Rais Mkapa awatetea wawekezaji, asema sio wezi

Wazee wa ndiyooooooo. Hata magu alikuwa anashangilia na kugonga meza huku akishangilia. Imepita 100/100.
 
Naongelea GGM elewa ..cna mazungumzo mengi na sitaki bishana maana uwez badili mtazamo wangu
Peleka huko porojo zako! Hiki ndicho umeandika:
Huyu mange atawapoteza sana nasema ..hiyo quote ya mkapa ilikuwa b4 ata hii issue ya acacia na alikuwa anafungua mgodi wa GGM ,
Unataka kuaminisha watu kwamba wakati huo African Barrick ilikuwa haijaanza kazi wakati tayari walikuwa na mgodi wa Bulyanhulu ambao ndio ulianza kuzalisha makinikia!! Sasa how come unasema ilikuwa kabla ya issue ya Acacia?!

In short, sina sababu za kubadilisha msimamo wako lakini ninachofanya ni kufichua UONGO wako!!!
 
Huyu mange atawapoteza sana nasema ..hiyo quote ya mkapa ilikuwa b4 ata hii issue ya acacia na alikuwa anafungua mgodi wa GGM , afu kingine iyo habari from ku google
Awa akasia n mbonga yetu , imewiva vizuri ni sisi na ugali wetu kuila
Ki lugha gani umeandika? Mkalimani anahusika.
 
Kwan issue ya acacia kujulikana wanatuibia imeibuka lini .. afu ni african barrick au acacia walioanza miliki huo mgodi ..msichanganye acacia na barrick
 
Apo ilikuwa ndio mwekezaji amekuja hatukujua km things will go wrong sababu still tulikuwa tuna own share and percent xo as process goes on ndio mambo yakawa wrong xo usiseme ilihusiana na migodi
Kwa hyo ilihusiana na tumbaku
 
Akizungumza miaka kadhaa iliyopita Mkapa ambaye kwa sasa no Rais mstaafu alitoa utetezi wake kwa wawekezaji kuwa siyo wezi kama watu wanavyowafikiria.
Nini maoni yako?

=====

Jun 21, 2005

RAIS Benjamin Mkapa amewataka Watanzania kuondokana na kasumba kuwa wawekezaji katika sekta ya madini ni wezi.

Amekanusha pia madai kuwa wawekezaji wanafilisi mali asili iliyopo na kwamba itawaacha Watanzania katika dimbwi la umasikini.

"Hawa si wezi ni wabia wa maendeleo yetu na uwiano wa maslahi na haki yetu

"Hawa si wezi ni wabia wa maendeleo yetu na uwiano wa maslahi na haki yetu ipo, naondoka madarakani miezi minne ijayo nikaacha Serikali ijayo ambayo naamini itakuwa ya CCM na kwamba uwiano na haki vitaendelea,"
IMG_m0l78m.jpg
IMG_20170612_132504.jpg
 
Yuko sahihi wezi wa Mali zetu ni ccm au wazee wa ndiyoooooo naunga mkono hoja Mia kwa mia
 
Huyu mange atawapoteza sana nasema ..hiyo quote ya mkapa ilikuwa b4 ata hii issue ya acacia na alikuwa anafungua mgodi wa GGM , afu kingine iyo habari from ku google
Awa akasia n mbonga yetu , imewiva vizuri ni sisi na ugali wetu kuila
We mikataba imesainiwa mwaka 98, afu we unatuambia '05 ni before?
 
[HASHTAG]#RipotiYaKwanza[/HASHTAG]

Lissu: Tusihangaike na udongo, tuhangaike na mikataba na sheria mbovu za madini zilizotufikisha hapa. Tuangalie tulipojikwaa, tusiangalie tulipoangukia.

CCM: Lissu analinda wezi. Mikataba na sheria za madini hazina shida. Shida ipo kwenye udongo wenye makinikia. Tumeibiwa sana kwenye udongo. Hatukubali.

[HASHTAG]#RipotiYaPili[/HASHTAG]

JPM: Tumelogwa na nani? Watanzania tumeibiwa sana. Naagiza mikataba yote na sheria zote za madini zipitiwe upya.

CCM: Rais wetu mzalendo. Amefanya kazi kubwa sana. Tumuombee.!!

[HASHTAG]#MyTake[/HASHTAG]:
Lugha ileile aliyoongea Lissu akaambiwa amehongwa, ndiyo aliyoongea JPM leo akaitwa mzalendo. Akili za CCM kama kifurushi cha jaza ujazwe .!
 
Back
Top Bottom