Rais saidia Mwanza MWAUWASA maji kutoka TZS 700 hadi 1220TZ kwa unit moja

kichomiz

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
17,516
2,000
Ungeanza kueleza Unit moja ya maji ni sawa na lita ngapi ungeeleweka vizuri. Lakini kwa sababu unataka kulaumu ndiyo hivyo tena. Mwauwasa kuuza Lita moja ya maji kwa Shilingi 1 unaona shida lakini Azam akikuuzia Lita moja kwa shilingi 700 huoni tatizo. Watanzania tunapenda kulalamikia vitu ambavyo havina kichwa wala miguu, ili mradi tumelalamika.
Aisee kwa akili kama hizi tutaendelea kunyooshwa mpaka basi, unalinganisha mfanya biashara na mtoa huduma?
 
fikirikwanza

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
7,447
2,000
linear extrapolation kwani inasemaje mkuu

Wewe uwezo wako wa kufikili ni mdogo, comparative analysis unayofanya doesn't make any sense, una compare Kupanda gharama za maji na mishahara? Anyways kila MTU na kichwa chake, so unataka wakazi wa jiji LA Mwanza mishahara ipande kw a asilimia 100 just bcz maji yamepanda ???
 
fikirikwanza

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
7,447
2,000
dawa yao ni kuwasemea hadi kieleweke, nani kwa akili gani anaweza kupandisha huduma za jamii 100%, only mentally retarded staff na hawa EWURA wanatula sijui kwanini wapo na kwa faida gani. JPM ataliona tu hili na kurekebisha.

Kaka asante sana. MWAUWASA ni wajinga sana. Maji wanakata hovyo halafu bili wanatupandishia hovyo. Aiseee wanaboa hovyo
 
fikirikwanza

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
7,447
2,000
well said

Twende mbele turudi nyuma, hilo ongezeko litamtokea mtu puani kampeni za uchaguzi ujao, mtaani kwetu mambomba mengi yamefungwa wameshindwa kulipa bili ya August ambayo wengi imerange elfu 50 mpaka 80 kwa matumizi ya kawaida, hata mimi niliona ni maajabu, swala lakwenda Goldcrest sio kila mtu anaweza ndio maana tukawachagua wawakilishi wetu ambao wanakula kila mwisho wa mwezi kwaajili ya kazi hizo "kutuwakilisha" cha pili Goldcrest sio accessible kwa all type of people, je Muwsa ipo mjini tu ? inamatawi maeneo kibao kama Buzuruga, mbona hawakwenda huko kuchukua maoni? Toka nimekaa maeneo yote ya Tanzania sijaona sehemu yenye gharama za juu za maji kama Mwanza, Cha ajabu kuna ziwa lenye fresh water lakini ukitembea km moja kwenda ndani Hakuna maji ya Muwsa kabisa (From Busisi to Usagara) hii HAIKUBALIKI...
 
KeyserSoze

JF-Expert Member
Feb 26, 2014
4,951
2,000
Mambo mawili yakikaa sawa maji hayatapanda

Gharama za Umeme (kuna pumping inafanyika sana)

Uchafuzi wa maji / mazingira (maji ni machafu sana tena sana) kwahio cost of treatment ni kubwa

Majority ya watu maji bado ni anasa wala hawayapati.., ili kuongeza miradi na wenyewe wapate maji someone has to pay for it...

Hata ukisema washushe bei someone has to pay for it.., yaani kodi fulani au makato fulani yafanyike sehemu fulani.., anyway water scarcity ni janga la kidunia na tukiendelea kuharibu mazingira huko tunapoelekea huenda hii commodity (clean water) ikawa a luxury
 
fikirikwanza

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
7,447
2,000
hawawezi kuusema ati walikuwa wanajiendesha kwa hasara no way. Mwanza maji yapo chanzo cha uhakika na safi japo sio salama. hiyo chlorine ya kutibu maji pia sio ati wanaweka kila siku hakuna kitu, ndio maana watu wa afya wanasisitiza maji ya kunywa yachemshwe, they know sio salama. SASA GHARAMA INATOKA WAPI KWA MWANZA? mishahra yao tu ndio watupanshie kwa 75-100% damn it

Kwanini Mwanza kuna ziwa na lipo pale lilipo na sio milimani ?

Jibu ziwa lipo bondeni chini ambapo maji yamefuata mkondo na kufika huko lilipo.., Kwahio ili kuyapeleka kule watu wayatumie inabidi kuyapump mpaka milimani against gravity ili yaweze kuwafikia watu kwa kutumia gravity..

Je wanayapump vipi ? (umeme...) ; na nakwambia kabisa uchafu wa maji ya ziwa sio kidogo, ukizingatia uchafu unaotoka huko milimani kwa wasiokuwa na vyoo n.k. ni hatari tupu.., kwahio sio siri kwamba water treatment madawa.., sio kama zamani
 
ROBERT MICHAEL

JF-Expert Member
Oct 23, 2012
4,933
2,000
sekta za Maji na afya ni huduma Ila lazima uendelevu na kujiendesha uangaliwe.

Kama Maji Mwanza ni ghali hamia vijijini penye unafuu.

Mnapenda kulalama sana. Hiyo Bill ya mwezi haifikii bili yako ya siku ya bia.

Kuoga sio lazima ni hiari. Lipa ankara ya Maji la sivyo tunakukatia.
Huyo anaongea tu, maji ni aghali vijijini kuliko mjini.Wakiitwa kwenye vikao vya wadau na ewura kuhusu kuzungumzia maombi ya ongezeko la bei wanakimbiakimbia. Alipie bili hili huduma iwe endelevu akiona ni aghali kachote maji mwenyewe ziwani.
 
ROBERT MICHAEL

JF-Expert Member
Oct 23, 2012
4,933
2,000
Hii imeumiza watu wengi sana huko mwanza kuna mama mmoja mjane anafikiri hata kuondoka mwanza arudi kwao Same maisha yamekuwa magumu mara mbili aliletewa bili ya laki mbili kutoka elfu kumi na mbili wakati nyumba ina mpangaji mmoja anayelipa 40000 kwa mwezi. halafu jamaa wana kauli za vitisho hatari, imebidi ndg tujichangishe tumlipie sa hatujui kama hali ikiendelea hivi kama watu tutaweza. Nahisi wanataka kuwafanya watu wachache wafanye biashara ya maji kwa faida yao kama ilivyokwa maeneo flani hapa dar. sioni sababu maji kuwa na hiyo bei wakati ziwa liko malangoni itakuwaje kwa mikoa inayopelekewa maji kutoka mwanza itakuwaje kama Shy na Tabora ama kweli MWAWASA imekuwa MWAWAZA
Acheni ulimbukeni wenu , mwambie aende huko huko Mwanza aone wananchi wananunua bei gani maji.Bei ya maji haipangwi kiholelalela.
 
kandawe

JF-Expert Member
Jun 24, 2013
1,139
2,000
Tuanzie hapa Unit moja ina ndoo ngapi na ndoo moja kwa watembezaji maji ni shilling ngapi. Hesabu zangu zinanituma kuwa unit moja ni sawa na ndoo za 20 ltre 55; hivyo kwa bei y TZS 1220 ni sawa na ndoo moja unauziwa Kwa Shs. 22.
Hesabu za darasa la kwanza. Huwezi kulinganisha bei ya MWAUWASA na wauza maji mitaani. Logically kupanda au kushuka kwa bei tunaangalia percentage wise. Kama ndoo ilikuwa TZS 14 na sasa imepanda na kuwa TZS 22 hatuangalii kuwa bei yenyewe ni TZS 22 tu! Hiyo ni justification ya kuibia watu. Weka percent ngapi imepanda!?
Au na sie tuweke hesabu za kikulima?
Unit 28 za umeme ni TZS 10,000 lakini unit 28 za maji kwa sasa mjini Mwanza ni TZS elfu 34 kwa hiyo bei ya maji ni kubwa kuliko umeme?
 
kandawe

JF-Expert Member
Jun 24, 2013
1,139
2,000
suala ni ongezeko sio hizo hesabu zako uchwara, kwani mwauwsa ilianzishwa kwa pesa za baba wa mtu? ni kodi za wateja hawa hawa, walipa kodi hawa hawa. so ni ujinga kupiga hesabu zako hizo. hoja yangu ni 75 increase sio ndo ni bei gani. hata ikiwa ni TZS 1/- suala ni why that much increase of 75%?
Very right, anatuletea porojo zilitolewa na mtu alijiita Injinia wa MWAUWASA akiongea na RFA aliropoka the same mara ndoo mtaani ni miatano lakini MWAUWASA imepandisha na kuwa 24,eti akasema watu wanakosea kuangalia kwa percent! Nikashangaa eti nae anajiita INJINIA....kweli mh ana kazi.
 
Mangachini

Senior Member
Mar 24, 2014
142
225
hawawezi kuusema ati walikuwa wanajiendesha kwa hasara no way. Mwanza maji yapo chanzo cha uhakika na safi japo sio salama. hiyo chlorine ya kutibu maji pia sio ati wanaweka kila siku hakuna kitu, ndio maana watu wa afya wanasisitiza maji ya kunywa yachemshwe, they know sio salama. SASA GHARAMA INATOKA WAPI KWA MWANZA? mishahra yao tu ndio watupanshie kwa 75-100% damn it
Nilimsikiliza jana(10/9/2019) Mh Mabula Stanslaus, akiuliza bungeni swali kuhusiana na upandishwaji wa hii bei. Waziri mhusika kasema wamelipokea na wanalishughulikia. Tutarajie maamuzi chanya kwetu watumuiaji
 
kandawe

JF-Expert Member
Jun 24, 2013
1,139
2,000
Ungeanza kueleza Unit moja ya maji ni sawa na lita ngapi ungeeleweka vizuri. Lakini kwa sababu unataka kulaumu ndiyo hivyo tena. Mwauwasa kuuza Lita moja ya maji kwa Shilingi 1 unaona shida lakini Azam akikuuzia Lita moja kwa shilingi 700 huoni tatizo. Watanzania tunapenda kulalamikia vitu ambavyo havina kichwa wala miguu, ili mradi tumelalamika.
Kama unafanya kazi MWAUWASA nanunafikiri hapo unatetea ni kwamba unaonyesha ulivyo low, hatuongelei wingi au uchache wa maji! Kwani wakati bei ikiwa 700 yalikuwa lita ngapi kwa uniti na sasa yamepanda kuwa 1400 ymeongezeka na kuwa lita ngapi?
Swali ni je! Kwa nini ongezeko la zaidi ya 75%?
 
kandawe

JF-Expert Member
Jun 24, 2013
1,139
2,000
Kwanini msitoe malalamiko yenu kwa hao wahusika wa maji, na ikishindikana mkaenda kwa wasaidizi wa Rais? mfano DC, RC, nk badala ya kurukia kwa Rais moja kwa moja? Hili bandiko lako una uhakika atalisoma na kulifanyia kazi haraka?

Mbona mnambebesha mambo mengi huyo mzee? Nadhani tumekosea mahali. Yaani mtu mmoja tu asikilize na kutatua kero/shida za watanzania zaidi ya milioni 55 huku akiwa na wasaidizi wake nchi nzima!
EWURA hawawezi kutangaza bei mpya bila hao ma DC na RC kuendorse, they know.
Sasa yawezekana wao hawana shida na ongezeko.
 
kopites

JF-Expert Member
Jan 28, 2015
6,118
2,000
Ungeanza kueleza Unit moja ya maji ni sawa na lita ngapi ungeeleweka vizuri. Lakini kwa sababu unataka kulaumu ndiyo hivyo tena. Mwauwasa kuuza Lita moja ya maji kwa Shilingi 1 unaona shida lakini Azam akikuuzia Lita moja kwa shilingi 700 huoni tatizo. Watanzania tunapenda kulalamikia vitu ambavyo havina kichwa wala miguu, ili mradi tumelalamika.
Unit 1 ni lita 1000,watz tulipe kodi kwa manufaa ya nchi tuache kulia lia
 
kandawe

JF-Expert Member
Jun 24, 2013
1,139
2,000
Acha hadithi za abunuasi. Unakurupuka leo kupost kitu ambacho tunajua Mwauwasa kabla ya kupandisha bei waliruhusiwa na Ewura. Walipoita wadau kuja GoldCrest kutoa maoni yao ulikuwa wapi? Ulisubiri ili baadae ujifiche nyuma ya keyboard uanze kulalamika?
Gharama lazima zipande with time. Cum 1 kuinunua kwa bei hiyo ni fair tu. Mamlaka zinaotoza 1,800 mbona wateja hawajaandamana. Weka constraints zote kama zamani(constant) alafu bei ikipanda utaruhusiwa kuropoka.
Hapo Gold Crest wadau walipendekeza shs ngapi kwa unit?
By the way, tunatakiwa tuangalie running cost,is it true kwamba zimepanda kwa zaidi ya 75% kujustify hilo ongezeko?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom