Mpunilevel
JF-Expert Member
- Sep 14, 2015
- 3,140
- 1,871
Jiwe limewapata toka gizani. Naona kila kukicha ni kulalama tu na vi thread uchwara.
Tulieni Dawa iwaingie
Tulieni Dawa iwaingie
Mkuu biashara vipi? Bado zinaenda vizuri???mi ni mfanyabiashara mbona biashara zinaenda vizur sana
Kumbe MOTOCHINI tabia mbaya kaanza siku nyingi? Inaamaana hata pamoja na utekaji huu na watu kupotezwa, kumtuma Bashite akavamie kituo cha tv ili kipindi chake akipendacho cha Shilawadu kionyeshe bado ana imani ileile?Subiri Jingalao na MOTOCHINI waisome post yako utakoga matusi.
Huko kunatakiwa kusifu na kuabudu tu
nimeshituka kuona hii coment maana nimesoma uzi bila kuangalia tareheNilishaonya tangu Mwaka jana.Misingi ya Urais sio kusakata rhumba au push ups majukwaani
Duuuuhh, na mimi nilipoona kichwa cha habari nilizani ni uzi mbichi kuhusu washwa washwanimeshituka kuona hii coment maana nimesoma uzi bila kuangalia tarehe
Duuuhh, hili bandiko murua kabisa,Hivi ni mimi tu au na wengine mpo mnaoona kama vile mambo yashamshinda huyu Magufuli?
Kuna hali fulani hivi naiona ambapo jamaa ni kama anaamka tu kila asubuhi na kutoa maamuzi ya kukurupuka kurupuka.
Yaani yeye ni amri tu....fanya hivi....fukuza huyu....twende kule...nk.
Yapo baadhi ambayo ni mazuri ambapo mtu unaona kabisa hapa nia ni nzuri lakini kuna mengine yenye ukakasi sana hadi kunifanya nianze kuhoji hekima na busara za huyo bwana!
---
Mimi ni mmoja wa watu wanaoamini kuwa rais wetu huyu, mheshimiwa mtukufu Dkt. John Pombe Joseph Magufuli si kiongozi mzuri hata kidogo, hususan katika ngazi ya urais.
Hilo nimekuwa nikilisema kwa muda mrefu sasa. Nakumbuka hata ile siku alipoteuliwa kuipeperusha bendera ya CCM nilisema hivyo humu humu JF.
Kwa kiasi fulani namkubali kwenye usimamizi lakini si kwenye uongozi. Hana kabisa haiba ya kiuongozi. Pia hana sifa za kuweza kuwa kiongozi mzuri.
Ni mtu mwenye jazba. Ana jeuri. Mwenye kuongea bila kufikiria athari za maneno yake[nyakati zingine]. Wengine wanasema eti kuwa hashauriki. Kwa ufupi ni mengi sana yanasemwa juu yake kiasi kwamba mengine ni vigumu kwa watu wa mbali kama sisi kujua kama ni ya kweli au la. Hivyo kwa sisi wa mbali tunaenda na yale tuyaonayo na tuyasikiayo toka kwake yeye mwenyewe.
Sasa kwa jinsi vile mambo yanavyoenda sasa hivi kuna kila dalili huenda nchi imeshamshinda kuiongoza. Hivyo ndivyo niuonavyo mwelekeo.
Hata ndani ya chama chake ukiangalia vizuri utaona nyuso nyingi tu za manung'uniko toka kwa wakereketwa. Wengi wao siku hizi wanashindwa hata kumtetea. Wapo kimyaaaa utadhani wagonjwa. CCM hawana furaha kabisa.
Naamini asipojiangalia na kujifanyia tathmini basi hiyo kazi itamshinda kabla hata hajafikia nusu ya muhula wa hii miaka mitano.
Niliwahi kuandika kuhusu 'a police state'. Jikumbushe....
A Police State
AseeDuuuuhh, na mimi nilipooza kichwa cha habari nilizani ni uzi mbichi kuhusu washwa washwa
Nashindwa kukupa like maana wasiojulikana washafanya yaoNilishaonya tangu Mwaka jana.Misingi ya Urais sio kusakata rhumba au push ups majukwaani
Na kwanza tuliosema huyu ni One term president inawezekana hata asikamilishe One Term
Ofcourse sio lazima akae madarakani miaka 5.
Kwenye uchumi anafeli ''Things were slow now stuck''Ukipita mitaani watu washachoka na story zake...
biashara haziendi.....mood iliyopo ni kusubiri labda mambo yatanyooka soon...
sasa sijui yasiponyooka itakuaje....
Nyani Ngabu urais ni taasisi ukimuona rais anatoa maamuzi ujue information zote anazo
Duuuhh, hili bandiko murua kabisa,
Hongera Nyani Ngabu
ukiona hivyo basi hizo imformation ni za kumpoteza na ndo mana anakurupuka sababu mnampoteza kila uchaoNyani Ngabu urais ni taasisi ukimuona rais anatoa maamuzi ujue information zote anazo
Ngosha na mimi ngoja nikupe shukrani kwa uzi maridadi kabisa! Umeona kwa usahihi kabisa, ngosha mwenzio nchi imemshinda!Shukran jazilan.