Rais Ramaphosa kuitisha mkutano wa marais wa SADC wakati akijua Tanzania ndio Mwenyekiti, kitendo hiki hakifanani na mapinduzi ya kuondoa kiongozi?

Mwenyekiti hana uwezo wa kuongoza vikao, maana amezoea kwenye vikao na mawaziri wake kufoka na kulaumu, hawezi kusikiliza.. anaayo taka yeye ndio anataka yafanyike.

Africa mashariki ndio Rais dhaifu zaidi.

Unakumbuka ziara ya zimbabwe hadi Rais wa zimbabwe ikabidi amsaidie maana alikua very local ..

Kina press interview moja walifanya uganda wakiwa na mseven , ikabidi mseven awe anajitahidi kujibia maadhi ya mambo.

Tatizo anataka kuonekana amesoma lakini elimu yake haionekani

Huwezi soma hadi phd kwa kingereza lakiji bado huwezi kuongea kwa ufasaha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ben sanane
 
IMG_20200509_170039.jpg
 
Je, hiki kitendo hakifanani na mapinduzi ya kuondoa uongozi makini wa Mwenyekiti wa SADC kutoka Tanzania?

Na wale maraisi wengine wa SADC wakahudhuria mkutano huo wakijua mwenyekiti wao halali hayupo ili kuongoza kikao

Hawana imani na Tanzania na uongozi wake katika SADC?

Pia tulikubaliana kuwa lugha ya SADC ingekuwa inajumuisha Kiswahili, kuna kiongozi aliyesisistiza lugha nyingine?

Pia soma > Janga la COVID-19: Rais Cyrill Ramaphosa aitisha mkutano wa nchi jirani na SA
Ni vigumu sana kumtafuta mtu alie amua kujificha.
 
Back
Top Bottom