RAIS OBAMA ALIONGOZANA NA NA RAIS WA ZAMANI BUSH HUKO MAZISHINI SOUTH AFRICa

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,267
33,039
1000370_441924129240550_752013153_n.jpg

1497633_441924119240551_1780301958_n.jpg

999912_441924132573883_154045323_n.jpg

1474583_441924185907211_537858280_n.jpg
 
Hili dege la Airforce I, hakika limeundwa kwa umaridadi sana...hebu tazama mandhari ya hizo ofisi humo ndani...
 
Nadhani hii nayo pia imeweka record ya kwanza Marekani, Air Force One kuchukua familia za Marais wanne wa Marekani kwa wakati mmoja kwenda safari nje ya nchi yao. Nadhani hii haikuwahi kutokea huko nyuma tangu Marekani ianze kuwa na Maraisi

Kwenye mazishi ya King Hussein wa Morocco ilikuwa hivyo hivyo, yaani rais aliye madarakani aliongozana na marais wastaafu katika ndege moja kwenda kwenye mazishi.
 
Kwenye mazishi ya King Hussein wa Morocco ilikuwa hivyo hivyo, yaani rais aliye madarakani aliongozana na marais wastaafu katika ndege moja kwenda kwenye mazishi.

Kipindi hicho alikuwa Clinton nadhani. Issue ni je, zilienda familia ngapi za maraisi? Safari hii zimeenda familia nne, yaani ya Bush Jr, Clinton, Jimmy Cartel na Obama. Bush Sr nasikia ameshindwa kwenda sababu ya umri mkubwa. Je Jordan kipindi hicho ziiienda/zillikuwa familia ngapi za marais kwenye Air Force One?
 
Air Force One ilimbeba Obama na Bush. Sheria zao hairuhusu kusafiri wote kwenye chombo kimoja walielezea wakati wanakuja. Hivyo wale wawili walikuja tofauti.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom