Rais naomba uniteue ukurugenzi Mwanza

Rais naomba uniteue ukurugenzi Mwanza

Rais naomba hii nafasi ya kazi ukurugenzi wa jiji la Mwanza tafadhali madame.

Nina elimu ya shahada
Miaka kumi na moja tangu nimalizie elimu ya shahada.
Mkurugenzi wa kampuni binafsi Kwa miaka 7. Ila tunadili na serikali.

Miaka mitano ajira kwenye private sector

Nimesoma Aza boy(walikuja wazee niwe nao nikachomoa) advance hapo
Airwing(wakajua wazee nikachomoa).
Mbuyuni primary school,mke wa kikwete na mama Magufuli ni walimu wangu(walikuja vijana nikachomoa)

Mtiifu

Naomba kazi ya ukurugenzi wa jiji la Mwanza.
Nina sifa za kuwa mtu mwema,elimu ya kutosha na na

Asante sana.
Mh Rais siitaji kuliibia Taifa naomba kazi
Pumbavu wewe. Kama ulichomoa na bado unasema ulichomoa si maana yake vetting ishakutupa?
 
Ulichomoa. kwani ulikuwa umechomekewa nini ?
 
Rais naomba hii nafasi ya kazi ukurugenzi wa jiji la Mwanza tafadhali madame.

Nina elimu ya shahada
Miaka kumi na moja tangu nimalizie elimu ya shahada.
Mkurugenzi wa kampuni binafsi Kwa miaka 7. Ila tunadili na serikali.

Miaka mitano ajira kwenye private sector

Nimesoma Aza boy(walikuja wazee niwe nao nikachomoa) advance hapo
Airwing(wakajua wazee nikachomoa).
Mbuyuni primary school,mke wa kikwete na mama Magufuli ni walimu wangu(walikuja vijana nikachomoa)

Mtiifu

Naomba kazi ya ukurugenzi wa jiji la Mwanza.
Nina sifa za kuwa mtu mwema,elimu ya kutosha na na

Asante sana.
Mh Rais siitaji kuliibia Taifa naomba kazi
Bado sana, endelea na shughuli zako za udalali, yaani Hilo Jiji atoke dalali aingie dalali?
 
Rais naomba hii nafasi ya kazi Ukurugenzi wa Jiji la Mwanza, tafadhali Madame.

Nina elimu ya Shahada na ni miaka kumi na moja tangu nimalizie Elimu ya Shahada.
Mkurugenzi wa Kampuni Binafsi kwa miaka 7, ila tunadili na Serikali.

Miaka mitano ajira kwenye private sector

Nimesoma Azania (walikuja wazee niwe nao nikachomoa).
Advance hapo Airwing (walikajua wazee nikachomoa).
Mbuyuni primary school, mke wa Kikwete na Mama Magufuli ni walimu wangu (walikuja vijana nikachomoa).

Mtiifu

Naomba kazi ya Ukurugenzi wa Jiji la Mwanza. Nina sifa za kuwa mtu mwema, elimu ya kutosha na Asante sana.

Mh. Rais sihitaji kuliibia Taifa, naomba kazi.
Akuteue kwa Jina la ID fake. Weka jina halisi tukupambanie
 
Wewe kaa na vikaratasi vyako hivyo, mimi nitaipata kupitia ndugu zangu ambao ni viongozi ndani ya chama, huku tumekwisha tosha.
 
Rais naomba hii nafasi ya kazi Ukurugenzi wa Jiji la Mwanza, tafadhali Madame.

Nina elimu ya Shahada na ni miaka kumi na moja tangu nimalizie Elimu ya Shahada.
Mkurugenzi wa Kampuni Binafsi kwa miaka 7, ila tunadili na Serikali.

Miaka mitano ajira kwenye private sector

Nimesoma Azania (walikuja wazee niwe nao nikachomoa).
Advance hapo Airwing (walikajua wazee nikachomoa).
Mbuyuni primary school, mke wa Kikwete na Mama Magufuli ni walimu wangu (walikuja vijana nikachomoa).

Mtiifu

Naomba kazi ya Ukurugenzi wa Jiji la Mwanza. Nina sifa za kuwa mtu mwema, elimu ya kutosha na Asante sana.

Mh. Rais sihitaji kuliibia Taifa, naomba kazi.
Sasa kama System ilikuhitaji ukachomoa,unataka nini tena ndani ya system?
Wale waliokuhitaji ndiyo ambao wanafanya vetting,sasa utapenyea wapi!
 
Rais naomba hii nafasi ya kazi Ukurugenzi wa Jiji la Mwanza, tafadhali Madame.

Nina elimu ya Shahada na ni miaka kumi na moja tangu nimalizie Elimu ya Shahada.
Mkurugenzi wa Kampuni Binafsi kwa miaka 7, ila tunadili na Serikali.

Miaka mitano ajira kwenye private sector

Nimesoma Azania (walikuja wazee niwe nao nikachomoa).
Advance hapo Airwing (walikajua wazee nikachomoa).
Mbuyuni primary school, mke wa Kikwete na Mama Magufuli ni walimu wangu (walikuja vijana nikachomoa).

Mtiifu

Naomba kazi ya Ukurugenzi wa Jiji la Mwanza. Nina sifa za kuwa mtu mwema, elimu ya kutosha na Asante sana.

Mh. Rais sihitaji kuliibia Taifa, naomba kazi.
Hili nalo mkalitizame
 
Back
Top Bottom