kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 19,011
- 11,942
Aisee kwa akili kama hizi tutaendelea kunyooshwa mpaka basi, unalinganisha mfanya biashara na mtoa huduma?Ungeanza kueleza Unit moja ya maji ni sawa na lita ngapi ungeeleweka vizuri. Lakini kwa sababu unataka kulaumu ndiyo hivyo tena. Mwauwasa kuuza Lita moja ya maji kwa Shilingi 1 unaona shida lakini Azam akikuuzia Lita moja kwa shilingi 700 huoni tatizo. Watanzania tunapenda kulalamikia vitu ambavyo havina kichwa wala miguu, ili mradi tumelalamika.