Rais masikini zaidi apewa dola milioni moja

Rais masikini zaidi apewa dola milioni moja

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
12,333
Reaction score
5,314
141107145743_mujika_512x288_bbc.jpg

Rais Jose Mujika na mkewe ndani ya gari lao la Vokswagen.Rais huyo wa Uruguay ndiye raisi masikini zaidi na amepewa dola millioni 1.

Rais wa Uruguay Jose Mujika anasema kuwa amepewa dola millioni 1 ili kuuza gari lake aina ya Volkswagen.

Bwana Mujica ,aliyejulikana kama rais masikini duniani kutokana na maisha yake ,alisema kuwa ombi hilo lilitoka kwa kiongozi mmoja wa dini ya kiislamu katika eneo la uarabuni.

Aliliambia gazeti la kila wiki la Busqueda kwamba iwapo atalikubali ombi hilo basi fedha hizo zitatumiwa kuwasaidia masikini.

Rais Mujika ambaye anajulikana kama Pepe anaishi katika shamba lake na hutoa pato lake kwa watu masikini.

Mnamo mwaka 2010 Mali yake ilikuwa inagharimu dola 1,800 ambayo ni bei ya gari lake la Volkswagen

Busqueda liliripoti kwamba ombi la gari hilo lilifanywa katika mkutano wa kimataifa mapema mwaka huu katika mji wa Santa Cruz Bolivia.

''Nilishangaa mara ya kwanza , hivyo basi nikapuzilia mbali. Lakini baadaye ombi jengine lilikuja na hivyo basi nikaanza kulichukulia kuwa swala la umuhimu''. Alisema Mujika.

CHANZO: BBC
 
Hazawadiwi bali kuna Shekh wa kiaarabu ndie anae taka kununu gari lake hili kwa hizo Dollar, kwa maana hiyo basi anauza kitu chake hapewi bure hizo pesa.ImageUploadedByJamiiForums1415379022.105135.jpg
 
wakuu hii habri nimeisikia bbc swahili asubuhi ya leo ila nikawa bize na kazi hadi saa hii na hiyo news sijaiona hiyo habari...
kwamba yule rais mstaafu na masikini zaidi anayetembelea bito amepewa zawadi na mwarabu dola million moja ..
kama ipo link mtu atuwekee maana natumia mchina

Habari ni kwamba Rais wa Uruguay Jose Mujica kapewa ofa ya dola milioni moja auze beetle yake kwa mwarabu
Kumbuka kuwa rais huyu hakai ikulu, anakaa shambani kwa mke wake na anatumia gari hilo kwa shughuli zake za kila siku...
uruguay.jpg
 
asante kwa link japo ina lugha za nchi za nje nitakomaa hivyo hivyo
 
Hakuamini mwanzo ingawa atachukuwa lakini atazitoa charity ana huruma sana
 
asante kwa link japo ina lugha za nchi za nje nitakomaa hivyo hivyo
kweli binadamu hatuna dogo....ndugu umeomba link kwa wadau...wamekuwekea afu unalalamika ati ni ya lugha yao...ulitegemea upate link ya lugha ya kiswahili?
 
kweli binadamu hatuna dogo....ndugu umeomba link kwa wadau...wamekuwekea afu unalalamika ati ni ya lugha yao...ulitegemea upate link ya lugha ya kiswahili?

Mtu wa namna hiyo hata ukimuwekea ya Kiswahili anaweza kusema Kiswahili hiki kigumu sana.

Huyu rais ashawahi kukaa sana jela, miaka 13. Na 11 kati ya hiyo "under solitary confinement".

Kwa hiyo yeye hataki makuu, kuwa mtu huru tu inakuwa kama hakutegemea.

Anasema alivyokuwa jela alipata sana muda wa kufikiria ni vitu gani vya muhimu kabisa katika maisha ya binadamu.

Inaonekana hakuona kujilimbikizia mali kuwa ni kitu muhimu.
 
watu wa dizaini za huyu mzee (kama nyerere) ofa kama hiyo wataikataa
 
Lakini huku ndo kwanza wanagawana za ESCROW.Tusipogangamala tutakufa.
 
ImageUploadedByJamiiForums1415390437.186424.jpgImageUploadedByJamiiForums1415390457.202194.jpgRais wa Uruguay Jose Mujika anasema kuwa amepewa dola millioni 1 ili kuuza gari lake aina ya Volkswagen.
Bwana Mujica ,aliyejulikana kama rais masikini duniani kutokana na maisha yake ,alisema kuwa ombi hilo lilitoka kwa kiongozi mmoja wa dini ya kiislamu katika eneo la uarabuni.
Aliliambia gazeti la kila wiki la Busqueda kwamba iwapo atalikubali ombi hilo basi fedha hizo zitatumiwa kuwasaidia masikini.
Rais Mujika ambaye anajulikana kama Pepe anaishi katika shamba lake na hutoa pato lake kwa watu masikini.
Mnamo mwaka 2010 Mali yake ilikuwa inagharimu dola 1,800 ambayo ni bei ya gari lake la Volkswagen
Busqueda liliripoti kwamba ombi la gari hilo lilifanywa katika mkutano wa kimataifa mapema mwaka huu
 
Jamani wanya JF hii inawezekana kwa viongozi wetu hapa Africa na kwingineko Duniani. Karibuni kwa maoni...
 
we hapa bongo kila siku mtu lipopo tuuu
sijui vp
 
View attachment 200106View attachment 200107Rais wa Uruguay Jose Mujika anasema kuwa amepewa dola millioni 1 ili kuuza gari lake aina ya Volkswagen.
Bwana Mujica ,aliyejulikana kama rais masikini duniani kutokana na maisha yake ,alisema kuwa ombi hilo lilitoka kwa kiongozi mmoja wa dini ya kiislamu katika eneo la uarabuni.
Aliliambia gazeti la kila wiki la Busqueda kwamba iwapo atalikubali ombi hilo basi fedha hizo zitatumiwa kuwasaidia masikini.
Rais Mujika ambaye anajulikana kama Pepe anaishi katika shamba lake na hutoa pato lake kwa watu masikini.
Mnamo mwaka 2010 Mali yake ilikuwa inagharimu dola 1,800 ambayo ni bei ya gari lake la Volkswagen
Busqueda liliripoti kwamba ombi la gari hilo lilifanywa katika mkutano wa kimataifa mapema mwaka huu

Kuna tetesi kuwa kenyata wa kenya anajaribu kudurufu kawaida za rais huyu majuzi tu kaamua kupanda daladala
 
Rais wa Uruguay Jose Mujika anasema kuwa amepewa dola millioni 1 ili kuuza
gari lake aina ya Volkswagen.
Bwana Mujica ,aliyejulikana kama rais masikini duniani kutokana na maisha
yake ,alisema kuwa ombi hilo lilitoka kwa kiongozi mmoja wa dini ya kiislamu
katika eneo la uarabuni.
Aliliambia gazeti la kila wiki la Busqueda kwamba iwapo atalikubali ombi hilo basi
fedha hizo zitatumiwa kuwasaidia masikini.
Rais Mujika ambaye anajulikana kama Pepe anaishi katika shamba lake na hutoa
pato lake kwa watu masikini.
Mnamo mwaka 2010 Mali yake ilikuwa inagharimu dola 1,800 ambayo ni bei ya
gari lake la Volkswagen
Busqueda liliripoti kwamba ombi la gari hilo lilifanywa katika mkutano wa kimataifa
mapema mwaka huu katika mji wa Santa Cruz Bolivia.
''Nilishangaa mara ya kwanza ,a hivyobasi nikapuzilia mbali.lakini baadaye ombi
jengine lilikuja na hivyobasi nikaanza kulichukulia kuwa swala la umuhimu'',.
Alisema Mujika.
 
Back
Top Bottom