Rais mfano wa kuigwa duniani Watanzania tungepata mfano wake tuishi maisha azizi yaliyojaa neema.

Waziri mkuu wa kwanza wa Singapore. Bahati mbaya sikumbuki jina lake. Vision yake sahihi, sera zake zenye mshiko zimeiendeleza Singapore pasipo mfano kwa muda mfupi sana. Aliitoa nchi yake kutoka muungano na Malaysia baada ya miaka michache alipo gundua haikua na faida kwa nchi yake
 
Back
Top Bottom