Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,318
- 33,125
Thanks Mr President
clinton alikuwepo,lakini alitua africa kusini na ndege tofauti akitokea brazil.Clinton alikuwepo....je hakuwa kwenye hilo dege
Nadhani hii nayo pia imeweka record ya kwanza Marekani, Air Force One kuchukua familia za Marais wanne wa Marekani kwa wakati mmoja kwenda safari nje ya nchi yao. Nadhani hii haikuwahi kutokea huko nyuma tangu Marekani ianze kuwa na Maraisi
Kwenye mazishi ya King Hussein wa Morocco ilikuwa hivyo hivyo, yaani rais aliye madarakani aliongozana na marais wastaafu katika ndege moja kwenda kwenye mazishi.
Nchi yetu unaihesabu nayo ni imo kwenye orodha ya Mataifa makubwa kama Marekani au Urusi?nchi yetukam vile kijiji cha ujamaa.......ingekuwa TZ angeitwa msaliti,si wapo vyama tofauti hao
Air Force One ilimbeba Obama na Bush. Sheria zao hairuhusu kusafiri wote kwenye chombo kimoja walielezea wakati wanakuja. Hivyo wale wawili walikuja tofauti.Kipindi hicho alikuwa Clinton nadhani. Issue ni je, zilienda familia ngapi za maraisi? Safari hii zimeenda familia nne, yaani ya Bush Jr, Clinton, Jimmy Cartel na Obama. Bush Sr nasikia ameshindwa kwenda sababu ya umri mkubwa. Je Jordan kipindi hicho ziiienda/zillikuwa familia ngapi za marais kwenye Air Force One?
Alikuwepo Mrs Clinton, Mr na daughter walitokea Brazil na ndege nyingine.Clinton alikuwepo....je hakuwa kwenye hilo dege
ulitaka aende na mbowe!
!
wa kwetu kaenda na salma tu, au?
Na Mrs Clinton.Air Force One ilimbeba Obama na Bush. Sheria zao hairuhusu kusafiri wote kwenye chombo kimoja walielezea wakati wanakuja. Hivyo wale wawili walikuja tofauti.
Nchi yetu unaihesabu nayo ni imo kwenye orodha ya Mataifa makubwa kama Marekani au Urusi?nchi yetukam vile kijiji cha ujamaa.......