Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 751
- 1,694
Ndio huyo huyo.Hv so huyu anaweza kuiteka nairobi ndani ya masaa 3 tu?
HahahahaNdio huyo huyo.
Katiba haiwezi kuheshimiwa AfrikaKATIBA! KATIBA! KATIBA! Urais wa kifalme!
Exactly.....nchi itatumbukia kwenye machafuko. It is a matter of timeVurugu linanyemelea Uganda
Putin yuko africa?Africa kuna ujinga Sana MTU mmoja anakuwa raisi miaka zaidi ya 30