Ladslaus Modest
JF-Expert Member
- Jun 27, 2008
- 635
- 20
Kila mwanadamu ameandikia mustakabali wake hapa duniani na mola wake.
Obama is an American full stop na hili hakuna la sisi Waafrika kujivuna kwamba ni mwafrika wala nini .Trust me weusi wa US baada ya Uchaguzi na miaka 4 uijayo watakula kisago sana kama ilivyo sasa Tanganyika moto wake baada ya JK .Mimi yangu macho na naweka nguvu zaidi katika siasa za hapa nyumbani .
obama victory celebrations
Spoilt 4 Choices,
this Friday,
November 7th
Celebrate the Victory of Obama
this Friday at Kibo Bar, Moevenpick Royal Palm Hotel
Special Guest DJs spinning the best in Hip Hop, R'n'B and party classics
Dress to impress
TIME: 9:30 pm till late
10K entrance
Thanks to
Africa-Beat.com - About Tanzania
For flyer and other details,
click:
Africa-Beat.com - Dar Events
To see Hedrush Halloween photos,
click:
Africa-Beat.com - Dar Events
Huu ushabiki umepitiliza jamani hapa Bongo hizo pesa si bora mchangie madarasa jamani!
Angalia tangazo hili
Rais wa Marekani sherehe mnafanya nyie duh kweli wabongo hatunazo.
Tuache ushabiki hautatusaidia sana....ilikuwa haina hata haja ya kumjibu!! Obama ni baaaaaab'kubwa kuliko Nyerere mara million!!!
............mungu ibariki tanzania.............hahahahaha wewe ndio mshabiki!! Nyerere alifanya nini? Kuanzisha ccm? Azimio la arusha na ujamaa wa njozi? Nyerere hafikii hata nusu ya obama....kwanza mkjj aliyoandika juu ya positions za obama ni distortions ambazo mtu mwenye mtindio wa ubongo na mvivu wa kufuatilia mambo ndio anaweza kukubaliana nae kama wewe ulivyofanya hapo juu!!
Acha ushabiki bros...obama kiboko yao!!
Kibaki ametangaza Public Holiday Kesho alhamisi. VIVA OBAMA VIVA!!!!!!!!!!!!!