Huna tofauti na Shetani. Unawezaje kufurahia damu za Watanganyika kumwagika hovyo, wakati wanadai haki za msingi katika taifa lao? Kumbuka Mungu hadhihakiwi. Chochote unachopanda ndicho utakuja kuvuna kwa wakati sahihi wa Mungu.Nyumbu wa Kenya waje waungane na Nyumbu wa Tz waendelee kujaribu kuleta machafuko , watajishindia zawadi ya kifo na offer ya maziko buree kabisa.
Bro..atleast keep quite!Ninafurahi kuona alichokizungumza Rais Museveni wa Uganda ndio yamekuwa maoni yangu tangu mwanzo juu ya kilichotokea Oktoba 29. 2025. Bahati mbaya kizazi cha Tanzania kwa sasa kimevurugwa na utulivu wa akili umetoweka kabisa, 99.9% ya vijana wanazungumza, wanajadili na kuamua kwa hisia na mihemko kuliko kutumia Akili. Wengi wana taarifa potofu au hawana taarifa kabisa. Kama taifa tunalo jukumu la kuwarudisha vijana na watanzania wote katika msingi wa ukweli, haki na umoja.
Naomba niwarejeshe nyuma, Ukiondoa mradi wa urutubishaji wa madini ya Uranium (Nyuklia) tuliosaini na Urusi wenye thamani ya Dola Bilioni 1.2 ambao umeiingiza katika Vita kali Urusi na Marekani na Ulaya, na kuzalisha chokocho zote zinazoendelea nchini kupitia udhaifu na ufedhuri wa ccm kushindwa kutawala nchi kwa kufuata katiba na sheria za nchi,
Pia Tanzania tuna vita ya muda mrefu zaidi dhidi ya Majirani zetu Kenya ambao walikosa dili la Mafuta ya Uganda ambalo walitaka lipite kwao katika babdari ya Mombasa na badala yake Tanzania tukalichukua dili hilo hadi Bandari ya Tanga. Hivi ni vita vya kiuchumi elewa hivyo ewe kijana na unayeshabikia harakati uchwara bila kutazama nyuma ya pazia.
Kwa Dili hili, Tanzania itapata dola 12 kwa ujazo wa pipa moja la mafuta kutoka serikali ya Uganda, itakapoanza kusafirisha mafuta hayo kwa bomba hadi Bandari ya Tanga. Dola 12 kwa ujazo wa pipa moja ni sawa na 20% ya mauzo ya mafuta kwa pipa katika soko la dunia.
Bomba hilo linatarajiwa kusafirisha ujazo wa mapipa 140,000 kwa siku. Hii inamaana kuwa kwa siku mapipa 140,000 x dola 12 sawa na Tanzania itapata dola 1,680,000 kwa siku. Kwa mwezi chukua $ 1,680,000 x 30 = $ 50,400,000. Kwa mwaka $ 50,400,000 x 12 = $ 604,800,000.
Dola 604,800,000 ni sawa na Shilingi Trilioni 1.5 za kitanzania kwa mwaka. Kwahiyo Tanzania itaingiza Trilioni 1.5 kila mwaka kutokana na bomba la mafuta. Yani mapato yatokanayo na bomba la mafuta yatazidi mapato yatokanayo na sekta zote za uchumi nchini isipokuwa mapato ya sekta ya utalii. Trilioni 1.5 ni sawa na asilimia 5.1% ya budget yetu kwa mwaka.
Kazi nzuri ya Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) ndio ilizaa mradi huu na kuzuia usiende bandari ya Mombasa. Hongera sana TISS kwa kufanikisha mpango huu wenye faida kubwa kiuchumi. Lakini yote kumi, Pongezi za dhati ziende kwa Jasusi mkongwe aliyekuwa Waziri wa Mashauri ya Kigeni Tanzania Mnyaluko Hayati Augustino Mahiga. Kwenye kitabu cha "Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi" nilishauri namna Idara ya Usama wa Taifa (TISS) na idara ya Usalama na Utambuzi Jeshini (MI) zinavyoweza kutumika kwa maslahi ya kiuchumi kwa taifa badala ya kutumika katika miundo ya kizamani ya kijamaa (kisiasa na kuwatumikia wanasiasa).
Miezi ya nyuma zilifanyika juhudi kubwa za maadui kuukwamisha mradi kwa kwenda kwenye kampuni ya Total tuliyoingia nayo mikataba ya kujenga mradi huu na kuitaka Kampuni hiyo iache kufanya kazi hiyo kwakigezo cha uharibifu wa mazingira. Walifika mbali hadi kwenda kushitaki kwenye Shirika la Mazingira Duniani UNEP na UNESCO na kisha kwenda kwa Rais wa Ufaransa huku wakiandamana ili mradi ufe. Majirani wa Kenya Waliwatumia wanaharakati wa ndani chini ya Maria Sarungi kueneza propanda na kila uzushi kujaribu kuzuia mradi huu. vikundi vya mitandaoni vikaandika makala nyingi sana twita na instagram kupotosha juu ya mradi huo. Lakini waafeli.
Watu haohao hatujawahi kuwasikia wakiandamana kupinga ujenzi wa mradi mkubwa wa mabomba marefu zaidi kutoka Urusi hadi barani Ulaya ya Nord Stream 1 & 2. Wala hawajaandamana kupinga ujenzi wa bomba linginge refu zaidi linalojengwa sasahi kutoka Urusi hadi Japan. Lakini kwa Tanzania tunaambiwa tunaharibu mazingira (kumbaaaafu zao!) mradi sasa umefika 84%.
Kama tuliweza kupambana kwenye ujenzi wa mradi wa bwawa la Umeme la Nyerere kule Rufiji ambao hawahawa Wanaharakati walifanya kila njia kukwamisha, hatutashindwa kwa mradi huu. Tujisahihishe tulipojikwaa, tusimame wima tena, Tupambane kuulinda mradi huu usituponyoke kwa vita vya maadui zetu Afrika na Ulaya. Matunda ya mageuzi yanaanza kuonekana, Tusiogope, wala tusiingizwe uoga akilini na mioyoni mwetu.
Na Yericko Nyerere
Haki ya msingi inadaiwa kwa kuiba mali za watu na kuharibu? Dawa yenu ni kuuwawaHuna tofauti na Shetani. Unawezaje kufurahia damu za Watanganyika kumwagika hovyo, wakati wanadai haki za msingi katika taifa lao? Kumbuka Mungu hadhihakiwi. Chochote unachopanda ndicho utakuja kuvuna kwa wakati sahihi wa Mungu.
Wizi wa kura ni mbaya kuliko wizi wa mbuzi!Haki ya msingi inadaiwa kwa kuiba mali za watu na kuharibu? Dawa yenu ni kuuwawa
Ccm ni wezi ndiyo lakini tunadeal na mwizi ambae tunamuweza wewe na nyumbu wenzako tunawamudu tutawaua sana safari hiiWizi wa kura ni mbaya kuliko wizi wa mbuzi!
Unalazimisha penzi kwa lazma!
Anyways, CCM is deaaaad!
Kabisa mkuu. Hata nyumba ikisosewa kujenga na bado ukawa vizuri kiuchumi ni bora kuibomoa na kuanza upya kujenga kuliko kuishi kwenye nyumba usiyoipenda na inayokupa stress. Tuanze upya tu, Tanzania ni tajiriUmeandika takataka kabisa,waambie waliokutuma kuwa watanganyika wako kwenye point of no return,
Kuna faida Gani ya kuwa na miradi ya matrilion huku watanganyika wakiuawa kama kuku.
Kuna Wakati ambao ni lazima mbomoe Kila kitu ili Kuweka mambo sawa ,
So unakiri wew ni muuaji na utaua tena..Ccm ni wezi ndiyo lakini tunadeal na mwizi ambae tunamuweza wewe na nyumbu wenzako tunawamudu tutawaua sana safari hii
Cha usenge, ongelea kwanza kuhusu kuiba kuraHaki ya msingi inadaiwa kwa kuiba mali za watu na kuharibu? Dawa yenu ni kuuwawa
Ninafurahi kuona alichokizungumza Rais Museveni wa Uganda ndio yamekuwa maoni yangu tangu mwanzo juu ya kilichotokea Oktoba 29. 2025. Bahati mbaya kizazi cha Tanzania kwa sasa kimevurugwa na utulivu wa akili umetoweka kabisa, 99.9% ya vijana wanazungumza, wanajadili na kuamua kwa hisia na mihemko kuliko kutumia Akili. Wengi wana taarifa potofu au hawana taarifa kabisa. Kama taifa tunalo jukumu la kuwarudisha vijana na watanzania wote katika msingi wa ukweli, haki na umoja.
Naomba niwarejeshe nyuma, Ukiondoa mradi wa urutubishaji wa madini ya Uranium (Nyuklia) tuliosaini na Urusi wenye thamani ya Dola Bilioni 1.2 ambao umeiingiza katika Vita kali Urusi na Marekani na Ulaya, na kuzalisha chokocho zote zinazoendelea nchini kupitia udhaifu na ufedhuri wa ccm kushindwa kutawala nchi kwa kufuata katiba na sheria za nchi,
Pia Tanzania tuna vita ya muda mrefu zaidi dhidi ya Majirani zetu Kenya ambao walikosa dili la Mafuta ya Uganda ambalo walitaka lipite kwao katika babdari ya Mombasa na badala yake Tanzania tukalichukua dili hilo hadi Bandari ya Tanga. Hivi ni vita vya kiuchumi elewa hivyo ewe kijana na unayeshabikia harakati uchwara bila kutazama nyuma ya pazia.
Kwa Dili hili, Tanzania itapata dola 12 kwa ujazo wa pipa moja la mafuta kutoka serikali ya Uganda, itakapoanza kusafirisha mafuta hayo kwa bomba hadi Bandari ya Tanga. Dola 12 kwa ujazo wa pipa moja ni sawa na 20% ya mauzo ya mafuta kwa pipa katika soko la dunia.
Bomba hilo linatarajiwa kusafirisha ujazo wa mapipa 140,000 kwa siku. Hii inamaana kuwa kwa siku mapipa 140,000 x dola 12 sawa na Tanzania itapata dola 1,680,000 kwa siku. Kwa mwezi chukua $ 1,680,000 x 30 = $ 50,400,000. Kwa mwaka $ 50,400,000 x 12 = $ 604,800,000.
Dola 604,800,000 ni sawa na Shilingi Trilioni 1.5 za kitanzania kwa mwaka. Kwahiyo Tanzania itaingiza Trilioni 1.5 kila mwaka kutokana na bomba la mafuta. Yani mapato yatokanayo na bomba la mafuta yatazidi mapato yatokanayo na sekta zote za uchumi nchini isipokuwa mapato ya sekta ya utalii. Trilioni 1.5 ni sawa na asilimia 5.1% ya budget yetu kwa mwaka.
Kazi nzuri ya Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) ndio ilizaa mradi huu na kuzuia usiende bandari ya Mombasa. Hongera sana TISS kwa kufanikisha mpango huu wenye faida kubwa kiuchumi. Lakini yote kumi, Pongezi za dhati ziende kwa Jasusi mkongwe aliyekuwa Waziri wa Mashauri ya Kigeni Tanzania Mnyaluko Hayati Augustino Mahiga. Kwenye kitabu cha "Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi" nilishauri namna Idara ya Usama wa Taifa (TISS) na idara ya Usalama na Utambuzi Jeshini (MI) zinavyoweza kutumika kwa maslahi ya kiuchumi kwa taifa badala ya kutumika katika miundo ya kizamani ya kijamaa (kisiasa na kuwatumikia wanasiasa).
Miezi ya nyuma zilifanyika juhudi kubwa za maadui kuukwamisha mradi kwa kwenda kwenye kampuni ya Total tuliyoingia nayo mikataba ya kujenga mradi huu na kuitaka Kampuni hiyo iache kufanya kazi hiyo kwakigezo cha uharibifu wa mazingira. Walifika mbali hadi kwenda kushitaki kwenye Shirika la Mazingira Duniani UNEP na UNESCO na kisha kwenda kwa Rais wa Ufaransa huku wakiandamana ili mradi ufe. Majirani wa Kenya Waliwatumia wanaharakati wa ndani chini ya Maria Sarungi kueneza propanda na kila uzushi kujaribu kuzuia mradi huu. vikundi vya mitandaoni vikaandika makala nyingi sana twita na instagram kupotosha juu ya mradi huo. Lakini waafeli.
Watu haohao hatujawahi kuwasikia wakiandamana kupinga ujenzi wa mradi mkubwa wa mabomba marefu zaidi kutoka Urusi hadi barani Ulaya ya Nord Stream 1 & 2. Wala hawajaandamana kupinga ujenzi wa bomba linginge refu zaidi linalojengwa sasahi kutoka Urusi hadi Japan. Lakini kwa Tanzania tunaambiwa tunaharibu mazingira (kumbaaaafu zao!) mradi sasa umefika 84%.
Kama tuliweza kupambana kwenye ujenzi wa mradi wa bwawa la Umeme la Nyerere kule Rufiji ambao hawahawa Wanaharakati walifanya kila njia kukwamisha, hatutashindwa kwa mradi huu. Tujisahihishe tulipojikwaa, tusimame wima tena, Tupambane kuulinda mradi huu usituponyoke kwa vita vya maadui zetu Afrika na Ulaya. Matunda ya mageuzi yanaanza kuonekana, Tusiogope, wala tusiingizwe uoga akilini na mioyoni mwetu.
Na Yericko Nyerere
Nilikuwa nakuamini sana, Lakin kwasasa nyuz zako zote sitazikubali tena!! Kumbe nawew umooNinafurahi kuona alichokizungumza Rais Museveni wa Uganda ndio yamekuwa maoni yangu tangu mwanzo juu ya kilichotokea Oktoba 29. 2025. Bahati mbaya kizazi cha Tanzania kwa sasa kimevurugwa na utulivu wa akili umetoweka kabisa, 99.9% ya vijana wanazungumza, wanajadili na kuamua kwa hisia na mihemko kuliko kutumia Akili. Wengi wana taarifa potofu au hawana taarifa kabisa. Kama taifa tunalo jukumu la kuwarudisha vijana na watanzania wote katika msingi wa ukweli, haki na umoja.

Najiuliza akijamba humo inakuwaje maama marinda hana ila kuna watu wanapata shida nyiealafu we si ndo yule jamaa ambae lissu alikukimbiza kwenye kile kisanduku pale mahakamani jana?
Naomba nikusahihishe, Kwanza kiasi cha mafuta yatakayoletwa hadi Chongoleani ni mapipa 260,000 kwa siku, na siyo 140,000 kama ulivyosema. Na faida ambayo tutaipata ni USD 1.1 Bil kwa mwaka, pia huu mradi haukuhusishwa na TISS bali ni nguvu ya Magufuli na utashi wa Museveni ndiyo ulisababisha hayo, chuki ya Museveni kwa KENYA ndiyo factor kubwa. TISS hawakuwa na uwezo wowote wa kufanya lolote. Kimsingi ni utashi wa Museveni ndiyo factor kubwa.Ninafurahi kuona alichokizungumza Rais Museveni wa Uganda ndio yamekuwa maoni yangu tangu mwanzo juu ya kilichotokea Oktoba 29. 2025. Bahati mbaya kizazi cha Tanzania kwa sasa kimevurugwa na utulivu wa akili umetoweka kabisa, 99.9% ya vijana wanazungumza, wanajadili na kuamua kwa hisia na mihemko kuliko kutumia Akili. Wengi wana taarifa potofu au hawana taarifa kabisa. Kama taifa tunalo jukumu la kuwarudisha vijana na watanzania wote katika msingi wa ukweli, haki na umoja.
Naomba niwarejeshe nyuma, Ukiondoa mradi wa urutubishaji wa madini ya Uranium (Nyuklia) tuliosaini na Urusi wenye thamani ya Dola Bilioni 1.2 ambao umeiingiza katika Vita kali Urusi na Marekani na Ulaya, na kuzalisha chokocho zote zinazoendelea nchini kupitia udhaifu na ufedhuri wa ccm kushindwa kutawala nchi kwa kufuata katiba na sheria za nchi,
Pia Tanzania tuna vita ya muda mrefu zaidi dhidi ya Majirani zetu Kenya ambao walikosa dili la Mafuta ya Uganda ambalo walitaka lipite kwao katika babdari ya Mombasa na badala yake Tanzania tukalichukua dili hilo hadi Bandari ya Tanga. Hivi ni vita vya kiuchumi elewa hivyo ewe kijana na unayeshabikia harakati uchwara bila kutazama nyuma ya pazia.
Kwa Dili hili, Tanzania itapata dola 12 kwa ujazo wa pipa moja la mafuta kutoka serikali ya Uganda, itakapoanza kusafirisha mafuta hayo kwa bomba hadi Bandari ya Tanga. Dola 12 kwa ujazo wa pipa moja ni sawa na 20% ya mauzo ya mafuta kwa pipa katika soko la dunia.
Bomba hilo linatarajiwa kusafirisha ujazo wa mapipa 140,000 kwa siku. Hii inamaana kuwa kwa siku mapipa 140,000 x dola 12 sawa na Tanzania itapata dola 1,680,000 kwa siku. Kwa mwezi chukua $ 1,680,000 x 30 = $ 50,400,000. Kwa mwaka $ 50,400,000 x 12 = $ 604,800,000.
Dola 604,800,000 ni sawa na Shilingi Trilioni 1.5 za kitanzania kwa mwaka. Kwahiyo Tanzania itaingiza Trilioni 1.5 kila mwaka kutokana na bomba la mafuta. Yani mapato yatokanayo na bomba la mafuta yatazidi mapato yatokanayo na sekta zote za uchumi nchini isipokuwa mapato ya sekta ya utalii. Trilioni 1.5 ni sawa na asilimia 5.1% ya budget yetu kwa mwaka.
Kazi nzuri ya Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) ndio ilizaa mradi huu na kuzuia usiende bandari ya Mombasa. Hongera sana TISS kwa kufanikisha mpango huu wenye faida kubwa kiuchumi. Lakini yote kumi, Pongezi za dhati ziende kwa Jasusi mkongwe aliyekuwa Waziri wa Mashauri ya Kigeni Tanzania Mnyaluko Hayati Augustino Mahiga. Kwenye kitabu cha "Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi" nilishauri namna Idara ya Usama wa Taifa (TISS) na idara ya Usalama na Utambuzi Jeshini (MI) zinavyoweza kutumika kwa maslahi ya kiuchumi kwa taifa badala ya kutumika katika miundo ya kizamani ya kijamaa (kisiasa na kuwatumikia wanasiasa).
Miezi ya nyuma zilifanyika juhudi kubwa za maadui kuukwamisha mradi kwa kwenda kwenye kampuni ya Total tuliyoingia nayo mikataba ya kujenga mradi huu na kuitaka Kampuni hiyo iache kufanya kazi hiyo kwakigezo cha uharibifu wa mazingira. Walifika mbali hadi kwenda kushitaki kwenye Shirika la Mazingira Duniani UNEP na UNESCO na kisha kwenda kwa Rais wa Ufaransa huku wakiandamana ili mradi ufe. Majirani wa Kenya Waliwatumia wanaharakati wa ndani chini ya Maria Sarungi kueneza propanda na kila uzushi kujaribu kuzuia mradi huu. vikundi vya mitandaoni vikaandika makala nyingi sana twita na instagram kupotosha juu ya mradi huo. Lakini waafeli.
Watu haohao hatujawahi kuwasikia wakiandamana kupinga ujenzi wa mradi mkubwa wa mabomba marefu zaidi kutoka Urusi hadi barani Ulaya ya Nord Stream 1 & 2. Wala hawajaandamana kupinga ujenzi wa bomba linginge refu zaidi linalojengwa sasahi kutoka Urusi hadi Japan. Lakini kwa Tanzania tunaambiwa tunaharibu mazingira (kumbaaaafu zao!) mradi sasa umefika 84%.
Kama tuliweza kupambana kwenye ujenzi wa mradi wa bwawa la Umeme la Nyerere kule Rufiji ambao hawahawa Wanaharakati walifanya kila njia kukwamisha, hatutashindwa kwa mradi huu. Tujisahihishe tulipojikwaa, tusimame wima tena, Tupambane kuulinda mradi huu usituponyoke kwa vita vya maadui zetu Afrika na Ulaya. Matunda ya mageuzi yanaanza kuonekana, Tusiogope, wala tusiingizwe uoga akilini na mioyoni mwetu.
Na Yericko Nyerere
Kama utu huna basi tumia hata akili ndogo uliyobaki nayo. Hivi mwanao akikukosea unaweza kumwadhibu kwa kumuua? Hakuna adhabu mbadala ya kumwadabisha? Wahusika walikuwa na uwezo wa kuwaadhibu waliofanya uhalifu wa kuharibu mali za umma na za watu binafsi bila kulazimika kutumia risasi za moto. Zipo risasi za plastiki, yapo mabomu ya machozi, yapo maji ya pilipili pia, vipo virungu nk. Kwanini hivyo havikutumika? Wangeweza kuwakamata pia na kuwafikisha mahakamani. Kumbuka pia kuwa sio wote waliouawa walikuwa kwenye maandamano au walihusika kuharibu mali. Wengine risasi zimewafuata wakiwa majumbani kwao.Haki ya msingi inadaiwa kwa kuiba mali za watu na kuharibu? Dawa yenu ni kuuwawa