Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
Chanzo redio ya kiswahili ya ujerumani kinasema kuwa rais wa Burundi yupo dar. Membe kahojiwa amethibitisha ila hajasema kuwa yupo hoteli gani. Nini hatima yake? Na msimamo wa Tanzania JK alishauonyesha jana.
Je Tanzania namaanisha Kikwete atatuma majeshi kumsaidia huyu swahiba wake ?
AU wamelala bado.
Chanzo ni Deutsche Welle
Je Tanzania namaanisha Kikwete atatuma majeshi kumsaidia huyu swahiba wake ?
AU wamelala bado.
Chanzo ni Deutsche Welle