Hahahaaaaaaaa sikujuaga kila mahali kuna kina ALINACHA,hata mimi namuona "RAHISI" kama ni kiivyo anavyokata mbuga
wewe ndo unafaa?Hamna lolote....sasa mpeni nchi muone.....mi kwangu wote hawafai ndio maana sintopiga kura....kwa nje ni rahisi kuropoka kuwa utafanya nii ukiingia magogoni....ila ukishaingia mambo yote ni tofauti.....watch out!
na hawa nao walikuwepo