Rais Museveni ataka taarifa za waliokamatwa wakati wa uchaguzi zitolewe

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,011
9,879

UG

Rais Museveni amevitaka vyombo vya usalama nchini Uganda kutoa taarifa za watu waliokamtwa tangu wakati wa kampeni za uchaguzi mwaka jana zifahamike ili familia zao ziweze kujua walipo na kuwafikia.

Tangazo hilo limetolewa na Rais Museveni baada ya familia nyingi nchini humo kulalamikia kupotea kwa watu wao.

Suala ambalo lilifikishwa bungeni wiki iliyopita na kutaka serikali kuelezea taifa, juu ya watu waliotekwa.

"Walinda usalama sasa wanatakiwa kutowa taarifa kwa wa umma ili kumaliza habari za kutekanyarwa wapate majibu ya kupotea kwa watu wao.Hilo ndilo swala kubwa nilitaka kuzungumuzia, kwani kumekuwa na habari kubwa katika vyombo vya habari za kupotea watu," Rais Museveni alieleza katika hotuba yake.

Rais aliongeza kwamba tangu mwaka jana kulikuwa na kundi la waharifu wakipanga kuvuruga amani wakati wa kampeni za uchaguzi na zoezi zima la uchaguzi wa Rais, ndipo alipoaagiza kuongeza usalama zaidi na kuweka kikosi cha makomandoo ambao waliwakamata vijana 59 na vikosi vya usalama vikawakamata wengine 65 kupambana na magaidi hao:

Pia katika hotuba hiyo Rais Museveni imewashambulia jamii za kimataifa kwa kuingilia masuala ya ndani ya taifa la Uganda, baada ya bunge la Umoja wa Ulaya wiki iliyopita kuweka vikwazo kwa baadhi ya maafisa wa serikali ya Uganda kwa tuhuma ya uvunjaji wa haki za binadamu wakati wa mchakato wa uchaguzi mkuu uliomalizika mwezi Januari.
 
Viongozi wa Africa wanafanana hasa Africa ya mashariki kuuwa,kuteka,kutesa laana ziwe juu yao
 
====
Asante sana Rais Museven kwa hotuba nzuri, hasa kwenye suala la ustawi wa jamii ( prosperity). Ni kweli lazima tujiulize kipi ni bora asili ama maslahi( identity or interest)!

Asante sana kwa mara nyingine.
 
View attachment 1702916

Rais Museveni amevitaka vyombo vya usalama nchini Uganda kutoa taarifa za watu waliokamtwa tangu wakati wa kampeni za uchaguzi mwaka jana zifahamike ili familia zao ziweze kujua walipo na kuwafikia.
Tangazo hilo limetolewa na Rais Museveni baada ya familia nyingi nchini humo kulalamikia kupotea kwa watu wao.

Suala ambalo lilifikishwa bungeni wiki iliyopita na kutaka serikali kuelezea taifa, juu ya watu waliotekwa.

"Walinda usalama sasa wanatakiwa kutowa taarifa kwa wa umma ili kumaliza habari za kutekanyarwa wapate majibu ya kupotea kwa watu wao.Hilo ndilo swala kubwa nilitaka kuzungumuzia, kwani kumekuwa na habari kubwa katika vyombo vya habari za kupotea watu," Rais Museveni alieleza katika hotuba yake.

Rais aliongeza kwamba tangu mwaka jana kulikuwa na kundi la waharifu wakipanga kuvuruga amani wakati wa kampeni za uchaguzi na zoezi zima la uchaguzi wa Rais, ndipo alipoaagiza kuongeza usalama zaidi na kuweka kikosi cha makomandoo ambao waliwakamata vijana 59 na vikosi vya usalama vikawakamata wengine 65 kupambana na magaidi hao:

Pia katika hotuba hiyo Rais Museveni imewashambulia jamii za kimataifa kwa kuingilia masuala ya ndani ya taifa la Uganda, baada ya bunge la Umoja wa Ulaya wiki iliyopita kuweka vikwazo kwa baadhi ya maafisa wa serikali ya Uganda kwa tuhuma ya uvunjaji wa haki za binadamu wakati wa mchakato wa uchaguzi mkuu uliomalizika mwezi Januari
Use VPN
 
Back
Top Bottom