Rais Museveni ameona nilichoona, katika hili niko pamoja nae

Ninafurahi kuona alichokizungumza Rais Museveni wa Uganda ndio yamekuwa maoni yangu tangu mwanzo juu ya kilichotokea Oktoba 29. 2025. Bahati mbaya kizazi cha Tanzania kwa sasa kimevurugwa na utulivu wa akili umetoweka kabisa, 99.9% ya vijana wanazungumza, wanajadili na kuamua kwa hisia na mihemko kuliko kutumia Akili. Wengi wana taarifa potofu au hawana taarifa kabisa. Kama taifa tunalo jukumu la kuwarudisha vijana na watanzania wote katika msingi wa ukweli, haki na umoja.

Naomba niwarejeshe nyuma, Ukiondoa mradi wa urutubishaji wa madini ya Uranium (Nyuklia) tuliosaini na Urusi wenye thamani ya Dola Bilioni 1.2 ambao umeiingiza katika Vita kali Urusi na Marekani na Ulaya, na kuzalisha chokocho zote zinazoendelea nchini kupitia udhaifu na ufedhuri wa ccm kushindwa kutawala nchi kwa kufuata katiba na sheria za nchi,

Pia Tanzania tuna vita ya muda mrefu zaidi dhidi ya Majirani zetu Kenya ambao walikosa dili la Mafuta ya Uganda ambalo walitaka lipite kwao katika babdari ya Mombasa na badala yake Tanzania tukalichukua dili hilo hadi Bandari ya Tanga. Hivi ni vita vya kiuchumi elewa hivyo ewe kijana na unayeshabikia harakati uchwara bila kutazama nyuma ya pazia.

Kwa Dili hili, Tanzania itapata dola 12 kwa ujazo wa pipa moja la mafuta kutoka serikali ya Uganda, itakapoanza kusafirisha mafuta hayo kwa bomba hadi Bandari ya Tanga. Dola 12 kwa ujazo wa pipa moja ni sawa na 20% ya mauzo ya mafuta kwa pipa katika soko la dunia.

Bomba hilo linatarajiwa kusafirisha ujazo wa mapipa 140,000 kwa siku. Hii inamaana kuwa kwa siku mapipa 140,000 x dola 12 sawa na Tanzania itapata dola 1,680,000 kwa siku. Kwa mwezi chukua $ 1,680,000 x 30 = $ 50,400,000. Kwa mwaka $ 50,400,000 x 12 = $ 604,800,000.

Dola 604,800,000 ni sawa na Shilingi Trilioni 1.5 za kitanzania kwa mwaka. Kwahiyo Tanzania itaingiza Trilioni 1.5 kila mwaka kutokana na bomba la mafuta. Yani mapato yatokanayo na bomba la mafuta yatazidi mapato yatokanayo na sekta zote za uchumi nchini isipokuwa mapato ya sekta ya utalii. Trilioni 1.5 ni sawa na asilimia 5.1% ya budget yetu kwa mwaka.

Kazi nzuri ya Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) ndio ilizaa mradi huu na kuzuia usiende bandari ya Mombasa. Hongera sana TISS kwa kufanikisha mpango huu wenye faida kubwa kiuchumi. Lakini yote kumi, Pongezi za dhati ziende kwa Jasusi mkongwe aliyekuwa Waziri wa Mashauri ya Kigeni Tanzania Mnyaluko Hayati Augustino Mahiga. Kwenye kitabu cha "Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi" nilishauri namna Idara ya Usama wa Taifa (TISS) na idara ya Usalama na Utambuzi Jeshini (MI) zinavyoweza kutumika kwa maslahi ya kiuchumi kwa taifa badala ya kutumika katika miundo ya kizamani ya kijamaa (kisiasa na kuwatumikia wanasiasa).

Miezi ya nyuma zilifanyika juhudi kubwa za maadui kuukwamisha mradi kwa kwenda kwenye kampuni ya Total tuliyoingia nayo mikataba ya kujenga mradi huu na kuitaka Kampuni hiyo iache kufanya kazi hiyo kwakigezo cha uharibifu wa mazingira. Walifika mbali hadi kwenda kushitaki kwenye Shirika la Mazingira Duniani UNEP na UNESCO na kisha kwenda kwa Rais wa Ufaransa huku wakiandamana ili mradi ufe. Majirani wa Kenya Waliwatumia wanaharakati wa ndani chini ya Maria Sarungi kueneza propanda na kila uzushi kujaribu kuzuia mradi huu. vikundi vya mitandaoni vikaandika makala nyingi sana twita na instagram kupotosha juu ya mradi huo. Lakini waafeli.

Watu haohao hatujawahi kuwasikia wakiandamana kupinga ujenzi wa mradi mkubwa wa mabomba marefu zaidi kutoka Urusi hadi barani Ulaya ya Nord Stream 1 & 2. Wala hawajaandamana kupinga ujenzi wa bomba linginge refu zaidi linalojengwa sasahi kutoka Urusi hadi Japan. Lakini kwa Tanzania tunaambiwa tunaharibu mazingira (kumbaaaafu zao!) mradi sasa umefika 84%.

Kama tuliweza kupambana kwenye ujenzi wa mradi wa bwawa la Umeme la Nyerere kule Rufiji ambao hawahawa Wanaharakati walifanya kila njia kukwamisha, hatutashindwa kwa mradi huu. Tujisahihishe tulipojikwaa, tusimame wima tena, Tupambane kuulinda mradi huu usituponyoke kwa vita vya maadui zetu Afrika na Ulaya. Matunda ya mageuzi yanaanza kuonekana, Tusiogope, wala tusiingizwe uoga akilini na mioyoni mwetu.

Na Yericko Nyerere

View attachment 3501218
huna lolote malaya wa kisiasa wewe
 
Sijasoma haya mambo yote uliyoandika sababu premise yake tu ni wrong kwahio ni Void ab Initio

Ila kwa ushauri tuache upuuzi na tuongelee mambo ambayo ni immediate - Huwezi kuongelea Uchumi sasa hivi na Invisible enemies wakati waliopo sasa hakuna value for money waliyoleta zaidi ya kugawa commanding heights zetu kama njugu na wengine kutaka hata kuleta matapeli kina ADANI waje wasambaze eti umeme kwenye mradi ambao kama taifa tumeshaokopea na mtangulizi alitaka utusaidie kwenye kushusha bei za umeme matokeo ya hawa umeme haujashuka na sasa hivi wanapigia chepuo watu wanunue gesi ambazo tunatoa ughaibuni...

Even if that was not the case ni bora hao unaoita majambazi wengine ukizingatia even a broken clock is right twize a day..., hivyo hata kama Lucifier mwenyewe leo hii akishutumu kinachoendelea sasa hivi (sababu ni kibaya) nitakubaliana naye sababu anachosema ni kibaya na wala sitaongelea kwamba kitabu cha Biblia kimesema huyu ni mbaya

Na as things goes kwanza tuongelee hawa wauwaji waliofanya mauaji na ni vipi wanawajibika sababu hata tukiwa kwenye ma-sky scrapper hawa wauwaji wanaweza kupanda lift au risasi zinawe kupita kwenye vioo na glass za mvinyo tutakazokuwa tunakunywa hazitaondoa ukakasi wa ndugu zetu kuuliwa...
 
Umekuwa chawa kutafuta teuzi ila hupati kitu. Mfumo haukutambui.

Watu wameporwa haki zao, wamebagazwa na kuuwawa afu unasema ni mabeberu? Mabeberu ndo wamewatuma watawala kuwauwa watanzania? Mabeberu ndo wamesimamia uchaguzi na kumpa Mama abdul 98% huku watu wakipoteza maisha yao mtaani? Watu wafanye ujinga afu mseme mabeberu? Jifunzeni accountability.
 
Tapeli mkubwa wewe, wewe umeona utapeli labda na udalali wa kisiasa.

Tunakusubiri shahidi wa siri utoe ushahidi mahakamani kwenye box ambalo jaji pekeyako ndio anakuona hata ukibadili sauti utajulikana tu.

Watu wameuwawa halafu mjinga mmoja unatuletea hapa habari za miradi , hiyo miradi inanufaisha watu na sio punda sasa kama watu wanauwawa kuna faida gani ya hiyo miradi kuwepo?
20251110_130922.jpg
 
Kuna watu wamewekwa kwenye payroll ya buku 7 per day..

Wananuka shida kuchwa kucha Wana toa hutuba sijui maziko Bure mara nyumbu ivi mara nyumbu vile..

Mtu huyo huyo Hana uhakika na maisha, Hana bima ya afya, ana mikopo nivushe plus, songesha, elimu duni, ni kapuku na maskini wa kutupwa kwenye ukoo wake then anatumika kama matairi ya pikipiki, baiskeli,gari yakichoka yanatupwa kule.

NB. JASUSI MUUZA VIJARIDA UCHWARA AMEPOTEZA CREDIBILITY YAKE KWA WATANZANIA KWA SASA HAAMINIKI TENA...
 
Eti TIS wakaingilia kati bomba lisiende Kenya!!

Mpuuz mkubwa wewe aliyekwambia nchi hii ina usalama wa taifa nani?

Usalama wa taifa wanaopokea maelekezo kutoka shoger Abdul

Stupid
 
Ninafurahi kuona alichokizungumza Rais Museveni wa Uganda ndio yamekuwa maoni yangu tangu mwanzo juu ya kilichotokea Oktoba 29. 2025. Bahati mbaya kizazi cha Tanzania kwa sasa kimevurugwa na utulivu wa akili umetoweka kabisa, 99.9% ya vijana wanazungumza, wanajadili na kuamua kwa hisia na mihemko kuliko kutumia Akili. Wengi wana taarifa potofu au hawana taarifa kabisa. Kama taifa tunalo jukumu la kuwarudisha vijana na watanzania wote katika msingi wa ukweli, haki na umoja.

Naomba niwarejeshe nyuma, Ukiondoa mradi wa urutubishaji wa madini ya Uranium (Nyuklia) tuliosaini na Urusi wenye thamani ya Dola Bilioni 1.2 ambao umeiingiza katika Vita kali Urusi na Marekani na Ulaya, na kuzalisha chokocho zote zinazoendelea nchini kupitia udhaifu na ufedhuri wa ccm kushindwa kutawala nchi kwa kufuata katiba na sheria za nchi,

Pia Tanzania tuna vita ya muda mrefu zaidi dhidi ya Majirani zetu Kenya ambao walikosa dili la Mafuta ya Uganda ambalo walitaka lipite kwao katika babdari ya Mombasa na badala yake Tanzania tukalichukua dili hilo hadi Bandari ya Tanga. Hivi ni vita vya kiuchumi elewa hivyo ewe kijana na unayeshabikia harakati uchwara bila kutazama nyuma ya pazia.

Kwa Dili hili, Tanzania itapata dola 12 kwa ujazo wa pipa moja la mafuta kutoka serikali ya Uganda, itakapoanza kusafirisha mafuta hayo kwa bomba hadi Bandari ya Tanga. Dola 12 kwa ujazo wa pipa moja ni sawa na 20% ya mauzo ya mafuta kwa pipa katika soko la dunia.

Bomba hilo linatarajiwa kusafirisha ujazo wa mapipa 140,000 kwa siku. Hii inamaana kuwa kwa siku mapipa 140,000 x dola 12 sawa na Tanzania itapata dola 1,680,000 kwa siku. Kwa mwezi chukua $ 1,680,000 x 30 = $ 50,400,000. Kwa mwaka $ 50,400,000 x 12 = $ 604,800,000.

Dola 604,800,000 ni sawa na Shilingi Trilioni 1.5 za kitanzania kwa mwaka. Kwahiyo Tanzania itaingiza Trilioni 1.5 kila mwaka kutokana na bomba la mafuta. Yani mapato yatokanayo na bomba la mafuta yatazidi mapato yatokanayo na sekta zote za uchumi nchini isipokuwa mapato ya sekta ya utalii. Trilioni 1.5 ni sawa na asilimia 5.1% ya budget yetu kwa mwaka.

Kazi nzuri ya Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) ndio ilizaa mradi huu na kuzuia usiende bandari ya Mombasa. Hongera sana TISS kwa kufanikisha mpango huu wenye faida kubwa kiuchumi. Lakini yote kumi, Pongezi za dhati ziende kwa Jasusi mkongwe aliyekuwa Waziri wa Mashauri ya Kigeni Tanzania Mnyaluko Hayati Augustino Mahiga. Kwenye kitabu cha "Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi" nilishauri namna Idara ya Usama wa Taifa (TISS) na idara ya Usalama na Utambuzi Jeshini (MI) zinavyoweza kutumika kwa maslahi ya kiuchumi kwa taifa badala ya kutumika katika miundo ya kizamani ya kijamaa (kisiasa na kuwatumikia wanasiasa).

Miezi ya nyuma zilifanyika juhudi kubwa za maadui kuukwamisha mradi kwa kwenda kwenye kampuni ya Total tuliyoingia nayo mikataba ya kujenga mradi huu na kuitaka Kampuni hiyo iache kufanya kazi hiyo kwakigezo cha uharibifu wa mazingira. Walifika mbali hadi kwenda kushitaki kwenye Shirika la Mazingira Duniani UNEP na UNESCO na kisha kwenda kwa Rais wa Ufaransa huku wakiandamana ili mradi ufe. Majirani wa Kenya Waliwatumia wanaharakati wa ndani chini ya Maria Sarungi kueneza propanda na kila uzushi kujaribu kuzuia mradi huu. vikundi vya mitandaoni vikaandika makala nyingi sana twita na instagram kupotosha juu ya mradi huo. Lakini waafeli.

Watu haohao hatujawahi kuwasikia wakiandamana kupinga ujenzi wa mradi mkubwa wa mabomba marefu zaidi kutoka Urusi hadi barani Ulaya ya Nord Stream 1 & 2. Wala hawajaandamana kupinga ujenzi wa bomba linginge refu zaidi linalojengwa sasahi kutoka Urusi hadi Japan. Lakini kwa Tanzania tunaambiwa tunaharibu mazingira (kumbaaaafu zao!) mradi sasa umefika 84%.

Kama tuliweza kupambana kwenye ujenzi wa mradi wa bwawa la Umeme la Nyerere kule Rufiji ambao hawahawa Wanaharakati walifanya kila njia kukwamisha, hatutashindwa kwa mradi huu. Tujisahihishe tulipojikwaa, tusimame wima tena, Tupambane kuulinda mradi huu usituponyoke kwa vita vya maadui zetu Afrika na Ulaya. Matunda ya mageuzi yanaanza kuonekana, Tusiogope, wala tusiingizwe uoga akilini na mioyoni mwetu.

Na Yericko Nyerere

View attachment 3501218
Hilo linalokuja.....kuomba apewe stretch ya bahari ajenge bandari Tanga ?
 
Unajiokoteza vi habari Uchawara vyenye propaganda Museveni hana credibility yoyote ya kuzungumzia democrasia umesika Yericko Nyerere unayejifanya raia wa Tanzania
 
Hao wahuni walioiba uchaguzi washindwe na kujitangaza kushinda Kwa 98% watashindwa Nini kuiba hayo matrion ya pesa

Tupate katiba mpya
Tume huru ya uchaguzi
Bunge lililotokana na wananchi
Mahakama za kutoa haki
Uchaguzi mkuu urudiwe
 
Ninafurahi kuona alichokizungumza Rais Museveni wa Uganda ndio yamekuwa maoni yangu tangu mwanzo juu ya kilichotokea Oktoba 29. 2025. Bahati mbaya kizazi cha Tanzania kwa sasa kimevurugwa na utulivu wa akili umetoweka kabisa, 99.9% ya vijana wanazungumza, wanajadili na kuamua kwa hisia na mihemko kuliko kutumia Akili. Wengi wana taarifa potofu au hawana taarifa kabisa. Kama taifa tunalo jukumu la kuwarudisha vijana na watanzania wote katika msingi wa ukweli, haki na umoja.

Naomba niwarejeshe nyuma, Ukiondoa mradi wa urutubishaji wa madini ya Uranium (Nyuklia) tuliosaini na Urusi wenye thamani ya Dola Bilioni 1.2 ambao umeiingiza katika Vita kali Urusi na Marekani na Ulaya, na kuzalisha chokocho zote zinazoendelea nchini kupitia udhaifu na ufedhuri wa ccm kushindwa kutawala nchi kwa kufuata katiba na sheria za nchi,

Pia Tanzania tuna vita ya muda mrefu zaidi dhidi ya Majirani zetu Kenya ambao walikosa dili la Mafuta ya Uganda ambalo walitaka lipite kwao katika babdari ya Mombasa na badala yake Tanzania tukalichukua dili hilo hadi Bandari ya Tanga. Hivi ni vita vya kiuchumi elewa hivyo ewe kijana na unayeshabikia harakati uchwara bila kutazama nyuma ya pazia.

Kwa Dili hili, Tanzania itapata dola 12 kwa ujazo wa pipa moja la mafuta kutoka serikali ya Uganda, itakapoanza kusafirisha mafuta hayo kwa bomba hadi Bandari ya Tanga. Dola 12 kwa ujazo wa pipa moja ni sawa na 20% ya mauzo ya mafuta kwa pipa katika soko la dunia.

Bomba hilo linatarajiwa kusafirisha ujazo wa mapipa 140,000 kwa siku. Hii inamaana kuwa kwa siku mapipa 140,000 x dola 12 sawa na Tanzania itapata dola 1,680,000 kwa siku. Kwa mwezi chukua $ 1,680,000 x 30 = $ 50,400,000. Kwa mwaka $ 50,400,000 x 12 = $ 604,800,000.

Dola 604,800,000 ni sawa na Shilingi Trilioni 1.5 za kitanzania kwa mwaka. Kwahiyo Tanzania itaingiza Trilioni 1.5 kila mwaka kutokana na bomba la mafuta. Yani mapato yatokanayo na bomba la mafuta yatazidi mapato yatokanayo na sekta zote za uchumi nchini isipokuwa mapato ya sekta ya utalii. Trilioni 1.5 ni sawa na asilimia 5.1% ya budget yetu kwa mwaka.

Kazi nzuri ya Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) ndio ilizaa mradi huu na kuzuia usiende bandari ya Mombasa. Hongera sana TISS kwa kufanikisha mpango huu wenye faida kubwa kiuchumi. Lakini yote kumi, Pongezi za dhati ziende kwa Jasusi mkongwe aliyekuwa Waziri wa Mashauri ya Kigeni Tanzania Mnyaluko Hayati Augustino Mahiga. Kwenye kitabu cha "Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi" nilishauri namna Idara ya Usama wa Taifa (TISS) na idara ya Usalama na Utambuzi Jeshini (MI) zinavyoweza kutumika kwa maslahi ya kiuchumi kwa taifa badala ya kutumika katika miundo ya kizamani ya kijamaa (kisiasa na kuwatumikia wanasiasa).

Miezi ya nyuma zilifanyika juhudi kubwa za maadui kuukwamisha mradi kwa kwenda kwenye kampuni ya Total tuliyoingia nayo mikataba ya kujenga mradi huu na kuitaka Kampuni hiyo iache kufanya kazi hiyo kwakigezo cha uharibifu wa mazingira. Walifika mbali hadi kwenda kushitaki kwenye Shirika la Mazingira Duniani UNEP na UNESCO na kisha kwenda kwa Rais wa Ufaransa huku wakiandamana ili mradi ufe. Majirani wa Kenya Waliwatumia wanaharakati wa ndani chini ya Maria Sarungi kueneza propanda na kila uzushi kujaribu kuzuia mradi huu. vikundi vya mitandaoni vikaandika makala nyingi sana twita na instagram kupotosha juu ya mradi huo. Lakini waafeli.

Watu haohao hatujawahi kuwasikia wakiandamana kupinga ujenzi wa mradi mkubwa wa mabomba marefu zaidi kutoka Urusi hadi barani Ulaya ya Nord Stream 1 & 2. Wala hawajaandamana kupinga ujenzi wa bomba linginge refu zaidi linalojengwa sasahi kutoka Urusi hadi Japan. Lakini kwa Tanzania tunaambiwa tunaharibu mazingira (kumbaaaafu zao!) mradi sasa umefika 84%.

Kama tuliweza kupambana kwenye ujenzi wa mradi wa bwawa la Umeme la Nyerere kule Rufiji ambao hawahawa Wanaharakati walifanya kila njia kukwamisha, hatutashindwa kwa mradi huu. Tujisahihishe tulipojikwaa, tusimame wima tena, Tupambane kuulinda mradi huu usituponyoke kwa vita vya maadui zetu Afrika na Ulaya. Matunda ya mageuzi yanaanza kuonekana, Tusiogope, wala tusiingizwe uoga akilini na mioyoni mwetu.

Na Yericko Nyerere

We 🌈 hapa unaona umecheza mindgame la hatari. Huu ni uchafu uliokuwa umejazwa na Mbowe ndani ya cdm. Kama sio Lisu kuwa mwenyekiti tungeendea kuwa chini ya upinzani wa maelekezo.
 
Unajua kwanini bomba halijapita Kenya? Kenya ardhi inamilikiwa na watu binafsi, ardhi ni ghali sana sana Kenya. Total wakapata option ya Tz tena mwendazake akawaambia atawapa ardhi bure wao watawajengea au kulipa fidia kwa waathirika tu (PAP), kweli wajinga ndio waliwao. Unajua gharama ya ardhi kwa mita square kutoka Mutukula mpaka Chongoleani Tanga? Kalagha bao, tumeliwa. Mengine story, bwawa la nyerere limesaidia nini?! Umeme umeshuka bei?!
 
Ninafurahi kuona alichokizungumza Rais Museveni wa Uganda ndio yamekuwa maoni yangu tangu mwanzo juu ya kilichotokea Oktoba 29. 2025. Bahati mbaya kizazi cha Tanzania kwa sasa kimevurugwa na utulivu wa akili umetoweka kabisa, 99.9% ya vijana wanazungumza, wanajadili na kuamua kwa hisia na mihemko kuliko kutumia Akili. Wengi wana taarifa potofu au hawana taarifa kabisa. Kama taifa tunalo jukumu la kuwarudisha vijana na watanzania wote katika msingi wa ukweli, haki na umoja.

Naomba niwarejeshe nyuma, Ukiondoa mradi wa urutubishaji wa madini ya Uranium (Nyuklia) tuliosaini na Urusi wenye thamani ya Dola Bilioni 1.2 ambao umeiingiza katika Vita kali Urusi na Marekani na Ulaya, na kuzalisha chokocho zote zinazoendelea nchini kupitia udhaifu na ufedhuri wa ccm kushindwa kutawala nchi kwa kufuata katiba na sheria za nchi,

Pia Tanzania tuna vita ya muda mrefu zaidi dhidi ya Majirani zetu Kenya ambao walikosa dili la Mafuta ya Uganda ambalo walitaka lipite kwao katika babdari ya Mombasa na badala yake Tanzania tukalichukua dili hilo hadi Bandari ya Tanga. Hivi ni vita vya kiuchumi elewa hivyo ewe kijana na unayeshabikia harakati uchwara bila kutazama nyuma ya pazia.

Kwa Dili hili, Tanzania itapata dola 12 kwa ujazo wa pipa moja la mafuta kutoka serikali ya Uganda, itakapoanza kusafirisha mafuta hayo kwa bomba hadi Bandari ya Tanga. Dola 12 kwa ujazo wa pipa moja ni sawa na 20% ya mauzo ya mafuta kwa pipa katika soko la dunia.

Bomba hilo linatarajiwa kusafirisha ujazo wa mapipa 140,000 kwa siku. Hii inamaana kuwa kwa siku mapipa 140,000 x dola 12 sawa na Tanzania itapata dola 1,680,000 kwa siku. Kwa mwezi chukua $ 1,680,000 x 30 = $ 50,400,000. Kwa mwaka $ 50,400,000 x 12 = $ 604,800,000.

Dola 604,800,000 ni sawa na Shilingi Trilioni 1.5 za kitanzania kwa mwaka. Kwahiyo Tanzania itaingiza Trilioni 1.5 kila mwaka kutokana na bomba la mafuta. Yani mapato yatokanayo na bomba la mafuta yatazidi mapato yatokanayo na sekta zote za uchumi nchini isipokuwa mapato ya sekta ya utalii. Trilioni 1.5 ni sawa na asilimia 5.1% ya budget yetu kwa mwaka.

Kazi nzuri ya Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) ndio ilizaa mradi huu na kuzuia usiende bandari ya Mombasa. Hongera sana TISS kwa kufanikisha mpango huu wenye faida kubwa kiuchumi. Lakini yote kumi, Pongezi za dhati ziende kwa Jasusi mkongwe aliyekuwa Waziri wa Mashauri ya Kigeni Tanzania Mnyaluko Hayati Augustino Mahiga. Kwenye kitabu cha "Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi" nilishauri namna Idara ya Usama wa Taifa (TISS) na idara ya Usalama na Utambuzi Jeshini (MI) zinavyoweza kutumika kwa maslahi ya kiuchumi kwa taifa badala ya kutumika katika miundo ya kizamani ya kijamaa (kisiasa na kuwatumikia wanasiasa).

Miezi ya nyuma zilifanyika juhudi kubwa za maadui kuukwamisha mradi kwa kwenda kwenye kampuni ya Total tuliyoingia nayo mikataba ya kujenga mradi huu na kuitaka Kampuni hiyo iache kufanya kazi hiyo kwakigezo cha uharibifu wa mazingira. Walifika mbali hadi kwenda kushitaki kwenye Shirika la Mazingira Duniani UNEP na UNESCO na kisha kwenda kwa Rais wa Ufaransa huku wakiandamana ili mradi ufe. Majirani wa Kenya Waliwatumia wanaharakati wa ndani chini ya Maria Sarungi kueneza propanda na kila uzushi kujaribu kuzuia mradi huu. vikundi vya mitandaoni vikaandika makala nyingi sana twita na instagram kupotosha juu ya mradi huo. Lakini waafeli.

Watu haohao hatujawahi kuwasikia wakiandamana kupinga ujenzi wa mradi mkubwa wa mabomba marefu zaidi kutoka Urusi hadi barani Ulaya ya Nord Stream 1 & 2. Wala hawajaandamana kupinga ujenzi wa bomba linginge refu zaidi linalojengwa sasahi kutoka Urusi hadi Japan. Lakini kwa Tanzania tunaambiwa tunaharibu mazingira (kumbaaaafu zao!) mradi sasa umefika 84%.

Kama tuliweza kupambana kwenye ujenzi wa mradi wa bwawa la Umeme la Nyerere kule Rufiji ambao hawahawa Wanaharakati walifanya kila njia kukwamisha, hatutashindwa kwa mradi huu. Tujisahihishe tulipojikwaa, tusimame wima tena, Tupambane kuulinda mradi huu usituponyoke kwa vita vya maadui zetu Afrika na Ulaya. Matunda ya mageuzi yanaanza kuonekana, Tusiogope, wala tusiingizwe uoga akilini na mioyoni mwetu.

Na Yericko Nyerere

hayo uliyoandika ndo yanahararisha utekaj ulizid kushamir kwa miaka kadhaa
 
Back
Top Bottom