Rais Ramaphosa kuitisha mkutano wa marais wa SADC wakati akijua Tanzania ndio Mwenyekiti, kitendo hiki hakifanani na mapinduzi ya kuondoa kiongozi?

Je, hiki kitendo hakifanani na mapinduzi ya kuondoa uongo2ewezi makini wa Mwenyekiti wa SADC kutoka Tanzania?

Na wale maraisi wengine wa SADC wakahudhuria mkutano huo wakijua mwenyekiti wao halali hayupo ili kuongoza kikao

Hawana imani na Tanzania na uongozi wake katika SADC?

Pia tulikubaliana kuwa lugha ya SADC ingekuwa inajumuisha Kiswahili, kuna kiongozi aliyesisistiza lugha nyingine?

Pia soma > Janga la COVID-19: Rais Cyrill Ramaphosa aitisha mkutano wa nchi jirani na SA
Wewe ni mwongo! Hajaitisha mkutano wa SADC, bali ameitisha kikao na nchi jirani na afrika ya kusini, yaani zinazopakana!! Uongo unakusaidia nini?
 
Je, hiki kitendo hakifanani na mapinduzi ya kuondoa uongozi makini wa Mwenyekiti wa SADC kutoka Tanzania?

Na wale maraisi wengine wa SADC wakahudhuria mkutano huo wakijua mwenyekiti wao halali hayupo ili kuongoza kikao

Hawana imani na Tanzania na uongozi wake katika SADC?

Pia tulikubaliana kuwa lugha ya SADC ingekuwa inajumuisha Kiswahili, kuna kiongozi aliyesisistiza lugha nyingine?

Pia soma > Janga la COVID-19: Rais Cyrill Ramaphosa aitisha mkutano wa nchi jirani na SA
Sasa kama Meko mwenyewe ni kama hazimtoshi unadhani wangefanyaje
 
Wamezungumzia mikakati gani dhidi ya covid19 huko SADC?
Mtujuze mliofuatilia.
 
Je, hiki kitendo hakifanani na mapinduzi ya kuondoa uongozi makini wa Mwenyekiti wa SADC kutoka Tanzania?

Na wale maraisi wengine wa SADC wakahudhuria mkutano huo wakijua mwenyekiti wao halali hayupo ili kuongoza kikao

Hawana imani na Tanzania na uongozi wake katika SADC?

Pia tulikubaliana kuwa lugha ya SADC ingekuwa inajumuisha Kiswahili, kuna kiongozi aliyesisistiza lugha nyingine?

Pia soma > Janga la COVID-19: Rais Cyrill Ramaphosa aitisha mkutano wa nchi jirani na SA
We chinembe kweli.
Kwani wana SADCC hawamwelewi Mwenyekiti wao wa sasa.
Tuanzie hapa, Mwenyekiti kawaalika mara ngapi huko Chato kwa mazungumzo hapa Tanzania?
Mwenyekiti kawatembelea nchini kwao mara ngapi ili kuelewa shida za nchi zao kiuchumi na hata kiushirikiano?
Unadhani hili limejitokea tu?
Ni dhahiri kuna viongozi wa SADCC wamememtonya Cyril Ramaphosa kuwa kuna ombwe la uongozi katika mwenyekiti wake wa sasa.
 
Vijana wetu wanaangamia kwa kukosa maarifa. Mwandishi wa Uzi huu anafahamu kabisaaa kwamba habari hii sio kweli, ni uongo wa maksudi, lakini ameuandika na kuupost.
Vijana wetu wameuamini uongo huu na kuunga mkono. Ni lini na Wapi, Ramaposa kaitisha mkutano wa SADC?
Ushauri wangu kwa vijana wa Jamii Forum, Tuitumie mitandao ya kijamii kupashana habari za kweli na zenye tija kwa taifa.
Wewe ndio unaangamia kwa kukosa maarifa. Inabidi ujifunze tasnia ya diplomasia. Ni wazi katiba ya SADC inampa mwenyekiti mamlaka ya kuitisha mkutano, lakini kitendo cha SA kuitisha mkutano wa "nchi zilizo karibu na yeye" ambazo zote ni za SADC ni kutuma ujumbe kwa mwenyekiti (JPM) kwamba hawaoni uongozi wowote kutoka kwake na hivyo inabidi wajiongoze wenyewe. Nadhani SADC nzima inasubiri kwa hamu sana kipindi cha uenyekiti wa Tanzania kiishe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We chinembe kweli.
Kwani wana SADCC hawamwelewi Mwenyekiti wao wa sasa.
Tuanzie hapa, Mwenyekiti kawaalika mara ngapi huko Chato kwa mazungumzo hapa Tanzania?
Mwenyekiti kawatembelea nchini kwao mara ngapi ili kuelewa shida za nchi zao kiuchumi na hata kiushirikiano?
Unadhani hili limejitokea tu?
Ni dhahiri kuna viongozi wa SADCC wamememtonya Cyril Ramaphosa kuwa kuna ombwe la uongozi katika mwenyekiti wake wa sasa.
Mkuu hili ulilosema hapa liko wazi sana hata kipofu analiona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom