Rais Mstaafu Jakaya Kikwete agomea eneo la ekari 50, ataka ekari 500



Tanganyika ni eneo yenye gharama kubwa ukigawa viwanja ukauza haukosi Trillioni
kadhaa. Unapoanzisha chuo kikuu, huduma nyingine za msingi hufuata.
 
Kwanini wasijenge majengo marefu kwenda juu ala kumbe mbea imepitiwa na bonde la ufa matetemeko yanaathiri majengo marefu lakini pia walemavu wa miguu nao itakuj Kama yakijengwa majengo marefu.
 
..waache wazubae.

..watasikia fursa hiyo wamepewa ndugu zao wa Makunduchi Zanzibar.

Haha
Viwanja vya Tanganyika packers

Ok, wawape, baada ya miaka 20 kitakuja kuwa chuo kikuu kamili. Muhimu kusogeza huduma muhimu karibu na watu sehemu zote kama vyuo, hospitali, ofisi kuu za serikali, mahakama, polisi nk.

Wanaweza kuanza hata na 100, 150, 200.
 
Kwanini wasijenge majengo marefu kwenda juu ala kumbe mbea imepitiwa na bonde la ufa matetemeko yanaathiri majengo marefu lakini pia walemavu wa miguu nao itakuj Kama yakijengwa majengo marefu.

Umeme, maji yenyewe shida. Utaweza kweli kuyapandisha juu, lift, AC, usalama kwenye ngazi, zinatohitaji mwanga muda wote. Itabidi watu washuke kuyachota chini na ndoo zao kichwani na kupanda ngazi?
 

Dah. Aisee.
 


Kumbuka hivyo vyuo walivijenga zamani sana, hata sasa wakitaka kujipanua wananua ardhi, majengo ya karibu kwa gharama kubwa sana.

Fees zao ni kubwa sana kwa viwango vyetu, makampuni binafsi, taasisi na matajiri wanatabia ya kuchangia, kuacha sehemu ya utajiri wao kwa vyuo. Sisi kila kitu kinategemea kodi, pesa za serikali.
 
Badala ya kujenga UDSM kampasi ya Mbeya kwa nini kisijengwe chuo kikuu cha Mbeya?

Kwa nini Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika mkoa wa Mbeya?
Mzee Kikwete anaona mbali hata Chuo Kikuu cha MUHAS ilikua Campus ya Chuo Kikuu Cha DSM. Mbele ya safari huko Campus hiyo ya Mbeya inaweza kuja kuwa Chuo Kikuu.
 
awamu ya nne ilikuwa ya kifisadi mno,

matumizi mabaya ya madaraka,

baba mkuu wa chuo,

Mama Mbunge

Mtoto Mbunge,

Kwa kodi zetu.

Kama upo usalama wa taifa aisee jiuzulu tu

Watu wa usalama wa taifa angalieni watu wenu wanachokifanya humu, baadhi ya watu wenu wamekuwa mashabiki wa watu badala ya kuwa wazalendo
 
Siyo eneo huru hilo linamilikiwa na Taasisi
Hakuna eneo/ardhi huru isiyo na mtu. Kuna ardhi ya kijiji, watu binafsi, misitu inayomilikiwa na taasisi za serikali nk. Unataka eneo huru utalipata wapi?

Hii ya taasisi ya serikali ndiyo rahisi kupata, maana taasisi zinaweza kuongea au rais akaitoa bila habari za fidia.
 
Elimu ni gharama na uwekezaji suala la kufidia ni sehemu ya uwekezaji bro mbona ni simple logic, ninavyojua miradi karibu yote serikali inapotaka kuwekeza huwa wanalipa fidia
Ndio maana mwanzo kabisa nikasema serikali ijiandae kulipa, maana kama mkuu wa chuo amesema hawajapata eneo maana yake maeneo yapo ila yana wenyewe, sio Kikwete anavyolazimisha wanataka hekari 1000 bila kufikiria nini kinachokwamisha kupatikana kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…