Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,232
- 6,479
Kwa siasa za DRC, kabila kwa sasa hana nguvu hiyo hata jeshini, toka tshekedi aingie madarakani, kuanzia wanajeshi wa ngazi ya juu, aliwafanya wakamtii, na juzi juzi alipowaachia wale watuhumiwa (wanajeshi) waliotuhumiwa kumuua laulent kabila, ndio kabisaa!Hawa jamaa Amani wataendelea kuiskia redioni...jamaa anasahu kua Kabila bado ana influence Jeshini. Now wamemuondolea ulinzi atahisi wanataka kumuua, to protect himself atataka kufanya mapinduzi...then machafuka yataanza upyaaa
Kabila huko jeshini,police,usalama kote huko vibaraka wake wameshapanguliwa balaa na bungeni kama ulivyoona kilichotea ameshamalizwa.Hawa jamaa Amani wataendelea kuiskia redioni...jamaa anasahu kua Kabila bado ana influence Jeshini. Now wamemuondolea ulinzi atahisi wanataka kumuua, to protect himself atataka kufanya mapinduzi...then machafuko yataanza upyaaa
Arudi tu TanzaniaRais mstaafu wa Congo DR, Joseph Kabila Kabange apokonywa walinzi wa kikosi cha jeshi waliokuwa wakimlinda na kupewa ulinzi wa Polisi wa kawaida..
Kwa kutumia vyombo gani?
Huwezi pangua wanajeshi walipangwa kwa miaka 18 kwa muda wa miaka miwili...Pia Wanajeshi hawawezi kua Loyal kwa wanasiasa bali kwa wanajeshi wenzao na kwao Kabila ni mwenzao, thus why wanasiasa hua wanajitahidi kuweka ma Generali wanaokubalika Jeshini ukifeli hapo mapinduzi ni nje nje.Kabila huko jeshini,police,usalama kote huko vibaraka wake wameshapanguliwa balaa na bungeni kama ulivyoona kilichotea ameshamalizwa.
Tusubiri kifuatacho ITV.
Naona Kabila wanamchukulia poa tu.Huwezi pangua wanajeshi walipangwa kwa miaka 18 kwa muda wa miaka miwili...Pia Wanajeshi hawawezi kua Loyal kwa wanasiasa bali kwa wanajeshi wenzao na kwao Kabila ni mwenzao, thus why wanasiasa hua wanajitahidi kuweka ma Generali wanaokubalika Jeshini ukifeli hapo mapinduzi ni nje nje.