Kalipe tu bwashehe hakuna namna gharama za kuendesha hizi mamlaka ni kubwa serekale haina pesa.
 
Tuanzie hapa Unit moja ina ndoo ngapi na ndoo moja kwa watembezaji maji ni shilling ngapi. Hesabu zangu zinanituma kuwa unit moja ni sawa na ndoo za 20 ltre 55; hivyo kwa bei y TZS 1220 ni sawa na ndoo moja unauziwa Kwa Shs. 22.
Nilichogundua ni kuwa wewe unaishi kwa wazazi wenu. Hujui hata bei ya maji. Hujui malipo ya maji. Hujui kuwa kuna VAT, hujui kuwa kuna 50% ya maji taka.
 
Hii kauli ya ziwa liko mlangoni, kitengo cha huduma kwa wateja ati customer care wanakujibu kama lipo mlangoni si uchote ziwani hapo mlangoni kwako why use maji yetu, DAAAAAAA
Wako sawa, kama liko mlangoni kachote maji utumie achana nao...
Teh teh! Mamlaka oyeeee
 
Ila kwa kweli mwauwasa inatuumiza! Maji hayatoki na bill inapanda kwa kustua watu! Kweli mwanza mjini ni ya kupata maji Mara moja kwa mwezi wakati ziwa liko km 0? Halafu ewura wao ni kubariki kupanda tu! Sijawahi ona wanashusha bei! Mh Rais vunja hii ewura haina msaada kwa watu. Ni makampuni yaliyoundwa kiujanjaujanja enzi za chukua chako mapema. Kwanza mishahara yao ni jipu, badala ya kutetea wananchi wanawaumiza zaidi! Sasa wapo kwa maslahi ya nani?Maana lazima wajue kwamba wanalipwa mishahara na wananchi siyo mwauwasa.
 
Nimepokea bill ya MAJI nikashindwa kuamini macho yangu... toka kulipia elfu 50/60 hadi 100,000+!! This is too much. Serikali fatilieni huu unyonyaji.
 
Unajua DG Haruna Maasebu wa EWURA alifutwa kazi kwa mambo kama haya ya MWAUWASA? harafu uwe unasoma mkuu unaelewa suala sio kupanda bei, hapana nimeweka hadi mfano wa 10%-0%, suala ni kupanda kwa 100% ama 75% basi.

Vyanzo vya maji ni tofauti sana, mfano mtu chanzo ni mto, hakika bei itakuwa juu kulinganisha na ziwa lenye maji meupe ni kutreat tu yawe salama. Umbali pia wa kusafirisha maji mfano Victoria Tabora ni ishu lazima maji watapata kwa bei kubwa kuliko Mwanza.

Pamoja na mambo yote nini kimefanya maji yapande bei kwa 75-100%? HUKO MWANZA

Uwe na siku njema.
Hizi huduma unafikili kuzipata ni rahisi tu sababu ziwa lina maji meupe!? Sio rahisi kiivyo , upatikanaji wa maji, gharama za kusambaza, kuanzisha miradi mipya,
sababu sio asilimia 100 ya wakazi wa jiji LA Mwanza wanapata maji! Unataka miradi mipya ya usambazaji maji itolewe na serikali, maji taka hela itoke Kwa wazungu? Wangepandisha hata Kwa asilimia 100 sawa tu, kikubwa ndoo haijazidi sh 50 then it is a reasonable price, hao wazungu mnawasifia wameendelea sababu wanachangia kila kitu , unataka tu maji yatoke bombani lakini you don't wanna consider the costs involved!!
 
Unadhani unasaidia viongozi ila unawapotosha sana, kwani aliyetuuzia 700TZS alikuwa mjinga?
Kichwa cha ngozi nyeusi shida sana, kila siku kuna gharama za vifaa, materials kwa ajili ya kuzalisha maji vinaongezeka sokoni, Mabomba, machujio ya maji, usafilishaji, hapo hapo kuna upotevu wa maji uko mtaani, kuna wizi wa maji pia, mara nyingi hizo gharama MWAUWASA huwa wana break even tu hili waendelee kutoa huduma za jamii na siyo kwamba wanatengeneza faida. Kama unavyodhani. Gharama za uzalishaji maji ni kubwa sana. Wewe unataka gharama ya mwaka 47 ibaki hivyo hivyo mpaka wajukuu zako. Elimu elimu elimu elimu. Idiot
 
sawa kichwa ngozi nyeupe, si uende ukaolewe huko au unafanya nini kwa nchi ya ngozi nyeusi

Kichwa cha ngozi nyeusi shida sana, kila siku kuna gharama za vifaa, materials kwa ajili ya kuzalisha maji vinaongezeka sokoni, Mabomba, machujio ya maji, usafilishaji, hapo hapo kuna upotevu wa maji uko mtaani, kuna wizi wa maji pia, mara nyingi hizo gharama MWAUWASA huwa wana break even tu hili waendelee kutoa huduma za jamii na siyo kwamba wanatengeneza faida. Kama unavyodhani. Gharama za uzalishaji maji ni kubwa sana. Wewe unataka gharama ya mwaka 47 ibaki hivyo hivyo mpaka wajukuu zako. Elimu elimu elimu elimu. Idiot
 
waambie basi na wala wa mishahara wapandishe 100% maana gharama haziwezi kuwa zinapanda kwa 100% mshahara haupandi auy unakuwa 6% tu

Hizi huduma unafikili kuzipata ni rahisi tu sababu ziwa lina maji meupe!? Sio rahisi kiivyo , upatikanaji wa maji, gharama za kusambaza, kuanzisha miradi mipya,
sababu sio asilimia 100 ya wakazi wa jiji LA Mwanza wanapata maji! Unataka miradi mipya ya usambazaji maji itolewe na serikali, maji taka hela itoke Kwa wazungu? Wangepandisha hata Kwa asilimia 100 sawa tu, kikubwa ndoo haijazidi sh 50 then it is a reasonable price, hao wazungu mnawasifia wameendelea sababu wanachangia kila kitu , unataka tu maji yatoke bombani lakini you don't wanna consider the costs involved!!
 
kuna wafunga kamba za viatu wanasema ni poa tu, au ndio wanaishi sehemu maji serikali inalipia?

Nimepokea bill ya MAJI nikashindwa kuamini macho yangu... toka kulipia elfu 50/60 hadi 100,000+!! This is too much. Serikali fatilieni huu unyonyaji.
 
good idea, tulivunjilie mbali

Ila kwa kweli mwauwasa inatuumiza! Maji hayatoki na bill inapanda kwa kustua watu! Kweli mwanza mjini ni ya kupata maji Mara moja kwa mwezi wakati ziwa liko km 0? Halafu ewura wao ni kubariki kupanda tu! Sijawahi ona wanashusha bei! Mh Rais vunja hii ewura haina msaada kwa watu. Ni makampuni yaliyoundwa kiujanjaujanja enzi za chukua chako mapema. Kwanza mishahara yao ni jipu, badala ya kutetea wananchi wanawaumiza zaidi! Sasa wapo kwa maslahi ya nani?Maana lazima wajue kwamba wanalipwa mishahara na wananchi siyo mwauwasa.
 
Naandika kwa ufupi sana maana najua unavyombo vya kukupatia habari na taarifa za uhakika, mimii napiga filimbi tu.

(Matumizi ya kati ya 15-25 Units Julai 2019 maji yalipanda kwa 100% yaani kutoka 700 hadi 1400TZS kwa unit moja,Agosti 2019 maji yakashuka kidogo kutoka 1400 hadi 1220TZS kwa unit moja
Juni 2019 mali yakuwa 700TZs kwa unit moja

Kwa hiyo maji yamepanda kutoka 700 hadi 1220TZS sawa na 75% ongezeko la bei. hali ni kuhujumu kazi na jitihada za rais kuwakomboa wanyonge walau wamudu maji safi na salama. Mufumko wa bei huu ni kejeli kwa jitihada za serikali na fedheha kwa rais wetu.

Maji mwanza yako zero kilometer yaani ziwa Victoria. Kwa nini maji yapande bei kwa 75% au why mtu ama taasisi husika walipitishe ongezeko la 100% kiisha kushusha kidogo to 75%?

Mheshimiwa Rais nani katika mishahara wake ama biashara zake anapata ongezeko la 100% au 75%

Maisha lazima yawape wananchi uhueni sio kwa ongezeko hilo la 75% wakati nyongeza mara nyingi inapaswa kuwa 10%-0%.
Wizara naona wametutelekeza big times
Customer care ya Mwauwasa inakatia simu wateja kisa hawawezi kuelezea nini kimepandisha bei kwa asilimia 100 au hiyo 75 ya Agosti. Hii ni fedheha nyingine, Mnabadilishana simu wakati wa maongezi bila taarifa kwa mteja kama mnavyopandisha maji bila taarifa kwa mteja.

Unanza na Mwanamke unashangaa kawa Mwanaume, inadibi uanze upya na kasha simu inakatwa twaaaaa
Wizara naona wametutelekeza big times, RaiS tupia jicho lako, Tunajua haya mambo kwako ni within minutes tunapata majibu mwafaka.

Mzee wetu umekulia maisha kama yetu wengi hapa TZ maji ni uhai, kupandisha maji kwa namna hiyo ni kushawishi matumizi ya maji machafu na Ambayo sio salama hivyo kuhujumu jitihda zako za Kuongeza Madawa na Vifaa tiba,

Vituo vya Afya na Hospitali maana dawa zimeongezeka sasa kuna watu wanafanya jitihada ya kuonesha dawa hizo bado hazotoshi na ni jitihada mfu. Maana wagonjwa yakiongezeka ni wewe umejumlisha madawa wao wametoa hence zero workdone. Nawasilisha kwa unyenyekevu.
Lipeni nyie kuweni Wazalendo
 
waambie basi na wala wa mishahara wapandishe 100% maana gharama haziwezi kuwa zinapanda kwa 100% mshahara haupandi auy unakuwa 6% tu
Wewe uwezo wako wa kufikili ni mdogo, comparative analysis unayofanya doesn't make any sense, una compare Kupanda gharama za maji na mishahara? Anyways kila MTU na kichwa chake, so unataka wakazi wa jiji LA Mwanza mishahara ipande kw a asilimia 100 just bcz maji yamepanda ???
 
Back
Top Bottom