johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,137
Mabadiliko ni ndoto chini ya viongozi wabinafsiKwamba Africa miaka zaidi ya 50 tumeshindwa kujitegemea hata kwa chakula tu!?
Tuna tatizo kubwa kwakweli , tunahitaji mabadiliko makubwa sana
Hapo nadhani wanailump Afrika lakini kama wangekuwa specific wangesema Afrika Kaskazini, Somalia, Ethiopia, Sudani Kusini, na baadhi ya nchi za West Africa ndiko wanahitaji hiyo ngano ya Russia.Kwamba Africa miaka zaidi ya 50 tumeshindwa kujitegemea hata kwa chakula tu!?
Tuna tatizo kubwa kwakweli , tunahitaji mabadiliko makubwa sana
Kweli. Urusi ni hao hao wazungu hakuna kitu tutafaidi.Hapo nadhani wanailump Afrika lakini kama wangekuwa specific wangesema Afrika Kaskazini, Somalia, Ethiopia, Sudani Kusini, na baadhi ya nchi za West Africa ndiko wanahitaji hiyo ngano ya Russia.
Hata hivyo kuna namna fulani hivi ambavyo mwafrika akili yake ni ndogo sana. Udogo wa akili ya mwafrika ni jinsi ambavyo wazungu wanavyoweza kutengeneza tatizo, wakalibrand kuwa ni tatizo kubwa kwa mwafrika, na mwafrika akaibeba mazima mazima hiyo simulizi ya mzungu na kuliona kuwa ni tatizo kwake. Mwisho ni mwafrika kuendelea kuwa tegemezi kwa mzungu milele na milele.
Mfano mdogo ni kuhusu corona. Corona ilivyoanza huko Ulaya na Marekani wakawa wakifa kama kumbikumbi yet simulizi kwenye vyombo vya habari vya wazungu ilikuwa ni jinsi ambavyo Afrika itakuwa "disproportionately hit" na corona. Wakati huo nafikiri Afrika ilikuwa hata haijapata hata mgonjwa mmoja wa corona. Lakini viongozi wa AU save Tanzania walivokuwa busy kujigonga gonga na kulialia kwa mataifa ya Ulaya na Marekani kuhusu chanjo, na jinsi mataifa hayo yanavyokumbatia chanjo utafikiri basi waafrika ndio tunaihitaji chanjo kuzidi wao. Ni akili ndogo tu na utumwa utumwa tu.
Na hata kwenye hii ishu ya Russia na Ukraine na madhara yake kiuchumi. Kama kuna madhara Afrika itayapata kutokana na hii vita hatutakuwa tofauti na watu wa mabara mengine. Huyo Sall kukimbilia Russia kuomba sijui hiki au kile ni utoto utoto tu wa viongozi wa kiafrika.
Ngoja tuoneAnaweza akavileta na viongozi wa Afrika wakashindwa kupokea, kama mafuta wameshindwa kununua ya Russia ambayo ni bei rahisi hizo mbolea na chakula wataweza kuvichukua?
Ni Katiba Yao,wala sio yeyeMimi siiungi hoja.
Simpendi Rais Putin huyu mfalme wa madaraka milele. Wa kuvamia wazungu Ukrain na nchi huru. Wa kutishia kupiga unclear dunia.
Ni hatua ngapi tumetoka na Ulaya wakitusaidia? Yeye Putin kama kiongozi hata Africa hajakanyaga
Sie Mbususu kimasihara na kupeana koneksheni ndio tumeweza kujitegemea mkuu. Nyuzi nyingi za kula mbususu zinapata uchangiaji Sana. Yaani ubongo zetu ziko idle for critical and concrete life issues but they become active for kula mbususu kimasihara,vumbi la Kongo naamna ya kung'oa pisi Kali na kuikojolesha.Kwamba Africa miaka zaidi ya 50 tumeshindwa kujitegemea hata kwa chakula tu!?
Tuna tatizo kubwa kwakweli , tunahitaji mabadiliko makubwa sana
Sawa katiba yao ime ban kuwa asichaguliwe mwingine? Katiba imemruhusu tu agombee ila sio kwamba eti asichaguliwe mwingineNi Katiba Yao,wala sio yeye
Nikama tulivyo pigiwa makelele kwamba tusijenge bwawa la umeme la nyerere, eti kwasababu tutaharibu mazingira, na urithi wa dunia.Hapo nadhani wanailump Afrika lakini kama wangekuwa specific wangesema Afrika Kaskazini, Somalia, Ethiopia, Sudani Kusini, na baadhi ya nchi za West Africa ndiko wanahitaji hiyo ngano ya Russia.
Hata hivyo kuna namna fulani hivi ambavyo mwafrika akili yake ni ndogo sana. Udogo wa akili ya Mwafrika ni jinsi ambavyo wazungu wanavyoweza kutengeneza tatizo, wakalibrand kuwa ni tatizo kubwa kwa mwafrika, na mwafrika akaibeba mazima mazima hiyo simulizi ya mzungu na kuliona kuwa ni tatizo kwake. Mwisho ni mwafrika kuendelea kuwa tegemezi kwa mzungu milele na milele.
Mfano mdogo ni kuhusu corona. Corona ilivyoanza huko Ulaya na Marekani wakawa wakifa kama kumbikumbi yet simulizi kwenye vyombo vya habari vya wazungu ilikuwa ni jinsi ambavyo Afrika itakuwa "disproportionately hit" na corona. Wakati huo nafikiri Afrika ilikuwa hata haijapata hata mgonjwa mmoja wa corona. Lakini viongozi wa AU save Tanzania walivokuwa busy kujigonga gonga na kulialia kwa mataifa ya Ulaya na Marekani kuhusu chanjo, na jinsi mataifa hayo yanavyokumbatia chanjo utafikiri basi Waafrika ndio tunaihitaji chanjo kuzidi wao. Ni akili ndogo tu na utumwa utumwa tu.
Na hata kwenye hii ishu ya Russia na Ukraine na madhara yake kiuchumi. Kama kuna madhara Afrika itayapata kutokana na hii vita hatutakuwa tofauti na watu wa mabara mengine. Huyo Sall kukimbilia Russia kuomba sijui hiki au kile ni utoto utoto tu wa viongozi wa Kiafrika.