Rais Museveni ameona nilichoona, katika hili niko pamoja nae

Ninafurahi kuona alichokizungumza Rais Museveni wa Uganda ndio yamekuwa maoni yangu tangu mwanzo juu ya kilichotokea Oktoba 29. 2025. Bahati mbaya kizazi cha Tanzania kwa sasa kimevurugwa na utulivu wa akili umetoweka kabisa, 99.9% ya vijana wanazungumza, wanajadili na kuamua kwa hisia na mihemko kuliko kutumia Akili. Wengi wana taarifa potofu au hawana taarifa kabisa. Kama taifa tunalo jukumu la kuwarudisha vijana na watanzania wote katika msingi wa ukweli, haki na umoja.

Naomba niwarejeshe nyuma, Ukiondoa mradi wa urutubishaji wa madini ya Uranium (Nyuklia) tuliosaini na Urusi wenye thamani ya Dola Bilioni 1.2 ambao umeiingiza katika Vita kali Urusi na Marekani na Ulaya, na kuzalisha chokocho zote zinazoendelea nchini kupitia udhaifu na ufedhuri wa ccm kushindwa kutawala nchi kwa kufuata katiba na sheria za nchi,

Pia Tanzania tuna vita ya muda mrefu zaidi dhidi ya Majirani zetu Kenya ambao walikosa dili la Mafuta ya Uganda ambalo walitaka lipite kwao katika babdari ya Mombasa na badala yake Tanzania tukalichukua dili hilo hadi Bandari ya Tanga. Hivi ni vita vya kiuchumi elewa hivyo ewe kijana na unayeshabikia harakati uchwara bila kutazama nyuma ya pazia.

Kwa Dili hili, Tanzania itapata dola 12 kwa ujazo wa pipa moja la mafuta kutoka serikali ya Uganda, itakapoanza kusafirisha mafuta hayo kwa bomba hadi Bandari ya Tanga. Dola 12 kwa ujazo wa pipa moja ni sawa na 20% ya mauzo ya mafuta kwa pipa katika soko la dunia.

Bomba hilo linatarajiwa kusafirisha ujazo wa mapipa 140,000 kwa siku. Hii inamaana kuwa kwa siku mapipa 140,000 x dola 12 sawa na Tanzania itapata dola 1,680,000 kwa siku. Kwa mwezi chukua $ 1,680,000 x 30 = $ 50,400,000. Kwa mwaka $ 50,400,000 x 12 = $ 604,800,000.

Dola 604,800,000 ni sawa na Shilingi Trilioni 1.5 za kitanzania kwa mwaka. Kwahiyo Tanzania itaingiza Trilioni 1.5 kila mwaka kutokana na bomba la mafuta. Yani mapato yatokanayo na bomba la mafuta yatazidi mapato yatokanayo na sekta zote za uchumi nchini isipokuwa mapato ya sekta ya utalii. Trilioni 1.5 ni sawa na asilimia 5.1% ya budget yetu kwa mwaka.

Kazi nzuri ya Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) ndio ilizaa mradi huu na kuzuia usiende bandari ya Mombasa. Hongera sana TISS kwa kufanikisha mpango huu wenye faida kubwa kiuchumi. Lakini yote kumi, Pongezi za dhati ziende kwa Jasusi mkongwe aliyekuwa Waziri wa Mashauri ya Kigeni Tanzania Mnyaluko Hayati Augustino Mahiga. Kwenye kitabu cha "Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi" nilishauri namna Idara ya Usama wa Taifa (TISS) na idara ya Usalama na Utambuzi Jeshini (MI) zinavyoweza kutumika kwa maslahi ya kiuchumi kwa taifa badala ya kutumika katika miundo ya kizamani ya kijamaa (kisiasa na kuwatumikia wanasiasa).

Miezi ya nyuma zilifanyika juhudi kubwa za maadui kuukwamisha mradi kwa kwenda kwenye kampuni ya Total tuliyoingia nayo mikataba ya kujenga mradi huu na kuitaka Kampuni hiyo iache kufanya kazi hiyo kwakigezo cha uharibifu wa mazingira. Walifika mbali hadi kwenda kushitaki kwenye Shirika la Mazingira Duniani UNEP na UNESCO na kisha kwenda kwa Rais wa Ufaransa huku wakiandamana ili mradi ufe. Majirani wa Kenya Waliwatumia wanaharakati wa ndani chini ya Maria Sarungi kueneza propanda na kila uzushi kujaribu kuzuia mradi huu. vikundi vya mitandaoni vikaandika makala nyingi sana twita na instagram kupotosha juu ya mradi huo. Lakini waafeli.

Watu haohao hatujawahi kuwasikia wakiandamana kupinga ujenzi wa mradi mkubwa wa mabomba marefu zaidi kutoka Urusi hadi barani Ulaya ya Nord Stream 1 & 2. Wala hawajaandamana kupinga ujenzi wa bomba linginge refu zaidi linalojengwa sasahi kutoka Urusi hadi Japan. Lakini kwa Tanzania tunaambiwa tunaharibu mazingira (kumbaaaafu zao!) mradi sasa umefika 84%.

Kama tuliweza kupambana kwenye ujenzi wa mradi wa bwawa la Umeme la Nyerere kule Rufiji ambao hawahawa Wanaharakati walifanya kila njia kukwamisha, hatutashindwa kwa mradi huu. Tujisahihishe tulipojikwaa, tusimame wima tena, Tupambane kuulinda mradi huu usituponyoke kwa vita vya maadui zetu Afrika na Ulaya. Matunda ya mageuzi yanaanza kuonekana, Tusiogope, wala tusiingizwe uoga akilini na mioyoni mwetu.

Na Yericko Nyerere

Je, ulikuwa hai pia tilipoambiwa uzalishaji wa Gesi utaondoa kabisa umasikini na kwamba kila nyumba itaunganishiwa gesi bule?

Hivi unajua mpaka leo Gesi haieleweki kama iko Tanzania au nchi jirani?

Maana bei ya Gesi ni kama kukomoana? Vipi kuhusu kuungiwa gesi majumbani, keako ulishawekewa?

Kama hapana, basi ujuwe kabisa hayo ndiyo yanayochosha akili za walengwa na kuona kila kitu wanachoambiwa Gen-Z ni sawa na hadithi tu
 
Umetoa argument nzuri lakini shida ni moja. Unadeflect from the point

Point yako nzima inabase kwamba watu wameandamana kwasababu mwanaharakati wa nchi nyingine kamwambia kuandamana

Lakini ngojea nikukumbushe. Watu wameandamana kwasababu ya utekaji na mauwaji ya watu wanaoipinga serekali na pia kutokuwa na uchaguzi wa haki kwa kufunga wapinzani

Huwezi kusema kwamba machafuko yamesababishwa na wanaharakati wa nchi nyingine lakin serekali yako imewakasirisha watanzania wenyewe kwakufanya maamuzi ya kijinga

Alafu pia kama ufisadi umezidi. Hayo madeal tunayofanya hayana maana kwasababu hainufaishi nchi. Inanufaisha wenyewe . Pia Hiyo deal ya pipe na standard gauge si ilifanywa na magu? Mama Samia amefanya nini?
 
Ninafurahi kuona alichokizungumza Rais Museveni wa Uganda ndio yamekuwa maoni yangu tangu mwanzo juu ya kilichotokea Oktoba 29. 2025. Bahati mbaya kizazi cha Tanzania kwa sasa kimevurugwa na utulivu wa akili umetoweka kabisa, 99.9% ya vijana wanazungumza, wanajadili na kuamua kwa hisia na mihemko kuliko kutumia Akili. Wengi wana taarifa potofu au hawana taarifa kabisa. Kama taifa tunalo jukumu la kuwarudisha vijana na watanzania wote katika msingi wa ukweli, haki na umoja.

Naomba niwarejeshe nyuma, Ukiondoa mradi wa urutubishaji wa madini ya Uranium (Nyuklia) tuliosaini na Urusi wenye thamani ya Dola Bilioni 1.2 ambao umeiingiza katika Vita kali Urusi na Marekani na Ulaya, na kuzalisha chokocho zote zinazoendelea nchini kupitia udhaifu na ufedhuri wa ccm kushindwa kutawala nchi kwa kufuata katiba na sheria za nchi,

Pia Tanzania tuna vita ya muda mrefu zaidi dhidi ya Majirani zetu Kenya ambao walikosa dili la Mafuta ya Uganda ambalo walitaka lipite kwao katika babdari ya Mombasa na badala yake Tanzania tukalichukua dili hilo hadi Bandari ya Tanga. Hivi ni vita vya kiuchumi elewa hivyo ewe kijana na unayeshabikia harakati uchwara bila kutazama nyuma ya pazia.

Kwa Dili hili, Tanzania itapata dola 12 kwa ujazo wa pipa moja la mafuta kutoka serikali ya Uganda, itakapoanza kusafirisha mafuta hayo kwa bomba hadi Bandari ya Tanga. Dola 12 kwa ujazo wa pipa moja ni sawa na 20% ya mauzo ya mafuta kwa pipa katika soko la dunia.

Bomba hilo linatarajiwa kusafirisha ujazo wa mapipa 140,000 kwa siku. Hii inamaana kuwa kwa siku mapipa 140,000 x dola 12 sawa na Tanzania itapata dola 1,680,000 kwa siku. Kwa mwezi chukua $ 1,680,000 x 30 = $ 50,400,000. Kwa mwaka $ 50,400,000 x 12 = $ 604,800,000.

Dola 604,800,000 ni sawa na Shilingi Trilioni 1.5 za kitanzania kwa mwaka. Kwahiyo Tanzania itaingiza Trilioni 1.5 kila mwaka kutokana na bomba la mafuta. Yani mapato yatokanayo na bomba la mafuta yatazidi mapato yatokanayo na sekta zote za uchumi nchini isipokuwa mapato ya sekta ya utalii. Trilioni 1.5 ni sawa na asilimia 5.1% ya budget yetu kwa mwaka.

Kazi nzuri ya Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) ndio ilizaa mradi huu na kuzuia usiende bandari ya Mombasa. Hongera sana TISS kwa kufanikisha mpango huu wenye faida kubwa kiuchumi. Lakini yote kumi, Pongezi za dhati ziende kwa Jasusi mkongwe aliyekuwa Waziri wa Mashauri ya Kigeni Tanzania Mnyaluko Hayati Augustino Mahiga. Kwenye kitabu cha "Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi" nilishauri namna Idara ya Usama wa Taifa (TISS) na idara ya Usalama na Utambuzi Jeshini (MI) zinavyoweza kutumika kwa maslahi ya kiuchumi kwa taifa badala ya kutumika katika miundo ya kizamani ya kijamaa (kisiasa na kuwatumikia wanasiasa).

Miezi ya nyuma zilifanyika juhudi kubwa za maadui kuukwamisha mradi kwa kwenda kwenye kampuni ya Total tuliyoingia nayo mikataba ya kujenga mradi huu na kuitaka Kampuni hiyo iache kufanya kazi hiyo kwakigezo cha uharibifu wa mazingira. Walifika mbali hadi kwenda kushitaki kwenye Shirika la Mazingira Duniani UNEP na UNESCO na kisha kwenda kwa Rais wa Ufaransa huku wakiandamana ili mradi ufe. Majirani wa Kenya Waliwatumia wanaharakati wa ndani chini ya Maria Sarungi kueneza propanda na kila uzushi kujaribu kuzuia mradi huu. vikundi vya mitandaoni vikaandika makala nyingi sana twita na instagram kupotosha juu ya mradi huo. Lakini waafeli.

Watu haohao hatujawahi kuwasikia wakiandamana kupinga ujenzi wa mradi mkubwa wa mabomba marefu zaidi kutoka Urusi hadi barani Ulaya ya Nord Stream 1 & 2. Wala hawajaandamana kupinga ujenzi wa bomba linginge refu zaidi linalojengwa sasahi kutoka Urusi hadi Japan. Lakini kwa Tanzania tunaambiwa tunaharibu mazingira (kumbaaaafu zao!) mradi sasa umefika 84%.

Kama tuliweza kupambana kwenye ujenzi wa mradi wa bwawa la Umeme la Nyerere kule Rufiji ambao hawahawa Wanaharakati walifanya kila njia kukwamisha, hatutashindwa kwa mradi huu. Tujisahihishe tulipojikwaa, tusimame wima tena, Tupambane kuulinda mradi huu usituponyoke kwa vita vya maadui zetu Afrika na Ulaya. Matunda ya mageuzi yanaanza kuonekana, Tusiogope, wala tusiingizwe uoga akilini na mioyoni mwetu.

Na Yericko Nyerere

Tanzania ikipata ndio wananchi na hao vijana wamepata? Au wamepata walioko kwenye mtandao?
 
Kwa akili zako utaitwa kwenye dili la maviziano? Nani kwanza atakusikiliza we punguani??

Wewe mpuuzi ndo ulisema Mbowe atakalia kiti mpk akizeeka mumsukume kwenye wheel chair?
 
Rasmi hakuna ambaye anaweza kununua kitabu. Au vitabu vyako..
Wewe kwa sasa unatafuta uteuzi ndio maana umejaa mapambiq ya kusifu na kuabusu watawala

FRom critical thinker to zombie
 
Ninafurahi kuona alichokizungumza Rais Museveni wa Uganda ndio yamekuwa maoni yangu tangu mwanzo juu ya kilichotokea Oktoba 29. 2025. Bahati mbaya kizazi cha Tanzania kwa sasa kimevurugwa na utulivu wa akili umetoweka kabisa, 99.9% ya vijana wanazungumza, wanajadili na kuamua kwa hisia na mihemko kuliko kutumia Akili. Wengi wana taarifa potofu au hawana taarifa kabisa. Kama taifa tunalo jukumu la kuwarudisha vijana na watanzania wote katika msingi wa ukweli, haki na umoja.

Naomba niwarejeshe nyuma, Ukiondoa mradi wa urutubishaji wa madini ya Uranium (Nyuklia) tuliosaini na Urusi wenye thamani ya Dola Bilioni 1.2 ambao umeiingiza katika Vita kali Urusi na Marekani na Ulaya, na kuzalisha chokocho zote zinazoendelea nchini kupitia udhaifu na ufedhuri wa ccm kushindwa kutawala nchi kwa kufuata katiba na sheria za nchi,

Pia Tanzania tuna vita ya muda mrefu zaidi dhidi ya Majirani zetu Kenya ambao walikosa dili la Mafuta ya Uganda ambalo walitaka lipite kwao katika babdari ya Mombasa na badala yake Tanzania tukalichukua dili hilo hadi Bandari ya Tanga. Hivi ni vita vya kiuchumi elewa hivyo ewe kijana na unayeshabikia harakati uchwara bila kutazama nyuma ya pazia.

Kwa Dili hili, Tanzania itapata dola 12 kwa ujazo wa pipa moja la mafuta kutoka serikali ya Uganda, itakapoanza kusafirisha mafuta hayo kwa bomba hadi Bandari ya Tanga. Dola 12 kwa ujazo wa pipa moja ni sawa na 20% ya mauzo ya mafuta kwa pipa katika soko la dunia.

Bomba hilo linatarajiwa kusafirisha ujazo wa mapipa 140,000 kwa siku. Hii inamaana kuwa kwa siku mapipa 140,000 x dola 12 sawa na Tanzania itapata dola 1,680,000 kwa siku. Kwa mwezi chukua $ 1,680,000 x 30 = $ 50,400,000. Kwa mwaka $ 50,400,000 x 12 = $ 604,800,000.

Dola 604,800,000 ni sawa na Shilingi Trilioni 1.5 za kitanzania kwa mwaka. Kwahiyo Tanzania itaingiza Trilioni 1.5 kila mwaka kutokana na bomba la mafuta. Yani mapato yatokanayo na bomba la mafuta yatazidi mapato yatokanayo na sekta zote za uchumi nchini isipokuwa mapato ya sekta ya utalii. Trilioni 1.5 ni sawa na asilimia 5.1% ya budget yetu kwa mwaka.

Kazi nzuri ya Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) ndio ilizaa mradi huu na kuzuia usiende bandari ya Mombasa. Hongera sana TISS kwa kufanikisha mpango huu wenye faida kubwa kiuchumi. Lakini yote kumi, Pongezi za dhati ziende kwa Jasusi mkongwe aliyekuwa Waziri wa Mashauri ya Kigeni Tanzania Mnyaluko Hayati Augustino Mahiga. Kwenye kitabu cha "Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi" nilishauri namna Idara ya Usama wa Taifa (TISS) na idara ya Usalama na Utambuzi Jeshini (MI) zinavyoweza kutumika kwa maslahi ya kiuchumi kwa taifa badala ya kutumika katika miundo ya kizamani ya kijamaa (kisiasa na kuwatumikia wanasiasa).

Miezi ya nyuma zilifanyika juhudi kubwa za maadui kuukwamisha mradi kwa kwenda kwenye kampuni ya Total tuliyoingia nayo mikataba ya kujenga mradi huu na kuitaka Kampuni hiyo iache kufanya kazi hiyo kwakigezo cha uharibifu wa mazingira. Walifika mbali hadi kwenda kushitaki kwenye Shirika la Mazingira Duniani UNEP na UNESCO na kisha kwenda kwa Rais wa Ufaransa huku wakiandamana ili mradi ufe. Majirani wa Kenya Waliwatumia wanaharakati wa ndani chini ya Maria Sarungi kueneza propanda na kila uzushi kujaribu kuzuia mradi huu. vikundi vya mitandaoni vikaandika makala nyingi sana twita na instagram kupotosha juu ya mradi huo. Lakini waafeli.

Watu haohao hatujawahi kuwasikia wakiandamana kupinga ujenzi wa mradi mkubwa wa mabomba marefu zaidi kutoka Urusi hadi barani Ulaya ya Nord Stream 1 & 2. Wala hawajaandamana kupinga ujenzi wa bomba linginge refu zaidi linalojengwa sasahi kutoka Urusi hadi Japan. Lakini kwa Tanzania tunaambiwa tunaharibu mazingira (kumbaaaafu zao!) mradi sasa umefika 84%.

Kama tuliweza kupambana kwenye ujenzi wa mradi wa bwawa la Umeme la Nyerere kule Rufiji ambao hawahawa Wanaharakati walifanya kila njia kukwamisha, hatutashindwa kwa mradi huu. Tujisahihishe tulipojikwaa, tusimame wima tena, Tupambane kuulinda mradi huu usituponyoke kwa vita vya maadui zetu Afrika na Ulaya. Matunda ya mageuzi yanaanza kuonekana, Tusiogope, wala tusiingizwe uoga akilini na mioyoni mwetu.

Na Yericko Nyerere

We jamaa ni takataka kabisa, hata hao wapuuzi unaowalamba makalio nitashangaa siku wakikukumbuka kwenye teuzi zao!
 
Ila wewe Yeriko hujaona kuwa kina Kainerugaba wana shida. Kwamba chokochoko zao za kuitaka bahari hazina uhusiano na uvunjifu wa amani, ila wazungu ndio wanaiharibu Afrika. Haujaona Museveni anaitawala Ugand kifamilia. Umeona tu kina Gen Z wan shida
 
Eti jitu bogus kama hili nalo lilikua linautaka ubunge....
 
Ninafurahi kuona alichokizungumza Rais Museveni wa Uganda ndio yamekuwa maoni yangu tangu mwanzo juu ya kilichotokea Oktoba 29. 2025. Bahati mbaya kizazi cha Tanzania kwa sasa kimevurugwa na utulivu wa akili umetoweka kabisa, 99.9% ya vijana wanazungumza, wanajadili na kuamua kwa hisia na mihemko kuliko kutumia Akili. Wengi wana taarifa potofu au hawana taarifa kabisa. Kama taifa tunalo jukumu la kuwarudisha vijana na watanzania wote katika msingi wa ukweli, haki na umoja.

Naomba niwarejeshe nyuma, Ukiondoa mradi wa urutubishaji wa madini ya Uranium (Nyuklia) tuliosaini na Urusi wenye thamani ya Dola Bilioni 1.2 ambao umeiingiza katika Vita kali Urusi na Marekani na Ulaya, na kuzalisha chokocho zote zinazoendelea nchini kupitia udhaifu na ufedhuri wa ccm kushindwa kutawala nchi kwa kufuata katiba na sheria za nchi,

Pia Tanzania tuna vita ya muda mrefu zaidi dhidi ya Majirani zetu Kenya ambao walikosa dili la Mafuta ya Uganda ambalo walitaka lipite kwao katika babdari ya Mombasa na badala yake Tanzania tukalichukua dili hilo hadi Bandari ya Tanga. Hivi ni vita vya kiuchumi elewa hivyo ewe kijana na unayeshabikia harakati uchwara bila kutazama nyuma ya pazia.

Kwa Dili hili, Tanzania itapata dola 12 kwa ujazo wa pipa moja la mafuta kutoka serikali ya Uganda, itakapoanza kusafirisha mafuta hayo kwa bomba hadi Bandari ya Tanga. Dola 12 kwa ujazo wa pipa moja ni sawa na 20% ya mauzo ya mafuta kwa pipa katika soko la dunia.

Bomba hilo linatarajiwa kusafirisha ujazo wa mapipa 140,000 kwa siku. Hii inamaana kuwa kwa siku mapipa 140,000 x dola 12 sawa na Tanzania itapata dola 1,680,000 kwa siku. Kwa mwezi chukua $ 1,680,000 x 30 = $ 50,400,000. Kwa mwaka $ 50,400,000 x 12 = $ 604,800,000.

Dola 604,800,000 ni sawa na Shilingi Trilioni 1.5 za kitanzania kwa mwaka. Kwahiyo Tanzania itaingiza Trilioni 1.5 kila mwaka kutokana na bomba la mafuta. Yani mapato yatokanayo na bomba la mafuta yatazidi mapato yatokanayo na sekta zote za uchumi nchini isipokuwa mapato ya sekta ya utalii. Trilioni 1.5 ni sawa na asilimia 5.1% ya budget yetu kwa mwaka.

Kazi nzuri ya Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) ndio ilizaa mradi huu na kuzuia usiende bandari ya Mombasa. Hongera sana TISS kwa kufanikisha mpango huu wenye faida kubwa kiuchumi. Lakini yote kumi, Pongezi za dhati ziende kwa Jasusi mkongwe aliyekuwa Waziri wa Mashauri ya Kigeni Tanzania Mnyaluko Hayati Augustino Mahiga. Kwenye kitabu cha "Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi" nilishauri namna Idara ya Usama wa Taifa (TISS) na idara ya Usalama na Utambuzi Jeshini (MI) zinavyoweza kutumika kwa maslahi ya kiuchumi kwa taifa badala ya kutumika katika miundo ya kizamani ya kijamaa (kisiasa na kuwatumikia wanasiasa).

Miezi ya nyuma zilifanyika juhudi kubwa za maadui kuukwamisha mradi kwa kwenda kwenye kampuni ya Total tuliyoingia nayo mikataba ya kujenga mradi huu na kuitaka Kampuni hiyo iache kufanya kazi hiyo kwakigezo cha uharibifu wa mazingira. Walifika mbali hadi kwenda kushitaki kwenye Shirika la Mazingira Duniani UNEP na UNESCO na kisha kwenda kwa Rais wa Ufaransa huku wakiandamana ili mradi ufe. Majirani wa Kenya Waliwatumia wanaharakati wa ndani chini ya Maria Sarungi kueneza propanda na kila uzushi kujaribu kuzuia mradi huu. vikundi vya mitandaoni vikaandika makala nyingi sana twita na instagram kupotosha juu ya mradi huo. Lakini waafeli.

Watu haohao hatujawahi kuwasikia wakiandamana kupinga ujenzi wa mradi mkubwa wa mabomba marefu zaidi kutoka Urusi hadi barani Ulaya ya Nord Stream 1 & 2. Wala hawajaandamana kupinga ujenzi wa bomba linginge refu zaidi linalojengwa sasahi kutoka Urusi hadi Japan. Lakini kwa Tanzania tunaambiwa tunaharibu mazingira (kumbaaaafu zao!) mradi sasa umefika 84%.

Kama tuliweza kupambana kwenye ujenzi wa mradi wa bwawa la Umeme la Nyerere kule Rufiji ambao hawahawa Wanaharakati walifanya kila njia kukwamisha, hatutashindwa kwa mradi huu. Tujisahihishe tulipojikwaa, tusimame wima tena, Tupambane kuulinda mradi huu usituponyoke kwa vita vya maadui zetu Afrika na Ulaya. Matunda ya mageuzi yanaanza kuonekana, Tusiogope, wala tusiingizwe uoga akilini na mioyoni mwetu.

Na Yericko Nyerere

Andiko lilikuwa zuri mpka pale ulipoingiza siasa.
 
Huu ujinga ndiyo alikuwa anautumia Mugabe kuhadaa watu,kila akikosolewa anadai hao ni mamluki kisa ugomvi wake wa ardhi na wazungu!😀😀

Ni propaganda mfu hizo!! Juzi awamu ya 5 tulikuwa tunaambiwa tuko kwenye vita vya kiuchumi ndiyo maana tunaandamwa na wazungu?
 
Ubunge wa Kigamboni
 
Chawa Mkubwa Wewe
 
Upupu
 
Nyongeza kidogo, bomba litasafirisha pipa 246,000 per day equivalent na lita 39,114,000 za mafuta machafu kwa siku,

Gharama za usafirishaji ni 1,047,960,000 equivalent to 2.6Trillion Tanzanian shilings, kwa kifupi Tanzania itakuwa nyingine kabisa

With all this, reconciliation ni muhimu going forward, Najua serikali inajua Hilo na wananchi, na wapinzani wanajua hilo,

They all need to trade favours ili mambo yaende

And for the best of Tanzania, all this should start as soon as possible.
 
Acha upumbafu na kujishushia heshima. Watz sio wajinga kiasi hicho. WATZ TUNATAKA TUWE NA UCHAGUZI HURU, TUPARE VIONGOZI WENYE UCHUNGU NA RASILIMARI ZA NCHI NA WANAOJALI WANANCHI

HATUTAKI VIONGOZI WAPIGA DILI WANAOJITAJIRISHA WAO NA MARAFIKI ZAO TU

Inashangaza kuona unamfagilia mseveni aliyekaa madarakani madarakani kwa hila za uchaguzi kwa miaka 40
 
Mjinga jinga ulisema mtalinda kura imekuwaje. Yaani wanashinda kuhogwa tu!!
 
Nyongeza kidogo, bomba litasafirisha pipa 246,000 per day equivalent na lita 39,114,000 za mafuta machafu kwa siku,

Gharama za usafirishaji ni 1,047,960,000 equivalent to 2.6Trillion Tanzanian shilings, kwa kifupi Tanzania itakuwa nyingine kabisa

With all this, reconciliation ni muhimu going forward, Najua serikali inajua Hilo na wananchi, na wapinzani wanajua hilo,

They all need to trade favours ili mambo yaende

And for the best of Tanzania, all this should start as soon as possible.
Story are you talking, is sound nicer in our ears. Waweke wazi huo mkataba ili tujuwe kama hakuna madili ya kuwanufaisha wakubwa ambao baada ya kustaafu tunawalipa fedha nying mpaka wanakufa na kuwajenge majumba ya kifalme
 
Back
Top Bottom