Rais Putin anapofanya Press Conference ya masaa 5

Rais Putin anapofanya Press Conference ya masaa 5

profkobayashi

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
224
Reaction score
71
185725951.jpg

Juzi rais wa Russia Putin aliamua kufanya press conference ya masaa 5 na kila mwandishi wa habari alipewa fursa kuuliza maswali yoyote yale.

Jamaaa kwa kweli namwaminia.

Kila swali lilijibiwa mpaka waandishi wakakosa cha kuumuliza

I hope premi na Salva wamejifunza kuhusu hili
 
Lakini alikuwa kakaaa

huyu jamaa kweli kiboko

Ni KGB na sisi next time tuchague rais ambaye ni TISS
 
namkubali sana Putin naona kamtoa jela hasimu mkubwa Mikhail Khodorkovsky
 
Huyu jamaa ni smart. Anajua kipindi hiki cha Christmas mood za warusi ziko oriented na sherehe na hawachukulii siasa kivile. Anajua scrutinization yake itakuwa kama upepo unaopita haraka.

Otherwise huyu jamaa ni miongoni mwa wahuni wakubwa duniani. Ameshika njia zote za uchumi wa Urusi. Kila mtu anayejifanya kumletea ubishi anashughulikiwa effectively.
 
185725951.jpg

Juzi rais wa Russia Putin aliamua kufanya press conference ya masaa 5 na kila mwandishi wa habari alipewa fursa kuuliza maswali yoyote yale.

Jamaaa kwa kweli namwaminia.

Kila swali lilijibiwa mpaka waandishi wakakosa cha kuumuliza

I hope premi na Salva wamejifunza kuhusu hili
atadondoka mzee wetu
 
Hana majukumu mengi kama wakina Obama,jukumu lake kuu ni kuwashughulikia wapinzani wake tuu,na ni mpenda sifa za kijinga.
 
Putini ndo the most powerfull man in the world, huyu jamaa si mchezo na ni mzalendo namba moja, nchi za magharibi wana mgwaya sana Putini, na wana shida sana na siraha za Urusi na ikumbukwe pamoja na kusambaratika kwa USSR bado Urusi ni second kwa nguvu za kijeshi. Na wapinzani wengi wa Urusi ni vibaraka waliopandikizwa.
 
185725951.jpg

Juzi rais wa Russia Putin aliamua kufanya press conference ya masaa 5 na kila mwandishi wa habari alipewa fursa kuuliza maswali yoyote yale.

Jamaaa kwa kweli namwaminia.

Kila swali lilijibiwa mpaka waandishi wakakosa cha kuumuliza

I hope premi na Salva wamejifunza kuhusu hili

Kwa hali ya sasa huyu rais wetu angeweza fanya hii?? Putin ni the best!!!
 
Ukitaka kujua Putin ni mwendawazimu tafuta video ya alivyokuwa anatembea korido za Kremlim wakati anakuwa rais mara ya kwanza, watu kibao wamejaa kulia na kushoto, jamaa anatembea kama robot ha smile wala kupunga mkono wala nini, anapiga hatua kama kazihesabu kwa rula, halafu haangalii kulia wala kushoto anaangalia mbele tu kama mzimu fulani hivi.
 
Ile ya kutembea cha mtoto tafuta documentary ya BBC ambayo kuna siku aliwaita ma tajiri wote wa Russia na kuwasainisha document ya qao kuachia percentage kwa serikali..akina abtamovich..kordokovsky...berezovsky wote walikuwepo...utadhani ni scene ya kwenye the godfather....if only tanzania tungempatanraia kama huyo....
 
Back
Top Bottom