Rais Magufuli yashamshinda?

Rais Magufuli yashamshinda?

Wewe sidhani hata umeelewa nilichokiandika.

Pole.
Hii sentensi hapa nchi nimeielewa sana:

Hata ndani ya chama chake ukiangalia vizuri utaona nyuso nyingi tu za manung'uniko toka kwa wakereketwa. Wengi wao siku hizi wanashindwa hata kumtetea. Wapo kimyaaaa utadhani wagonjwa. CCM hawana furaha kabisa-Nyani Ngabu!
 
Lakini Mkuu Nyani, bado unasimamia huu uzi uliotoa? naona siku hizi kama kuna kacheo unakanyemelea vile... au nimekusoma vibaya?

Ndiyo.

Bado naamini kabisa kuwa rais Magufuli yashamshinda.

Naamini kwamba rais Magufuli hana sifa za uongozi wa ki-urais.

Lakini, licha ya mapungufu yake ya kiuongozi bado kuna baadhi ya mambo ambayo nakubaliana naye.

Kwa hiyo msimamo wangu bado uko palepale.

Atakapokosea mahali, basi nitamkosoa kama ambavyo nimeshafanya mara nyingi tu humu [na ushahidi upo].

Nitakapoona kuna mahali kapatia, nitamuunga mkono na kumpa pongezi.

Vivyo hivyo kwa CHADEMA na vyama vingine vya upinzani.

Vikichemsha, nitavichana bila huruma.

Vikipatia, sitokuwa mchoyo wa pongezi.

Jana tu nimetoka kumpongeza Mh. Freeman Mbowe kwa maneno yake ya hekima na busara kwenye taarifa aliyoitoa kuhusu maendeleo ya Tundu Lisu.

Sasa kilicho kigumu hapo kueleweka ni nini?
 
William Butler Yeats (1865-1939)

THE SECOND COMING

Turning and turning in the widening gyre
The falcon cannot hear the falconer;
Things fall apart; the centre cannot hold;
Mere anarchy is loosed upon the world,
The blood-dimmed tide is loosed, and everywhere
The ceremony of innocence is drowned;
The best lack all conviction, while the worst
Are full of passionate intensity.


Surely some revelation is at hand;
Surely the Second Coming is at hand.
The Second Coming! Hardly are those words out
When a vast image out of Spiritus Mundi
Troubles my sight: a waste of desert sand;
A shape with lion body and the head of a man,
A gaze blank and pitiless as the sun,
Is moving its slow thighs, while all about it
Wind shadows of the indignant desert birds.

The darkness drops again but now I know
That twenty centuries of stony sleep
Were vexed to nightmare by a rocking cradle,
And what rough beast, its hour come round at last,
Slouches towards Bethlehem to be born?
 
Ndiyo.

Bado naamini kabisa kuwa rais Magufuli yashamshinda.

Naamini kwamba rais Magufuli hana sifa za uongozi wa ki-urais.

Lakini, licha ya mapungufu yake ya kiuongozi bado kuna baadhi ya mambo ambayo nakubaliana naye.

Kwa hiyo msimamo wangu bado uko palepale.

Atakapokosea mahali, basi nitamkosoa kama ambavyo nimeshafanya mara nyingi tu humu [na ushahidi upo].

Nitakapoona kuna mahali kapatia, nitamuunga mkono na kumpa pongezi.

Vivyo hivyo kwa CHADEMA na vyama vingine vya upinzani.

Vikichemsha, nitavichana bila huruma.

Vikipatia, sitokuwa mchoyo wa pongezi.

Jana tu nimetoka kumpongeza Mh. Freeman Mbowe kwa maneno yake ya hekima na busara kwenye taarifa aliyoitoa kuhusu maendeleo ya Tundu Lisu.

Sasa kilicho kigumu hapo kueleweka ni nini?
Ahsante kwa maelezo yako. Nimekuelewa vizuri.
 
- Budget ijayo ni budget ya uchaguzi ( 2018/2019 ) hakuna cha maana kinachofanyika
Uchaguzi unafanyika October 2020. Kuanzia April 2020 mpk July 2020 wabunge watakuwa na jukumu la kuipitisha bajeti ya mwaka wa fedha 2020/2021. Naamini hiyo ndio bajeti ya uchaguzi 2020/2021. Correct me if I'm wrong
 
Nimuangaliapo runingani nashindwaga nimuweke kundi linaloweza kumfaa maana hata uwazir walimpendelea sana maana anaongea kwa jazba vitisho kila aina ya neno limjialo kichwani ni lazima litoke wakati ule...anajisahau kama yeye ni mkuu wa nchi maskini kauli yake ni sheria tayari kwa mujibu wa katiba yetu...poleni watanzania...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchaguzi unafanyika October 2020. Kuanzia April 2020 mpk July 2020 wabunge watakuwa na jukumu la kuipitisha bajeti ya mwaka wa fedha 2020/2021. Naamini hiyo ndio bajeti ya uchaguzi 2020/2021. Correct me if I'm wrong
Basi amebakiza budget moja tu kwa kuwa mpaka sasa hakuna lolote alilofanya la kuboresha maisha ya watu
 
Hivi ni mimi tu au na wengine mpo mnaoona kama vile mambo yashamshinda huyu Magufuli?

Kuna hali fulani hivi naiona ambapo jamaa ni kama anaamka tu kila asubuhi na kutoa maamuzi ya kukurupuka kurupuka.
Yaani yeye ni amri tu....fanya hivi....fukuza huyu....twende kule...nk.

Yapo baadhi ambayo ni mazuri ambapo mtu unaona kabisa hapa nia ni nzuri lakini kuna mengine yenye ukakasi sana hadi kunifanya nianze kuhoji hekima na busara za huyo bwana!

---
Mimi ni mmoja wa watu wanaoamini kuwa rais wetu huyu, mheshimiwa mtukufu Dkt. John Pombe Joseph Magufuli si kiongozi mzuri hata kidogo, hususan katika ngazi ya urais.

Hilo nimekuwa nikilisema kwa muda mrefu sasa. Nakumbuka hata ile siku alipoteuliwa kuipeperusha bendera ya CCM nilisema hivyo humu humu JF.

Kwa kiasi fulani namkubali kwenye usimamizi lakini si kwenye uongozi. Hana kabisa haiba ya kiuongozi. Pia hana sifa za kuweza kuwa kiongozi mzuri.

Ni mtu mwenye jazba. Ana jeuri. Mwenye kuongea bila kufikiria athari za maneno yake[nyakati zingine]. Wengine wanasema eti kuwa hashauriki. Kwa ufupi ni mengi sana yanasemwa juu yake kiasi kwamba mengine ni vigumu kwa watu wa mbali kama sisi kujua kama ni ya kweli au la. Hivyo kwa sisi wa mbali tunaenda na yale tuyaonayo na tuyasikiayo toka kwake yeye mwenyewe.

Sasa kwa jinsi vile mambo yanavyoenda sasa hivi kuna kila dalili huenda nchi imeshamshinda kuiongoza. Hivyo ndivyo niuonavyo mwelekeo.

Hata ndani ya chama chake ukiangalia vizuri utaona nyuso nyingi tu za manung'uniko toka kwa wakereketwa. Wengi wao siku hizi wanashindwa hata kumtetea. Wapo kimyaaaa utadhani wagonjwa. CCM hawana furaha kabisa.

Naamini asipojiangalia na kujifanyia tathmini basi hiyo kazi itamshinda kabla hata hajafikia nusu ya muhula wa hii miaka mitano.

Niliwahi kuandika kuhusu 'a police state'. Jikumbushe....

A Police State
For those running away from the truth aka LIARS "You belong to your father, the devil, and you want to carry out your father's desire. He was a murderer from the beginning, not holding to the truth, for there is no truth in him. When he lies, he speaks his native language, for he is a liar and the father of lies."

John 8:44
Magu you have to honest with yourselves otherwise you are already damned
 
Huyu ng'ombe anamtetea bashite na mruma???!!!!!
 
Basi amebakiza budget moja tu kwa kuwa mpaka sasa hakuna lolote alilofanya la kuboresha maisha ya watu
Ukiitoa Bajeti ya 17/18 - Current Budget

Tunabakiwa na

Bajeti ya July 18/ June 19
Bajeti ya July 19 / June 20

Na Bajeti ya Uchaguzi wa October 2020

Bajeti ya July 20 / June 21 - Election Year
 
Back
Top Bottom