Mkewe Rais wa Burundi aletwa Kenya kutibiwa Corona

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,760
48,408
Hawa Burundi nao pia walijitutumua kwa kujifanya wakaidi na kugoma kufunga chochote, wakajisahau wao ni kainchi kadogo kenye watu wachache, hawana jeuri ya kustahimili vifo vingi kama maskini wenzao wenye idadi kubwa ya watu wa kupoteza na maisha bado yaendelee.

Sasa kirusi kimegonga ikulu na kumkuta mkewe rais, pona yao ni familia yenye hela imebidi aletwe Kenya apate huduma bora ambapo ndio nchi yenye hospitali za maana ukanda wote huu.

Pole kwa wale hawana uwezo huu.

=======

Denise Bucumi Nkurunziza, Burundi’s First Lady is currently admitted at The Aga Khan University Hospital, Nairobi after she reportedly contracted the novel Coronavirus.

Sources indicate that Mrs. Nkurunziza, was airlifted to Kenya’s Capital from Bujumbura on Thursday morning, flying in on an AMREF plane.

Her condition remains unknown.

Her husband, Pierre Nkurunziza was not in the flight and she was accompanied by three bodyguards one who has also tested positive.

It is not clear how she was allowed entry into Kenya since the country has set strict conditions only allowing those who test negative entry.

Mr. Nkurunziza has received global backlash for doing little to stop the spread of the disease that has shutdown the whole world.

Burundi earlier this month ordered the country’s top World Health Organization (WHO) representative and three other experts coordinating the novel coronavirus response to leave the country.

Burundi, through its foreign ministry in a letter dated May 12 said the four officials “are declared persona non grata and as such, must leave the territory of Burundi” by Friday.

Burundi is the only African country that did not stop playing of football during the coronavirus pandemic.

The country also recently held their presidential elections which saw the governing party candidate, retired General Evariste Ndayishimiye, win with 69 percent of the vote.

The main opposition party has filed a case in the country’s constitutional court challenging the presidential election result, claiming there is evidence of fraud.

Source: Citizen TV
 
Hahahaha, kama kawaida yenu kujisifu wakati hata kurekebisha pua ya Isack Ruto mlishindwa na kwenda South Afrika.

Huu ni uongo kama mlivyokua mkidanganya kwamba Kenya ina $Millionaires wengi kuliko Tanzania. Hawa waandishi wenu wa habari kwa muda mrefu wamekuwa wakiwadanganya ili mjione mpo juu wakati hamna lolote ninyi ni miongoni mwa nchi za hovyo hapa Afrika.

Tunaomba ushahidi katika hili, angalau "main and credible media' zilizoandika kuhusu hii habari zaidi ya hiki kipeperushi. Huo ni uongo na uzushi mtupu, hakuna mke yeyote wa rais aliyeletwa Kenya.
 
Ingependeza zaidi kama Nkurunzinza angeomba usaidizi wa dikteta mwenzake, jirani wa karibu. Ambaye waligoma pamoja kushiriki kwenye vikao vya marais wa EAC kuhusu COVID-19.

Labda kufikia sasa First Lady wake angekuwa amepona, maanake nasikia huko tayari kuna vaccine/tiba ambayo inachemshwa kwanza kwenye nyungu.
 
Published on: May 29, 2020 10:48 (EAT)

Sources indicate that Mrs. Nkurunziza, was airlifted to Kenya's Capital from Bujumbura on Thursday 1AM. She was flown in on an AMREF plane. Her condition remains unknown.

Her husband, Pierre Nkurunziza was not in the flight and she was accompanied by three bodyguards one who has also tested positive.

It is not clear how she was allowed entry into Kenya since the country has set strict conditions only allowing those who test negative entry.

Denise Bucumi Nkurunziza, Burundi’s First Lady is currently admitted at The Aga Khan University Hospital, Nairobi after she reportedly contracted Coronavirus.
View attachment 1462241
 
Ingependeza zaidi kama Nkurunzinza angeomba usaidizi wa dikteta mwenzake jirani wa karibu. Ambaye waligoma pamoja kushiriki kwenye vikao vya marais wa EAC kuhusu COVID-19. Labda kufikia sasa First Lady wake angekuwa amepona, maanake huko nasikia tayari kuna vaccine/tiba ambayo inatayarishwa kwenye nyungu.
Mkewe Pierre hua ni Pastor na walisema nchi yao inalindwa na Mungu hakuna cha Corona kuwasumbua wala nini.
 
Source NTV. ...

Nyie tulishawajua wazee wa kujifagilia na huku hamna lolote..

Mumewaponza Burundi wafuate ukaidi wenu, wakajisahau wao ni kainchi kadogo kenye watu wachache, sio kama nyie mna jeuri ya kuficha vifo na maambukizi maana hata mkifa laki moja, kwa mlivyo wengi inafichika, ila hawa hujitutumua kushobokea Tanzania huku mkiongozana maskini wawili kaka na mdogo wake.
 
Hahahaha, kama kawaida yenu kujisifu wakati hata kurekebisha pua ya Isack Ruto mlishindwa na kwenda South Afrika.
Huu ni uongo kama mlivyokua mkidanganya kwamba Kenya ina $Millionaires wengi kuliko Tanzania. Tunaomba ushahidi katika hili, angalau "main and credible media' zilizoandika kuhusu hii habari zaidi ya hiki kipeperushi. Huo ni uongo na uzushi mtupu, hakuna mke yeyote wa rais aliyeletwa Kenya.
Leo ndio umejua ni kipeperushi? Taarifa kama hizi kutoka kwa CitizenTv huwa zipo kwenye nyuzi zako zote.
Source NTV. ...
Nyie tulishawajua wazee wa kujifagilia na huku hamna lolote..
CitizenTv, sio NTV, zote ni media za kueleweka sio zile media uchwara kutoka Tz. Ndio hii ripopi kutoka kwa media za Burundi. Burundi’s Outgoing First Lady, Denise Nkurunziza, Evacuated To Nairobi Hata waziri wao wa afya aliletwa Kenya kutibiwa Corona wiki iliyopita.
 
Inakuwaje Kenya mmepokea mtu kutoka nje ambae ametest positive? Si huwa hamtaki maambukizi kutoka nje nyie?

Oooh i forgot! Kenya ni nchi ya kitu kidogo... ukiwa nazo ngawila hata ikulu utakaribishwa.

Kaja kwa ndege ya AMREF ambayo ndio kazi yake kusafirisha wagonjwa ikiwa na madaktari humo, kile hatutaki ni makajamba kutuibukia kwa njaa zao hawataki wapimwe, wanang'ang'ania kuingia kwenye nchi za watu maisha yamewashinda kwao.
Mumejichokea na kushindwa kuendelea kupima kisa umaskini na bado mnataka muingie kwenye nchi za watu.
 
Kaja kwa ndege ya AMREF ambayo ndio kazi yake kusafirisha wagonjwa ikiwa na madaktari humo, kile hatutaki ni makajamba kutuibukia kwa njaa zao hawataki wapimwe, wanang'ang'ania kuingia kwenye nchi za watu maisha yamewashinda kwao.
Mumejichokea na kushindwa kuendelea kupima kisa umaskini na bado mnataka muingie kwenye nchi za watu.

Yeah, nchi ya kitu kidogo. Mnajali pesa tu . ndio maana nimesema hata ikulu atapokelewa tu as long as cash ipo corona inawekwa kando.

Lini mwenye njaa akaweka sheria na kuweza kuisimamia?
 
Mkewe Pierre hua ni Pastor na walisema nchi yao inalindwa na Mungu hakuna cha Corona kuwasumbua wala nini.
Sasa maombi ya ziada dhidi ya kashetani ka Corona yatafanya hospitalini, tena mbali sana na nchi ya Burundi.
 
Yeah, nchi ya kitu kidogo, mnajali pesa tu, ndio maana nimesema hata ikulu atapokelewa tu as long as cash ipo corona inawekwa kando.

Lini mwenye njaa akaweka sheria na kuweza kuisimamia?

Nchi ya kibepari tunajali pesa, msije kwa njaa zenu kutuambukiza corona na umaskini wenu.
 
Back
Top Bottom