Rais Putin anapofanya Press Conference ya masaa 5

Putini ndo the most powerfull man in the world, huyu jamaa si mchezo na ni mzalendo namba moja, nchi za magharibi wana mgwaya sana Putini, na wana shida sana na siraha za Urusi na ikumbukwe pamoja na kusambaratika kwa USSR bado Urusi ni second kwa nguvu za kijeshi. Na wapinzani wengi wa Urusi ni vibaraka waliopandikizwa.

Endelea kujitoa ufahamu. Kwa taarifa yako Russia unayoiona leo ni matunda ya mikopo ya IMF na WB (wamarekani). Keep longing for a Strong man, but true democracy doesn't need one.
 
kwani tatizo ninini ikiwa matunda ya imf na wb?kwani china ni matunda ya nn na leo uchumi wake unamtisha mmarekani
besides russia sio tunda la hao mabepari
 
Endelea kujitoa ufahamu. Kwa taarifa yako Russia unayoiona leo ni matunda ya mikopo ya IMF na WB (wamarekani). Keep longing for a Strong man, but true democracy doesn't need one.

ila ukweli ni kuwa putin ndo rais mwenye ushawishi kuliko wote
 
Endelea kujitoa ufahamu. Kwa taarifa yako Russia unayoiona leo ni matunda ya mikopo ya IMF na WB (wamarekani). Keep longing for a Strong man, but true democracy doesn't need one.

Acha uongo, Urusi ina pesa za kutosha wanauza sana wese na gesi ulaya na Asia, kumbuka robo ya ges inayo tumika ulaya inatoka Urusi, jamaa wako vizuri sana na kwa sasa wanaunda hadi ndege za kiraia cheki sukhoi super jet. Na putin ameipandisha sana Urusi
 
Back
Top Bottom