Bowie
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 4,373
- 6,088
Viongozi wengi pindi kipindi chao kinapoisha huwa ni vigumu kuwaona wakitembea mitaani bila ulinzi. Aliyekuwa Rais wa jimbo lililojitangazia uhuru wa Somaliland alionekana akitembea mitaa ya mji mkuu wa jimbo hilo Hargeysa. Rais Ahamed Mohamed Silanyo alimaliza muda wake wa vipindi viwili mwishoni mwaka jana na kwasasa amerudi kuwa raia wa kawaida.