• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Rais saidia Mwanza MWAUWASA maji kutoka TZS 700 hadi 1220TZ kwa unit moja

F

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Messages
7,389
Points
2,000
F

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2012
7,389 2,000
Naandika kwa ufupi sana maana najua unavyombo vya kukupatia habari na taarifa za uhakika, mimii napiga filimbi tu.

(Matumizi ya kati ya 15-25 Units Julai 2019 maji yalipanda kwa 100% yaani kutoka 700 hadi 1400TZS kwa unit moja,Agosti 2019 maji yakashuka kidogo kutoka 1400 hadi 1220TZS kwa unit moja
Juni 2019 mali yakuwa 700TZs kwa unit moja

Kwa hiyo maji yamepanda kutoka 700 hadi 1220TZS sawa na 75% ongezeko la bei. hali ni kuhujumu kazi na jitihada za rais kuwakomboa wanyonge walau wamudu maji safi na salama. Mufumko wa bei huu ni kejeli kwa jitihada za serikali na fedheha kwa rais wetu.

Maji mwanza yako zero kilometer yaani ziwa Victoria. Kwa nini maji yapande bei kwa 75% au why mtu ama taasisi husika walipitishe ongezeko la 100% kiisha kushusha kidogo to 75%?

Mheshimiwa Rais nani katika mishahara wake ama biashara zake anapata ongezeko la 100% au 75%

Maisha lazima yawape wananchi uhueni sio kwa ongezeko hilo la 75% wakati nyongeza mara nyingi inapaswa kuwa 10%-0%.
Wizara naona wametutelekeza big times
Customer care ya Mwauwasa inakatia simu wateja kisa hawawezi kuelezea nini kimepandisha bei kwa asilimia 100 au hiyo 75 ya Agosti. Hii ni fedheha nyingine, Mnabadilishana simu wakati wa maongezi bila taarifa kwa mteja kama mnavyopandisha maji bila taarifa kwa mteja.

Unanza na Mwanamke unashangaa kawa Mwanaume, inadibi uanze upya na kasha simu inakatwa twaaaaa
Wizara naona wametutelekeza big times, RaiS tupia jicho lako, Tunajua haya mambo kwako ni within minutes tunapata majibu mwafaka.

Mzee wetu umekulia maisha kama yetu wengi hapa TZ maji ni uhai, kupandisha maji kwa namna hiyo ni kushawishi matumizi ya maji machafu na Ambayo sio salama hivyo kuhujumu jitihda zako za Kuongeza Madawa na Vifaa tiba,

Vituo vya Afya na Hospitali maana dawa zimeongezeka sasa kuna watu wanafanya jitihada ya kuonesha dawa hizo bado hazotoshi na ni jitihada mfu. Maana wagonjwa yakiongezeka ni wewe umejumlisha madawa wao wametoa hence zero workdone. Nawasilisha kwa unyenyekevu.
 
F

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Messages
7,389
Points
2,000
F

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2012
7,389 2,000
YAANI IWEKWE WAZI NA IREKEBISHWE, ishu ni nini maji kupanda kwa 75%? hata sustainability sio overnight wala sio kuumiza mteja why not mngependekeza kushusha mishahara yenu maana mwauwasa sio mali ya mtu ni ya watz, sasa isiwe nyinyi ndio iwe inawanufaisha wananchi wanataabika.
 
Ndachuwa

Ndachuwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2006
Messages
5,683
Points
2,000
Ndachuwa

Ndachuwa

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2006
5,683 2,000
Tuanzie hapa Unit moja ina ndoo ngapi na ndoo moja kwa watembezaji maji ni shilling ngapi. Hesabu zangu zinanituma kuwa unit moja ni sawa na ndoo za 20 ltre 55; hivyo kwa bei y TZS 1220 ni sawa na ndoo moja unauziwa Kwa Shs. 22.
 
F

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Messages
7,389
Points
2,000
F

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2012
7,389 2,000
hapo umesema kwa lugha, hebu ongea Kiswahili mkuu, maji ni uhai usicheze na bei ya maji safi na salama; ni kama kucheza na amoeba na virusi hivi

Wacha awamu ya tano iwanyoshe akili zikae sawa
 
F

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Messages
7,389
Points
2,000
F

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2012
7,389 2,000
suala ni ongezeko sio hizo hesabu zako uchwara, kwani mwauwsa ilianzishwa kwa pesa za baba wa mtu? ni kodi za wateja hawa hawa, walipa kodi hawa hawa. so ni ujinga kupiga hesabu zako hizo. hoja yangu ni 75 increase sio ndo ni bei gani. hata ikiwa ni TZS 1/- suala ni why that much increase of 75%?

Tuanzie hapa Unit moja ina ndoo ngapi na ndoo moja kwa watembezaji maji ni shilling ngapi. Hesabu zangu zinanituma kuwa unit moja ni sawa na ndoo za 20 ltre 55; hivyo kwa bei y TZS 1220 ni sawa na ndoo moja unauziwa Kwa Shs. 22.
 
areafiftyone

areafiftyone

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2017
Messages
6,929
Points
2,000
areafiftyone

areafiftyone

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2017
6,929 2,000
Miradi ya maji ni janga nchini jamani,Rais uko wapi?Mbarawa kashindwa Wizara ya Maji kabisa,mtumbue uweke mtu mwingine mkali,jasiri na mchapa kazi.Mbarawa ni mpole mno.Wananchi wako tunateseka na shida ya maji.
 
Mtukudzi

Mtukudzi

Member
Joined
Nov 14, 2013
Messages
46
Points
125
Mtukudzi

Mtukudzi

Member
Joined Nov 14, 2013
46 125
Ungeanza kueleza Unit moja ya maji ni sawa na lita ngapi ungeeleweka vizuri. Lakini kwa sababu unataka kulaumu ndiyo hivyo tena. Mwauwasa kuuza Lita moja ya maji kwa Shilingi 1 unaona shida lakini Azam akikuuzia Lita moja kwa shilingi 700 huoni tatizo. Watanzania tunapenda kulalamikia vitu ambavyo havina kichwa wala miguu, ili mradi tumelalamika.
 
N

NAKWEDE

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2007
Messages
27,867
Points
2,000
N

NAKWEDE

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2007
27,867 2,000
mmmh! Kwangu mwezi uliopita ankara ilikuwa kubwa haswaaaaa!!!
 
T

Tate Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2019
Messages
2,848
Points
2,000
T

Tate Mkuu

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2019
2,848 2,000
Kwanini msitoe malalamiko yenu kwa hao wahusika wa maji, na ikishindikana mkaenda kwa wasaidizi wa Rais? mfano DC, RC, nk badala ya kurukia kwa Rais moja kwa moja? Hili bandiko lako una uhakika atalisoma na kulifanyia kazi haraka?

Mbona mnambebesha mambo mengi huyo mzee? Nadhani tumekosea mahali. Yaani mtu mmoja tu asikilize na kutatua kero/shida za watanzania zaidi ya milioni 55 huku akiwa na wasaidizi wake nchi nzima!
 
F

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Messages
7,389
Points
2,000
F

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2012
7,389 2,000
sikujua TZ kunashida ya ufahamu kiasi hiki, cha msingi hapo labda niweke kwenye mkate ndi utaelewa mkate mmoja umepanda bei kutoka 1000 kuwa 1750, kabla ya hapo ulipanda kutoka 1000 kuwa 2000 wakasituka wakashusha kidogo kuja 1750, nadhani hata kichaa maana anakula ameelewa.

Hayo mambo ya lita, hayapo tunauziwa kwa cubic metre 1, ndio unit moja. Unaweza piga hesabu kama una akili utajua lita ni bei gani lakni hoja kama ulisoma na akili iko sio bei ya litaa maana hawatuuzii kwa lita bali kwa cubic meter ambayo ndio unit moja. Soma mita yako utaona units sio litres.

Sasa ni vema kuelewa hioja mezani kiuliko kupayuka na mambo ambayo yanataka kufanana ila sio sawa. one unit from 700TZs to 1220TZS finite. Ongelea ongezeko la bei ya unit moja kama ambavyo wao wanatuuziaUngeanza kueleza Unit moja ya maji ni sawa na lita ngapi ungeeleweka vizuri. Lakini kwa sababu unataka kulaumu ndiyo hivyo tena. Mwauwasa kuuza Lita moja ya maji kwa Shilingi 1 unaona shida lakini Azam akikuuzia Lita moja kwa shilingi 700 huoni tatizo. Watanzania tunapenda kulalamikia vitu ambavyo havina kichwa wala miguu, ili mradi tumelalamika.
 
F

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Messages
7,389
Points
2,000
F

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2012
7,389 2,000
Tunambebesha mambo mengi vile tulimpa kura nyingi mkuu. SASA unaakili kweli unadhani rais hana macho kibao kwa mitandao ya kijamii? au wewe ndio wale watakaorudhia talanta zao baada ya kujificha? hadi sasa ameshasoma na anafanyia kazi. nenda ukawaulize MWAUWASA leo hii

Kwanini msitoe malalamiko yenu kwa hao wahusika wa maji, na ikishindikana mkaenda kwa wasaidizi wa Rais? mfano DC, RC, nk badala ya kurukia kwa Rais moja kwa moja? Hili bandiko lako una uhakika atalisoma na kulifanyia kazi haraka?

Mbona mnambebesha mambo mengi huyo mzee? Nadhani tumekosea mahali. Yaani mtu mmoja tu asikilize na kutatua kero/shida za watanzania zaidi ya milioni 55 huku akiwa na wasaidizi wake nchi nzima!
 
Mtukudzi

Mtukudzi

Member
Joined
Nov 14, 2013
Messages
46
Points
125
Mtukudzi

Mtukudzi

Member
Joined Nov 14, 2013
46 125
sikujua TZ kunashida ya ufahamu kiasi hiki, cha msingi hapo labda niweke kwenye mkate ndi utaelewa mkate mmoja umepanda bei kutoka 1000 kuwa 1750, kabla ya hapo ulipanda kutoka 1000 kuwa 2000 wakasituka wakashusha kidogo kuja 1750, nadhani hata kichaa maana anakula ameelewa.

Hayo mambo ya lita, hayapo tunauziwa kwa cubic metre 1, ndio unit moja. Unaweza piga hesabu kama una akili utajua lita ni bei gani lakni hoja kama ulisoma na akili iko sio bei ya litaa maana hawatuuzii kwa lita bali kwa cubic meter ambayo ndio unit moja. Soma mita yako utaona units sio litres.

Sasa ni vema kuelewa hioja mezani kiuliko kupayuka na mambo ambayo yanataka kufanana ila sio sawa. one unit from 700TZs to 1220TZS finite. Ongelea ongezeko la bei ya unit moja kama ambavyo wao wanatuuzia
Acha hadithi za abunuasi. Unakurupuka leo kupost kitu ambacho tunajua Mwauwasa kabla ya kupandisha bei waliruhusiwa na Ewura. Walipoita wadau kuja GoldCrest kutoa maoni yao ulikuwa wapi? Ulisubiri ili baadae ujifiche nyuma ya keyboard uanze kulalamika?
Gharama lazima zipande with time. Cum 1 kuinunua kwa bei hiyo ni fair tu. Mamlaka zinaotoza 1,800 mbona wateja hawajaandamana. Weka constraints zote kama zamani(constant) alafu bei ikipanda utaruhusiwa kuropoka.
 
F

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Messages
7,389
Points
2,000
F

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2012
7,389 2,000
Unajua DG Haruna Maasebu wa EWURA alifutwa kazi kwa mambo kama haya ya MWAUWASA? harafu uwe unasoma mkuu unaelewa suala sio kupanda bei, hapana nimeweka hadi mfano wa 10%-0%, suala ni kupanda kwa 100% ama 75% basi.

Vyanzo vya maji ni tofauti sana, mfano mtu chanzo ni mto, hakika bei itakuwa juu kulinganisha na ziwa lenye maji meupe ni kutreat tu yawe salama. Umbali pia wa kusafirisha maji mfano Victoria Tabora ni ishu lazima maji watapata kwa bei kubwa kuliko Mwanza.

Pamoja na mambo yote nini kimefanya maji yapande bei kwa 75-100%? HUKO MWANZA

Uwe na siku njema.

suramlamu

suramlamu

Member
Joined
Sep 9, 2019
Messages
20
Points
45
suramlamu

suramlamu

Member
Joined Sep 9, 2019
20 45
Acha hadithi za abunuasi. Unakurupuka leo kupost kitu ambacho tunajua Mwauwasa kabla ya kupandisha bei waliruhusiwa na Ewura. Walipoita wadau kuja GoldCrest kutoa maoni yao ulikuwa wapi? Ulisubiri ili baadae ujifiche nyuma ya keyboard uanze kulalamika?
Gharama lazima zipande with time. Cum 1 kuinunua kwa bei hiyo ni fair tu. Mamlaka zinaotoza 1,800 mbona wateja hawajaandamana. Weka constraints zote kama zamani(constant) alafu bei ikipanda utaruhusiwa kuropoka.
.
 
F

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Messages
7,389
Points
2,000
F

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2012
7,389 2,000
Haya mambo kama hayasemwi basi ni tatizo letu watz, wengine ukipandisha bei ya mkate wanaandamana achilia mbali sisi kuomba RAIS aagize liangaliwe upya hili la bei za MWAUWASA. Umewahi kusikia mtu akiwa ofisini kwa cheo kile kile akapandishiwa mshahara 100% if this does not happen kwenye vipato why on expenditures? Mamlaka ni mali ya UMMA sio kampuni ya baba wa mtu hivyo anaamua utumie ama uache hayamuhusu, maji ni huduma za jamii na maji ni uhai, yote sio maneno yangu nimeyakuta yakitumika
 
D

dirun

Member
Joined
Aug 25, 2018
Messages
9
Points
45
D

dirun

Member
Joined Aug 25, 2018
9 45
Unajua DG Haruna Maasebu wa EWURA alifutwa kazi kwa mambo kama haya ya MWAUWASA? harafu uwe unasoma mkuu unaelewa suala sio kupanda bei, hapana nimeweka hadi mfano wa 10%-0%, suala ni kupanda kwa 100% ama 75% basi.

Vyanzo vya maji ni tofauti sana, mfano mtu chanzo ni mto, hakika bei itakuwa juu kulinganisha na ziwa lenye maji meupe ni kutreat tu yawe salama. Umbali pia wa kusafirisha maji mfano Victoria Tabora ni ishu lazima maji watapata kwa bei kubwa kuliko Mwanza.

Pamoja na mambo yote nini kimefanya maji yapande bei kwa 75-100%? HUKO MWANZA

Uwe na siku njema.
This is truly terrible maana sisi gharama za maji zimetriple kutoka 500k mpaka 1.5m ndani ya mwezi huku watumiaji wengi wakiwa hawapo.Yaani ongezeko la asilimia 200 hii ni hatari sana jamani
 
D

dirun

Member
Joined
Aug 25, 2018
Messages
9
Points
45
D

dirun

Member
Joined Aug 25, 2018
9 45
Acha hadithi za abunuasi. Unakurupuka leo kupost kitu ambacho tunajua Mwauwasa kabla ya kupandisha bei waliruhusiwa na Ewura. Walipoita wadau kuja GoldCrest kutoa maoni yao ulikuwa wapi? Ulisubiri ili baadae ujifiche nyuma ya keyboard uanze kulalamika?
Gharama lazima zipande with time. Cum 1 kuinunua kwa bei hiyo ni fair tu. Mamlaka zinaotoza 1,800 mbona wateja hawajaandamana. Weka constraints zote kama zamani(constant) alafu bei ikipanda utaruhusiwa kuropoka.
Unadhani wakazi wote wangeenda cold grest pangetosha?vipi ambao siku hiyo walikuwa na majukumu mengine ya kujenga taifa????Ndugu hii itapunguza sana wateja wa maji ama ndio tubane matumizi ya maji pia?
 
F

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Messages
7,389
Points
2,000
F

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2012
7,389 2,000
Ndugu huyu jamaa sijui kama yuko vizuri kichwani, wote sio lazima tunaishi mwanza ila kuna ndugu na jamaa zetu wako huko, bila sijui iwapo hata kama wanamwanza wote wangefika gold crest kama anaona pangetosha.

suala sio kwenda gold crest ni rationale ya kupandisha huduma za jamii kwa 100% inatoka wapi?

Unadhani wakazi wote wangeenda cold grest pangetosha?vipi ambao siku hiyo walikuwa na majukumu mengine ya kujenga taifa????Ndugu hii itapunguza sana wateja wa maji ama ndio tubane matumizi ya maji pia?
 
Michaelmakene

Michaelmakene

Senior Member
Joined
Aug 7, 2019
Messages
163
Points
250
Michaelmakene

Michaelmakene

Senior Member
Joined Aug 7, 2019
163 250
Haya mambo kama hayasemwi basi ni tatizo letu watz, wengine ukipandisha bei ya mkate wanaandamana achilia mbali sisi kuomba RAIS aagize liangaliwe upya hili la bei za MWAUWASA. Umewahi kusikia mtu akiwa ofisini kwa cheo kile kile akapandishiwa mshahara 100% if this does not happen kwenye vipato why on expenditures? Mamlaka ni mali ya UMMA sio kampuni ya baba wa mtu hivyo anaamua utumie ama uache hayamuhusu, maji ni huduma za jamii na maji ni uhai, yote sio maneno yangu nimeyakuta yakitumika
....kweli ndg maji ni uhai lakini kwa bei hizi maji imekua anasa!...wakazi wengi wa mwanza wanaishi maeneo ya milimani kwa ongezeko hilo wengi watashindwa kulipia bili watakatiwa huduma ya maji matokeo yake vinyesi vitawekwa kwenye mifuko na kutapakaa hovyo mitaani ambako kunaweza kupelekea magonjwa ya milipuko....hii bei ni kufuru kwa wananchi wanyonge
 
Forum statistics

Threads 1,402,621
Members 530,953
Posts 34,400,522
Top